Ndugu WaJF taarifa kutoka mtaani zinaonyesha kuwa bei za bidhaa mbali mbali zimepanda maradufu mara tu baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010; Kama tutakavyokumbuka suala hili la mfumko wa bei ilikuwa ni moja ya ajenda kuu za CHADEMA katika uchuguzi huu.
Habari zinaonyesha kuwa saruji imepanda kutoka Shs 12,500/ kufikia 15,000/= hapa mjini, ndoo ndogo ya mafyta ya kula imepanda kutoka Shs 16,000/= hadi Shs 24,000/= n.k
Wakati natoa wito kwa wabunge wa CHADEMA kuanza kuisurubu Serikali kwa hali hii, naomba wanaJF wenye taaluma ya kiuchumi watusaidie nini chanzo cha hali hii kutokea tena kwa kiwango kikubwa kiasi hiki?
Umesema sahihi mkuu, asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Watanzania wajiandae na maumivu makubwa sana katika miaka hii mitano ijayo. Pamoja na wizi wa kura, kama wengi wangetaka mabadiliko wizi wao usingefua dafu na sasa tungejipanga vingine katika mkakati wa kuinua kipato cha Mtz na kuzibiti mfumko wa bei. Ndugu zangu wa Singida,Lindi,Pwani Tanga na kwingineko mliko ng'ang'ania kuwa CCM ni nambari wani mtaendelea kuishi kwenye Tembe kwa miaka mingine mitano.Kura mnawapa CCM, utatuzi wa matatizo ni CHADEMA. Hamwoni kuwa mnawatesa? Dr. Slaa aliwaambia bei ya Saruji haitazidi shs.5,000 watu wakaona haiwezekani sasa ikipanda si ndo kitu wanachotaka watu?
Ndugu WaJF taarifa kutoka mtaani zinaonyesha kuwa bei za bidhaa mbali mbali zimepanda maradufu mara tu baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010; Kama tutakavyokumbuka suala hili la mfumko wa bei ilikuwa ni moja ya ajenda kuu za CHADEMA katika uchuguzi huu.
Habari zinaonyesha kuwa saruji imepanda kutoka Shs 12,500/ kufikia 15,000/= hapa mjini, ndoo ndogo ya mafyta ya kula imepanda kutoka Shs 16,000/= hadi Shs 24,000/= n.k
Wakati natoa wito kwa wabunge wa CHADEMA kuanza kuisurubu Serikali kwa hali hii, naomba wanaJF wenye taaluma ya kiuchumi watusaidie nini chanzo cha hali hii kutokea tena kwa kiwango kikubwa kiasi hiki?
Ndugu WaJF taarifa kutoka mtaani zinaonyesha kuwa bei za bidhaa mbali mbali zimepanda maradufu mara tu baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010; Kama tutakavyokumbuka suala hili la mfumko wa bei ilikuwa ni moja ya ajenda kuu za CHADEMA katika uchuguzi huu.
Habari zinaonyesha kuwa saruji imepanda kutoka Shs 12,500/ kufikia 15,000/= hapa mjini, ndoo ndogo ya mafyta ya kula imepanda kutoka Shs 16,000/= hadi Shs 24,000/= n.k
Wakati natoa wito kwa wabunge wa CHADEMA kuanza kuisurubu Serikali kwa hali hii, naomba wanaJF wenye taaluma ya kiuchumi watusaidie nini chanzo cha hali hii kutokea tena kwa kiwango kikubwa kiasi hiki?
Hawa watu wa vijijini hawaoni athali kubwa ya maisha, kwani nyumba zao ni za miti na udingo, na nyasi, vyote ni bure, wanahitaji tu chunvi , mafuta ya taa na viberiti, ambavyo havina athali kubwa ukilinganisha na watu wa mijini kila kitu ni cha kununua. Sasa cha msingi ni Kuwaconvisi ndungu zetu wa vijijini wasiipende ccm. kila mwanaharakati wa mjini afanye juhudi hizo.
Iko siku tutachapata hatuwezi endelea kuumia kwa sababu ya watu wachache, Niliingia mtaani kwenda kufanya kiutafiti kidogo haya ndiyo matokeo:
Karanga Kg1 2000 baada uchaguzi 3000
Mchelek g1 1300 baada uchaguzi 1500
Nyama kg1 4000 baada ya uchaguzi 4600
Soya kg1 3000 baada ya uchaguzi 3600
Mahindi ya makande kg1 600 baada ya uchaguzi 800
Choroko kg1 3000 baada ya uchaguzi 4000
Viazi sado1 1800 baada ya uchaguzi 2500
Nyanya sado 2000 baada ya uchaguzi 5000