Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kwani wote walikuwa nazo Jambo zuri tupongeze Jambo baya tulikatae na tulikemee
Jambo zuri.
IMG_20191208_071700.jpeg
 
Dah...Naona zile tiketi za mabasi ulizoshikilia zitakula kwako.... Awamu hii kila wapigaji wataomba poo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa, wao wapande ndege hawa wasiokuwa na uhakika na maisha ya wapande treni
IMG_20191208_224817.jpeg
 
Tushazoea kuona miezi kama hii ticket za basi znakuwa bei juu,
Vp kwa Sasa Hali ikoje?????

Ova
 
Kuna mdau juu hapo anatokwa na mapovu balaa, anaponda usafiri wa treni kupita kiasi

Treni kutoka saa 10 jioni na kufika Moshi asubuh ni bonge moja la magoli, uzuri kituo kipo Kariakoo where naweza nikawahi zangu Kariakoo by saa 5 asubuh na kufanya shopping yangu then by saa 9 na nusu naingia Kamata napanda treni + napata time ya kupumzika + kulala pia, asubuh naibuka kwenye mishe mishe Moshi

Kwa safari ya kwanza kutumia masaa 19 nahisi kwasababu ya mambo mengi + ufunguzi + mbwembwe njiani n.k ila baada ya safari hizi mbili za mwanzo onwards nahisi ni kuteleza tuu by less 15 hours

India wanatumia hizi locomotives na maisha yanaenda
 
Kuna aina nyingi za usafiri hivyo kila mtu atapanda aina ya usafiri anaoona upo katika uwezo wake au kwa jinsi moyo wake utakavyompendeza akiamua kupanda basi sawa, akiamua kupanda gari lake binafsi sawa, akiamua kupanda treni sawa akiamua kupanda fuso sawa, akiamua kupanda mabasi sawa,
Linapokuja swala la safari inategemea muda unaotaka kuusave ww ni upi. Mtu umepanga Safari ni tarehe flani tena kwenda kuwasalimia ndugu na jamaa kikubwa ni kufika salama, swala la muda kama ni mambo ya kibiashara, interview n. K hapo sawa. sasa mtu anakuja anakwambia muda ni Mali wakat mtu anaenda kusalimia ndugu jamaa na marafik. Alafu ikumbukwe wachaga hawapo dsm tu wako sehem mbalimbali.
Vitu vingine ni wivu usiokuwa na aibu
Hujui thamani ya muda.

Hata kama unaenda kulala kijiji kwa ndugu, muda bado una thamani sana.
 
,,.......
Kwa safari ya kwanza kutumia masaa 19 nahisi kwasababu ya mambo mengi + ufunguzi + mbwembwe njiani n.k ila baada ya safari hizi mbili za mwanzo onwards nahisi ni kuteleza tuu by less 15 hours

India wanatumia hizi locomotives na maisha yanaenda
Wee vjchwa vibovu vile. engine za kufufua hazivuti kama matarajio yaliotegemewa. Ndio mana hata Magufiri (mzee wa zinduazindua) alipiga chenga kuzindua. Kama zitakamata huo muda utaniambia,
 
Leo hii nimepakia dogo ameenda moshi, wamefika saa tisa , bus imeondoka saa KUMI NA NUSU usiku/alfajiri...(mabus yanayopak nje ya stand)...hakuna bus ya kuondoka saa 6:00 ikafika huko muda huo, labda iwe ya Magu

Arusha ufike saa nane that means moshi umepita saa saba ... Thubutu...hii ilikua inawezekana kabla ya tochi tu
Kuna vitu watu mnabisha bisha tu....jamaa aliepanda basi la Nairobi akafika arusha saa 8 he is right.....Kuna kipind nilipanda bus kuelekea Nairobi tulipita Arusha mida hiyo hiyo ya saa 8 had saa 8 na nusu
 
Kuna vitu watu mnabisha bisha tu....jamaa aliepanda basi la Nairobi akafika arusha saa 8 he is right.....Kuna kipind nilipanda bus kuelekea Nairobi tulipita Arusha mida hiyo hiyo ya saa 8 had saa 8 na nusu
Hakuna kitu kama hicho, wala hakitotokea siku za karibuni

Hakuna bus linafika moshi saa saba , endapo ikitokea linafungiwa , hiyo iliwezekana enzi hizo sio sasa

Naishi mwenge, nayaona kila siku hapa yanapita jion, gari inatoka tanga hapo inapita saa 7... Inayotoka moshi au arusha ipite saa nane ?? Ni saa 18:00 na kuendelea
 
Back
Top Bottom