Kupenda jamani ni maradhi

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Jamani wana jf hii nataka kuwamegea washikaji kuna binti nilikutana naye SGD kitambo kidogo nilimpenda sana nilimfaham kwa jina moja 2 la REHEMA lakin ghafla akaondoka kwenda dom nilimtafuta bila mafanikio wajamen nimekata tamaa mwenzenu, namba ya cmu alishabadili niliyokuwanayo.NIfanyeje?
 
The whole story is crap at 1st place,....kuhusu ufanyeje_hapo sijui ufanyeje?
 
Jamani wana jf hii nataka kuwamegea washikaji kuna binti nilikutana naye SGD kitambo kidogo nilimpenda sana nilimfaham kwa jina moja 2 la REHEMA lakin ghafla akaondoka kwenda dom nilimtafuta bila mafanikio wajamen nimekata tamaa mwenzenu, namba ya cmu alishabadili niliyokuwanayo.NIfanyeje?
umenikumbusha nilikuwa nimemaliza shule kwenye basi akapanda gari mkaka mmoja nrb gari ilikuwa imejaa kabisa alikuwa anawai issue zake dsm akangangania kupanda hata kama hamna siti, akasimama akachoka then akaniambba akae kidogo tukawa tunashear siti yangu hadi tukafika akanipa no yake nikaipoteza na mimi nilimpa ya sister. nadhani alimpigia sister hawakuelewana maana sister aliniambia kuna wenzako wa shule wanakutafuta kwenye no yangu sema siwaelewi maana kuna mvulana anasema alisoma na wewe sasa mimi nilisoma girls sister akaamua kumpotezea. yaani its almost 8 years now lakini namkumbuka sana i wish ningempata sasa hv. he is always in my mind with all my love anaitwa
 
umenikumbusha nilikuwa nimemaliza shule kwenye basi akapanda gari mkaka mmoja nrb gari ilikuwa imejaa kabisa alikuwa anawai issue zake dsm akangangania kupanda hata kama hamna siti, akasimama akachoka then akaniambba akae kidogo tukawa tunashear siti yangu hadi tukafika akanipa no yake nikaipoteza na mimi nilimpa ya sister. Nadhani alimpigia sister hawakuelewana maana sister aliniambia kuna wenzako wa shule wanakutafuta kwenye no yangu sema siwaelewi maana kuna mvulana anasema alisoma na wewe sasa mimi nilisoma girls sister akaamua kumpotezea. Yaani its almost 8 years now lakini namkumbuka sana i wish ningempata sasa hv. he is always in my mind with all my love anaitwa

duh! Hujanisahau tu...
 
Jamani wana jf hii nataka kuwamegea washikaji kuna binti nilikutana naye SGD kitambo kidogo nilimpenda sana nilimfaham kwa jina moja 2 la REHEMA lakin ghafla akaondoka kwenda dom nilimtafuta bila mafanikio wajamen nimekata tamaa mwenzenu, namba ya cmu alishabadili niliyokuwanayo.NIfanyeje?
Nenda kwenye "Search Line" RFA.....! Sijui hutokea lini kwa wiki....! Vinginevyo, ushauri wa hashycool ni wa maana pia....!

umenikumbusha nilikuwa nimemaliza shule kwenye basi akapanda gari mkaka mmoja nrb gari ilikuwa imejaa kabisa alikuwa anawai issue zake dsm akangangania kupanda hata kama hamna siti, akasimama akachoka then akaniambba akae kidogo tukawa tunashear siti yangu hadi tukafika akanipa no yake nikaipoteza na mimi nilimpa ya sister. nadhani alimpigia sister hawakuelewana maana sister aliniambia kuna wenzako wa shule wanakutafuta kwenye no yangu sema siwaelewi maana kuna mvulana anasema alisoma na wewe sasa mimi nilisoma girls sister akaamua kumpotezea. yaani its almost 8 years now lakini namkumbuka sana i wish ningempata sasa hv. he is always in my mind with all my love anaitwa
Acha kueleza stori nusunusu.....!
 
Ngoja nimpigie tena dada yako kujua kama ni wewe kweli...
 
huna mawasiliano yoyote halafu unajiuliza ufanyeje........... nenda Dom zunguka mji mzima ukimtafuta anza maeneo ya stand, kwa mama ntilie unaweza bahatika kumpata..............waweza mtafuta kupitia magazeti ya udaku
 
Nenda kwenye "Search Line" RFA.....! Sijui hutokea lini kwa wiki....! Vinginevyo, ushauri wa hashycool ni wa maana pia....!

Acha kueleza stori nusunusu.....!
network ilikata anaitwa chacha mwita
 
Mpaka hapo huna lakufanya mkuu, komaa na ishu zako huyo keshaolewa na namba kanunuliwa nyingine.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom