Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kuna kitu kimoja ambacho watu kama wewe hamuwezi kukielewa.

Ngoja nikupe scenario 2.

Umeitwa kwenye intavyuu moshi. Intavyuu inafanyika siku ya jumatatu. Sasa una option 2;

1. Upande basi Ubungo siku ya jumapili saa 12 asubuhi, (35,000) usafiri kutwa nzima ufike moshi saa 11 jioni. Ulale hotelini (30,000) uamke jumatatu uende kwenye intavyuu. Ulale moshi jumatatu, (30,000) uondoke jumanne asubuhi (35,000). Ushinde njiani ufike dar saa 2 usiku. Jumla = 130,000/- Muda masaa 60

2. Upande treni dar siku ya jumapili saa 10 jioni ukate ile ya ghali kabisa ya kulala (39,000) . Ufike moshi jumatatu saa moja asubuhi. Ujiandae uende kwenye intavyuu. Saa 10 jioni ukamate treni (39,000), saa mbili asubuhi jumanne uko dar unaendelea na shughuli zako. Jumla gharama = 78,000/- Muda masaa 36.
Unasifia treni???
Ambayo inaweza kuzimika popote?
Badala ya kutoka Jumapili ufike Jumatatu unajikuta unafika Ijumaa.
Mzee baba rahisi ni ghali.
 
Kama unapenda kuiona nchi yako,panda train.ni Bonge LA experience. Trust me or ignore me
Kuona mapori ya nchi yangu?
Kwa kusafiri na Treni?
Unajua ziliwahi kuwepo.
Jiulize ni nini kiliziua kipindi kile
 
Seriously? Na wewe unakubaliana nae kuwa kuna hiyo saving? Umejiuliza atatumia kiasi gani kama incidentals kwa muda wote huo wa saa 16?
Tren inasafiri usiku...hakuna unachopoteza
 
Usafiri wa kwenda Moshi ni jioni unafika asubuhi
Je kuna musa gani hapo unapoteza?
imetumia masaa 19 njiani yan aliyepanda jana Dar express kafika moshi na kurud dar wao bado na litren lao wako mombo hahahaha
 
Seriously? Na wewe unakubaliana nae kuwa kuna hiyo saving? Umejiuliza atatumia kiasi gani kama incidentals kwa muda wote huo wa saa 16?
kwani ww kwasiku unatumia shlngp? maana saa 16 sio nyingi kabisa ni nusu siku bado masaa 8 yafike 24 kwamm hiyo trip ni nafuu coz hata siku simalizi 10000 kutumia kwa kula tu.
 
Kwa kuanzia watu 700 wamepanda.Maana yake wameondoa mabasi 14 barabarani
 
Wewe Ndio mshamba tren zipo kila Nchi Duniani

Masaa 16 hadi Moshi kwa elfu kumi na sita hapo abiria ana save zaidi ya elfu 15

Acheni kujifanya nyie mna jua sana
Wanaogopa watakosa abiria kwenye magari yao....
 
Sometimes naona ile investment iliofanyika angani ni aheri ingefanyika relini.

Tungewekewa na fast trains badala ya hili Oldschool train. Wapige SGR na wanununue fast train zile za kutembea 300km/h + kwa bei hio wengi tungemudu hata ingekuwa 50k. Ila unasafiri comfortably.
Mkuu tutafika huko usijali tumeanaza na SGR ya speed 180pH. Ndio maana Mh Raisi anajenga Nyerere goerge ili tupate umeme wa kutosha kuendesha viwanda pamoja na treni.

Lakini inabidi kipatao cha watanzania kikue kwanza ili kuwenza kuleta usafiri wa namna hiyo maana gharama zake zitakuwa juu ili kufit gharama za uundeshaji hivyo inaweza pata abiria wachache. Yote kwa yote sifa zimuendee Mh. Raisi anafanya kazi nzuri sana tunamuomba, tu Mh. atafufulie ile reli ya Moshi Mombasa ili sasa Moshi iwe ni kitovu cha biashara huku ikijiandaa kuwa jiji.
 
Kuna kitu kimoja ambacho watu kama wewe hamuwezi kukielewa.

Ngoja nikupe scenario 2.

Umeitwa kwenye intavyuu moshi. Intavyuu inafanyika siku ya jumatatu. Sasa una option 2;

1. Upande basi Ubungo siku ya jumapili saa 12 asubuhi, (35,000) usafiri kutwa nzima ufike moshi saa 11 jioni. Ulale hotelini (30,000) uamke jumatatu uende kwenye intavyuu. Ulale moshi jumatatu, (30,000) uondoke jumanne asubuhi (35,000). Ushinde njiani ufike dar saa 2 usiku. Jumla = 130,000/- Muda masaa 60

2. Upande treni dar siku ya jumapili saa 10 jioni ukate ile ya ghali kabisa ya kulala (39,000) . Ufike moshi jumatatu saa moja asubuhi. Ujiandae uende kwenye intavyuu. Saa 10 jioni ukamate treni (39,000), saa mbili asubuhi jumanne uko dar unaendelea na shughuli zako. Jumla gharama = 78,000/- Muda masaa 36.

ahsante kwa uchambuzi wa kiuchumi hapo hujaweka msosi
 
Sikutaka kumjibu mpaka nione kama kuna aliyejibu kama ambavyo nilitaka,mkuu mimi pia hupanda treni mara nyingi nisipokuwa na haraka cha msingi huwa nahakikisha nina pocket money ya kutosha.

Nitakula na kunywa kule buffet,nitasoma kama ni kitabu,nitashangaa huko mapolini na nitalala pia bila pressure kupanda na kushuka kama huko kwenye barabara zilizojaa magari mabovu na madereva vichaa..
Treni raha sana mkuu hata ukitaka kuoga utaoga yaani kila kitu humo humo. Tena nawaomba hawa TRC watuwekee na kumbi za mpira humo humo tuwe tunaangalia TPL, EPL na UEFA Tanzania tukiamua tunaweza.
 
Nawasikitikia wazazi wako, bora wangevaa kondom tu.

Na wewe ulichagua kuja duniani?

Si ulikuja kwa bahati mbaya ukajikuta upo duniani ung’aa sharubu?

I wish nisingekuja kabisa to begin with!

Dunia ya kisenge namna hii yenye watu wa kisenge namna hii kama wewe!
 
We unaonekana hata moshi hujawahi kufika. Hebu niambie ni basi gani hilo linalofika moshi kwa 5 hours? Kwamba mtu akitoka dar saa 12 asubuhi anakua amefika moshi saa nne asubuhi?

Moshi ni 5-7-8 hours

Umepakia basi gani?

Usikute unapakia usenge wa mabasi

Private car ni 5hrs strictly!

Moshi sijafika?

Man,be serious!
 
Kwahiyo unadhan treni za hapa dsm hiz za Mwakyembe hazifanyi kazi ???

Na hiyo treni ya kwenda Moshi ni mpya, behewa zimeanza kubeba abiria kwa mara ya kwanza hapa nchini jana

Hakuna treni mpya hapo

Mabehewa yamepigwa rangi

Hata kama ni mpya,who gives a fvck to a 16hrs drive?

Who spends stupid 16hrs on a stupid locomotive?

I stay in a jet from Dar es Salaam to Tokya Japan for 13hrs straight and I feel awful!

Ndio nikakae na group la nzi kwenye behewa kwa 16hrs!?

Nigga pleaseee!
 
Back
Top Bottom