Mtoa maada una umri gani kwanza naomba kuuliza!?Tunarudi nyuma miaka 25. Nimejiuliza yale Mabenzi, Vogue, Wachagga waliokuwa wanayatumia kwenda kwao December yameenda wapi?
Hadi kufikia usafiri wa kizamani namna hii?
View attachment 1284152
Maana tusijekua tunabishana na kijana wa form two kutoka Mwanza Nyegezi secondary school!?Mtoa maada una umri gani kwanza naomba kuuliza!?
Mkuu ni masaa 48 kweli au unatishia watu!?Sio masaa 16 mkuu
Ni masaa 48 siku mbili kavu
Nani apakie hayo mavi!?
Duuuh.
48hours???
Mkuu ni masaa 48 kweli au unatishia watu!?
Wanaunga juhudi kwanza.Si kuna mabasi mazuri sana!!
Kumbe una midevu? mie nilidhani wewe ni demu na nilikuwa nafurahishwa sana na mada zako hivyo nilikuwa najipanga kukulia timing nikufyatue! Lol, nimesikitika sana.Safi Mkuu tarehe 22 ukipanda utanikuta bufe ukiona midevu mingi ndio mimi
Wachaga wote wana hayo ma Benz, Vogue nk?Tunarudi nyuma miaka 25. Nimejiuliza yale Mabenzi, Vogue, Wachagga waliokuwa wanayatumia kwenda kwao December yameenda wapi?
Hadi kufikia usafiri wa kizamani namna hii?
View attachment 1284152