gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 411
Na wale waliokua wanapanda coasters za kukodi na Noah na mabasi mabovu ni kina nani ? Acha ushamba unaongelea voug range wakati passo yenyewe huna kauli za majivuno tu kweli maskini haishiwi ndotoTunarudi nyuma miaka 25. Nimejiuliza yale Mabenzi, Vogue, Wachagga waliokuwa wanayatumia kwenda kwao December yameenda wapi?
Hadi kufikia usafiri wa kizamani namna hii?
View attachment 1284152
