luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
Nonsense.
mmmmm???? anyway The boss naomba usichangie huu uzi maana akija na junior boss mtanichanganya nishindwe kuwatofautisha by character
Nonsense.
dalalitz
First of all, im not a kid and not a coward, you have no idea of tha type of life i live or going through and i have already made my decision over a year ago, im just sharing my experience here.issue is sipendi kua a source of someone's pain and suffering.Put urself in tha shoes ya yule mwanamke nliyemuacha...try to imagine yuko katika hali gan.?
Tumeumbwa tofauti, sometimes huwa nakua mkatili sana in my daily grind issues but kwa yule mwanamke ni wazi nimemkosea na nilazima niwe na huruma...kuchezea feelings za mtu is no good thing at all.
Akifanya kitu cha kudhuru maisha yake.unafikiri ntakua katika hali gani mm nliyemsababashia hayo matatzo ?? Think of her well being and future....its easy to talk and brag out loud in here.Think before u post.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote na kibaya zaidi hataki kuambiwa ukweli.
Senior Boss
View attachment 232027
Yetu masikio na macho tuuu
Usikurupuke kuropoka/kupost kama mwanamke wa manzese umesoma vizuri thread ukaielewa ??.
..du!!sasa hizi hasira..ama umemaanisha???wamekufanya nini wanawake wa manzese.??
.........i had fallen for her completely siambiwi, sielezwi sishkiki nimepigwa shoti, nikafa nikazikwa kwake.Sasa najiuliza ivi ni ndoa zote zinafungwa hivi kibabe, zinakuja naturally au ni makubaliano. Maana ni balaa sana, maana nikiwaza naona kama picha la kihindi.
mna muda gani tangia mjuane na huyu mpya......
Pole tena pole sana, ukirudi mwangani utashaurika ila ndio itakua too late...."Mwanamke mwenye mapenzi ya that na anayejiamini hadai ndoa kwani anajua ipo kwa ajili yake" Huyu ni laghai my friend... akishapata ndoa utarudi na mada hapa jukwaani kila uchwapo... Take my words.
Yani ana hasiraa kaka yangu huyu...ukileta thread humu lzm ukubali positive na negative attitude za watu...n ofcz lengo la hii thread ni nn..kutupa taarifa au kutuomba advice...
Sikiza bana....kuna a huge difference between ushauri na kejeli za watu humu....kuna watu wameshauri kivingine na ninachokiamini sikua mkali by anyhow. Issue kejeli na dharau sipendi. Achilia mbali utani na masihara yanajulikana and im cool wit it.
..du!!sasa hizi hasira..ama umemaanisha???wamekufanya nini wanawake wa manzese.??
Umeumia!!sana mlimani city hakuna mapenzi
duuu mchaga cna hamu naoo nahis epsod 2 inakuja usisahau kutuelezaaa
Okeeey😀😀😀:beer: