Kupanda mnazi kwa mkono mmoja Kutaniua

Mods usionganishe uzi huu ni msaada wangu mwenyewe

Mimi ni kijana nipo na 19years sijawahi sex na pia nina mchumba ila nadra sana kuonana nae inaweza pia miezi hata minne hatujaonana

Hii imetokana na tabia yangu au malezi yangu ambayo kama sina issue nakaa tu ndani home mwenyewe tu

Japo manzi anataka tuonane ila nasikia uvivu kuzurura na issu hainipi hata pesa

Nikejaribu sana kuacha huuu mchezo ila nakwama sehemu moja wakati wa kulala nikishaongea na mchumba saa 7 au 8 akili inanijia natafuta gif za sex hasa za mdomo japo zamani nilitumia anal ila nilipambana kujiaminisha huo ni uchafu na nashukuru now nikiona hata x ya namna hiyo hainivutii sana

Hua sifanyi kila siku ninaweza kaa siku 4 mpk 12 kwenye progress yangu ila mwisho wa siku naangukia kulekule jana nimejilipua na progress yangu iliyokuwa 8days nimechoshwa sasa na hii tabia

Kila nikiingia kitandani usiku mnene mawazo mabaya yananijia

Ten bora sasa hivi nafanya moja zamani nilikuwa naenda hata bao tatu kwa pamoja

😔😔😔😔 Msaada wenu
njoo inbox nikusikilize vizuri inaonekana una tatizo kweli!
 
Shule hazijafungwa means umeingia shule na simu na kuificha chini ya godoro au umeiba simu ya dada yako upo day schol? Unaleta story za kipuuzi hujui baba na babu zako unatuaibisha au wewe ni yule afande mchele?
Nipo chuo mambo ya shule umesema wewe
Dalili za ulijali hizo, hongera. Wengine hata waone K ngoma hata haishtuki
Daah! Ahsante ndio raha ya kuwa na watu wanayojua maisha
Tafuta mke uoe
Weee na miaka yangu 19 namlisha nini?
Urijali uo, Nyeto ni nature ya kila mwanaume rijali pale anapokuwa na nyege afu huna demu ila ukiwa na demu utapunguza kupiga au hautapiga kabisa.

Jitaidi kama unapiga nyeto upige kwa kiasi na upige pale unapokuwa na nyege sana usipige kama chakula.
Ahsante sana kwa ushauri mana naona hata mimi kuacha ni mziki
Yeeees
Wewe mtoto wewe unataka kutujadilisha nini sisi mama zako na baba zako?
Kuwa na adabu.
Nilikuita?
 
Endelea kula mkono kama inakupa furaha na amani we jimalize.

Ila jitahidi kupambana na uoga uliopo ndani mwako, maamuzi yanaanzia kuubali ukweli ulioko ndani mwako na kuamua kwa vitendo kubadili
 
Endelea kula mkono kama inakupa furaha na amani we jimalize.

Ila jitahidi kupambana na uoga uliopo ndani mwako, maamuzi yanaanzia kuubali ukweli ulioko ndani mwako na kuamua kwa vitendo kubadili
Ahsante ila nyeto hainipi furaha katu
 
Back
Top Bottom