Kupajua nyumbani tu, anataka nimuoe

Kupajua nyumbani tu, anataka nimuoe

Senior Boss

Wakati upo na huyu wa kishua, kwanini ulimfata huyo uliyemuumiza?
Wakati unamchezea huyu uliyemuumiza, hukukumbuka kama kuna huyu wa mlimani city?
Nyinyi wanaume mkoje!!!
 
Last edited by a moderator:
My dia hapo umepoteaaa...umekutana nae m city then anajuganda...halafu kwann alazimishe kuolewa...asije akawa ni changu classic from UK
Mwambieni kaka yenu ujanja wake wote hajagundua kuwa imekula kwake.
 
Senior boss hakuna picha la kihindi hapo,umemenya muwa utafune unyonye maji yake mpaka yaishe maana yake awali ni awali na huyo amewahi muoe tu fainali uzeeni.
 
Wakati upo na huyu wa kishua, kwanini ulimfata huyo uliyemuumiza?
Wakati unamchezea huyu uliyemuumiza, hukukumbuka kama kuna huyu wa mlimani city?
Nyinyi wanaume mkoje!!!

Read tha thread again nd the comments i've written mpaka kufikia hapa. Utanielewa...wapo wengine wamekwisha nielewa.
Thanks.
 
senior boss hakuna picha la kihindi hapo.. umemenya muwa utafune unyonye maji yake mpaka yaishe...maana yake awali ni awali na huyo amewahi...muoe tu fainali uzeeni

Ye olready kno. Tehe
 
The lady has a point just as i am, -Open your eyes-man.
And hey don't act like a toddler,
The lady is smart and she has the right to speak her mind.
Fuc..k off with your macho-egocentricity.

Nonsense.
 
Hongera sana mkuu,hahahahaha! inabidi ufanye mchakato haraka ili ule kiharali,siye watoto wa kichaga huwa tunapenda ukweli na tukizama huwa tunazama mazima.
 
Una hasira nimeliwacha dada lako, ushemej umekufa utalala njaa, jero jero za bundle kwisha habari yake... Hahaha kaza moyo. #JipangeKijana .
Hahahahahahaha,
Lakini umechunika kiasi cha kutosha bila shaka,
Sasa nani mjanja dada yetu au wewe unaelialia hapa?
 
Raha ya mwanamke wa kuoa ni yule una PROPOSE, anaringa kidogo, anacheka then mnapanga mikakati ya ndoa. Sio hujatamkiwa, ushakusanya mabegi, masanduku, lumbesa, viroba utadhani unaenda kupata mgawo wa Eskrow unahamishia kwa boyfriend.. halafu unatangaza posa inakuja wakati mwenye kuoa hana habari kama anaoa, anayejua kuna ndoa ni muolewaji pyuuuu....!!!
 
Hahahahahahaha,
Lakini umechunika kiasi cha kutosha bila shaka,
Sasa nani mjanja dada yetu au wewe unaelialia hapa?

Anayelia nani ?? Wakat nime share my experiences as a man...watu humu wana nyota za jalala wanaona its too good to be real. Issue is im not good in faking experiences.

Mjanja mimi ofkoz kuwachana na dada yako le gademu kupe....a woman who does nothing on her own but sucks money outta my pockects 24/7. Una hasira nimekunyang'anya bajaj nliokuachia upigie mzigo...utakula nyasi mjini hapa super gadem mburululaz. Hahaha
 
Hahaha wadau hamtaki kuamini....nlishawahi eleza kuhusu huyu mtoto hapo awali...alivyokua pasua kichwa....
Tatzo wengine nyota zenu za jalala humu. Lol...

Hatarii sana mwanaume una maneno ya shombooo!!
 
Back
Top Bottom