Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,835
Reli inayobeba treni ya Tanga - Moshi - Arusha iliwekwa na Wajerumani mwaka 1912.Zile treni zina miaka 120 mkuu
Ni 48 hours,na kuzima zima sana tu
Nina uhakika kabisa na hilo.
Reli inayobeba treni ya Tanga - Moshi - Arusha iliwekwa na Wajerumani mwaka 1912.Zile treni zina miaka 120 mkuu
Ni 48 hours,na kuzima zima sana tu
Reli inayobeba treni ya Tanga - Moshi - Arusha iliwekwa na Wajerumani mwaka 1912.
Nina uhakika kabisa na hilo.
......tumia akili.
Abiria wote ni vilaza wa lumumba fc yani uvccm,uwt,jumuiya ya wazazi,nec etcnusu ya abiria imebainika ni umoja wa wanawake ( UWT ) Mkoa wa Dar .
Unafahamu usafiri wa treni wewe?
Wenzetu wanaenda mbele sisi tuna rudi nyuma
Mimi ninachosema ni kuwa baada ya muda hizi treni zitasababisha ajali nyingi sanaMkuu
“Reli” ndio ilijengwa muda huo
“Treni” kama treni ilikua ishakula chumvi kabla haijaletwa luja kuendeshwa huku
Imejengwa late 1800’s mkuu
Go check your facts right!
Usafiri wa treni ni mzuri kwa hiyo timing waliofanya. Muda wa kuondoka ni jioni hivyo mtu unapiga dili zako fresh kwa siku husika.. jioni unashika usafiri... asubuhi unaibukia mkoa au jijini. Mimi naona ni usafiri mzuri.
Mimi ninachosema ni kuwa baada ya muda hizi treni zitasababisha ajali nyingi sana
Acha kuwa na mawazo ya mgando
Usafiri wa treni una raha yake
Ila bado wapo wale wakatao tumia private car
Ova
Ndio ya kizamani sana ndio maana inajengwa ya kisasa.Treni ni usafiri wa kizamani?
Tunarudi nyuma miaka 25. Nimejiuliza yale Mabenzi, Vogue, Wachagga waliokuwa wanayatumia kwenda kwao December yameenda wapi?
Hadi kufikia usafiri wa kizamani namna hii?
View attachment 1284152
Hadi wewe umeridhika kusafiri masaa 48 kwenda Moshi, kweli adui zetu wakubwa ni ujinga na umaskini.
Kwani wote walikuwa nazo Jambo zuri tupongeze Jambo baya tulikatae na tulikemeeTunarudi nyuma miaka 25. Nimejiuliza yale Mabenzi, Vogue, Wachagga waliokuwa wanayatumia kwenda kwao December yameenda wapi?
Hadi kufikia usafiri wa kizamani namna hii?
View attachment 1284152
Dah...Naona zile tiketi za mabasi ulizoshikilia zitakula kwako.... Awamu hii kila wapigaji wataomba poo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunarudi nyuma miaka 25. Nimejiuliza yale Mabenzi, Vogue, Wachagga waliokuwa wanayatumia kwenda kwao December yameenda wapi?
Hadi kufikia usafiri wa kizamani namna hii?
View attachment 1284152
Ndio ya kizamani sana ndio maana inajengwa ya kisasa.
Kwani mpk msifie awamu ya 5Treni hizi zimeanza kuwa na raha yake!!! Shikamoo awamu ya tano.
Teh teh teh...Pale maslai binafsi yanapoguswaNani anasafiri masaa 14?
Kwenda Moshi ni masaa 4-7 full stop!
Na ni luxury coaches na sio vyuma chakavu hivyo!
Leo mmepata abiri kurudi wote wanarudi na mabasi
Nani apakie usenge huo?
Plus leo mmepata 14hrs,next trip ni 24 hrs and then trip ya tatu ni 48hrs
Trip kumi ni gereji moja kwa moja halirudi tena mpaka miaka 24 again!
Fvck yall motherfuckers!
Hawa n wale wale waliokuwa wanapanda Basi hao wa Vogue we wasubir njiapanda cku mbil kabla ya xmassTunarudi nyuma miaka 25. Nimejiuliza yale Mabenzi, Vogue, Wachagga waliokuwa wanayatumia kwenda kwao December yameenda wapi?
Hadi kufikia usafiri wa kizamani namna hii?
View attachment 1284152
Sio hizi za Old school...Kipi cha Zamani hapo?
Usafiri wa treni au treni zenyewe?
Unachanganya mambo.
USAFIRI WA TRENI NI USAFIRI WA UHAKIKA NA SALAMA KWA ASILIMIA 90.
mzungu mpaka Leo anatumia treni.