Kupajua nyumbani tu, anataka nimuoe

Kupajua nyumbani tu, anataka nimuoe

raha ya mwanamke wa kuoa ni yule una PROPOSE, anaringa kidogo, anacheka then mnapanga mikakati ya ndoa. Sio hujatamkiwa, ushakusanya mabegi, masanduku, lumbesa, viroba utadhani unaenda kupata mgawo wa Eskrow unahamishia kwa boyfriend.. halafu unatangaza posa inakuja wakati mwenye kuoa hana habari kama anaoa, anayejua kuna ndoa ni muolewaji pyuuuu....!!!

I didnt expose much of tha story here....plus u weren't there or witnessed when i was tryna win her heart. Hujui ni challenges zipi alinipa...plus alivyonipasua kichwa kipindi cha karibuni hapa...but all in all we make it through all the obstacles and can never split....
Nlishawahi andika thread humu jinsi alivyoni challenge nd felt lost...but nlijua chanzo nd its sorted.
Subiria mualiko wa harusi. Lol
 
I get ur point....Kwanza ujue mtoto wa kike aliyekua matured enough hafugiki hata umbane namna gani..plus i meant like her coming to spend the night at my place once in a while is no issue to her its not often though huwez jua kwao anaaga vipi, mfano alishawahi sema kwao kasafiri kikazi for 4 or 5 days kumbe kaja to my place ni vitu vya kawaida mwanamke kufanya akishakua na bwana... at tyms hua anaweza stay till late evenings in my place then anaondoka kwao na ujio wake hautabiriki ana copy ya keys to my place ( i trust her enough )...
Ana vitu vyake kibao in my place in such a way akija mtu home ni lazma atajua kuna mwanamke nipo nae pia ni ngumu sana nkisema ni cheat at my place atajua tu kila kitu...i hope its now clear to u.

Aaah that's very normal!! To spend a night or two doesn't mean she is desperate! I thought she moved in completely.
 
Anayelia nani ?? Wakat nime share my experiences as a man...watu humu wana nyota za jalala wanaona its too good to be real. Issue is im not good in faking experiences.

Mjanja mimi ofkoz kuwachana na dada yako le gademu kupe....a woman who does nothing on her own but sucks money outta my pockects 24/7. Una hasira nimekunyang'anya bajaj nliokuachia upigie mzigo...utakula nyasi mjini hapa super gadem mburululaz. Hahaha
Naona tartiiiiiiiibu unafunguka,
Hivi huna ndugu au washkaji hata marafiki wanawake wa kukushauri?
Kumpa pesa mpenzi wako si kosa ila kuchunika kiasi hicho unachoelezea sasa,
Inadhirihisha 'Unyasa wako'...Wewe tulia tu kwa kuwa sasa umeshajifunza na shukuru mungu tunakufungua macho kama hivi.
 
hongera sana mkuu,hahahahaha! inabidi ufanye mchakato haraka ili ule kiharali,siye watoto wa kichaga huwa tunapenda ukweli na tukizama huwa tunazama mazima.

Yeaaah and its gana be large....kamati ya mapambo yako mdada. Jiandae....Lol
 
Naona tartiiiiiiiibu unafunguka,
Hivi huna ndugu au washkaji hata marafiki wanawake wa kukushauri?
Kumpa pesa mpenzi wako si kosa ila kuchunika kiasi hicho unachoelezea sasa,
Inadhirihisha 'Unyasa wako'...Wewe tulia tu kwa kuwa sasa umeshajifunza na shukuru mungu tunakufungua macho kama hivi.

Nonsense.
 
Me sioni kosa la mdada hapa katumia fursa vizuri kumuonyesha jamaa anastahili kuwa mke mwema.ukishamvulia mwanaume sketi laazma uonyeshe uko desperate for ndoa especially ukiwamwanamke unae jieshimu.namna ghani unaonyesha uhitaji wako wa ndoa ndio inamtofautisha mwanamke mmoja na mwingine.by the way hyo dada alipoenda kuishi pala jamaa alipata muda mzuri wa kumsoma huyo dada ndio maana alikubali kuendelea nae cause aliona ni wife material.angekuwa haeleweki asingeshindwa kumfukuza.
Cha kujifunza wadada wengine hapa ukishamvulia mwanaume sket kama kweli unampenda unakazi ya ziada kumshawishi mwanaume atangaze ndoa kama alivyofanya hyu mwenzenu
 
Yeaaah and its gana be large....kamati ya mapambo yako mdada. Jiandae....Lol

yani huwa nafurahi sana kuona watu wanaoana kwa moyo mkunjufu.Nakutakia maandalizi mema na usije nisahau kwenye kamati ya vinywaji.
 
Me sioni kosa la mdada hapa katumia fursa vizuri kumuonyesha jamaa anastahili kuwa mke mwema.ukishamvulia mwanaume sketi laazma uonyeshe uko desperate for ndoa especially ukiwamwanamke unae jieshimu.namna ghani unaonyesha uhitaji wako wa ndoa ndio inamtofautisha mwanamke mmoja na mwingine.by the way hyo dada alipoenda kuishi pala jamaa alipata muda mzuri wa kumsoma huyo dada ndio maana alikubali kuendelea nae cause aliona ni wife material.angekuwa haeleweki asingeshindwa kumfukuza.
Cha kujifunza wadada wengine hapa ukishamvulia mwanaume sket kama kweli unampenda unakazi ya ziada kumshawishi mwanaume atangaze ndoa kama alivyofanya hyu mwenzenu

mkuu embu nyamaza,mie nilikaa nae almost 2year na na vigezo vyote vya kuwa mke nilikuwa navyo ila jamaa alinitimuaa tena kwa kunipa siku 4 niwe nishaondoka la sivyo angeniuwaaa,sikumfanyia kosa lolote lile ila tu alikuwa na mchepuko ulio jazia jazia,maana mie mtoto wa kichaga sina hata choo cha shimo.
 
Thank you sooooo much Umbwe1.
Daaah sijui hata nikupe kitu gan. U kno everything in my mind. U spoke it all. Again thanks much. Daaah
 
yani huwa nafurahi sana kuona watu wanaoana kwa moyo mkunjufu.Nakutakia maandalizi mema na usije nisahau kwenye kamati ya vinywaji.

Big AMEN.
Without a doubt. Lol
 
Deal wit it.
doole2.jpg
 
Take Note:
I live by means. I am stable nd self reliant. She knows it nd i have my principles and codes ambazo yeye amekubali kuzifwata na kuzitii bila shurti. Keep ur words to urself brother.

Je hujui kwamba binti akitaka kuolewa atakuahidi kufata vyote na atakua such an angel...

Naungana na lara1 ameongea ukweli...

Ujue huyu anataka ndoa she is ready to do anything sasa hivi ili umuoe.
A relationship based on a lie is not a good relationship.. kama alikudanganya she is virgin to get u what makes you think that she is pottering the real her?!

My perception is that all she wants is marriage so don't be fooled by what she is doing sasa hivi. Mpaka atangaze ndoa mwenyewe hushtuki tuu na hujamwambia?!

What makes you think you can control her or rule her.. tena na mifumo dume yetu kichaga naona kama utakoma.. pasua kichwa huyu usidanganywe na macho ya huba na ujuz wa mambo utalia umkumbuke uliemtema.. kumbuka sio kila anaetaka kuolewa is ready for ndoa wengine wanataka haurusi tuu na tittle tuu..

Coming from a Godly family doesn't make one holy?! Being classy and educated doesnt guarantee you that she will be a good wife there is alot more to being a wife..
Be careful.
 
Hatarii sana mwanaume una maneno ya shombooo!!

Shombo zingine nzuri....huwez linganisha shombo ya kuku wa kuchoma wa oysterbay na shombo ya utumbo wa manzese...
Note the difference. Tehe
 
mkuu embu nyamaza,mie nilikaa nae almost 2year na na vigezo vyote vya kuwa mke nilikuwa navyo ila jamaa alinitimuaa tena kwa kunipa siku 4 niwe nishaondoka la sivyo angeniuwaaa,sikumfanyia kosa lolote lile ila tu alikuwa na mchepuko ulio jazia jazia,maana mie mtoto wa kichaga sina hata choo cha shimo.

Kesi yako ni mfano mzuri kwamba jamaa hakulaazmishwa alikubaliana na binti
 
Mkuu naona tupo basi moja, ndoa za siku hizi zinafungwa kibabe kweri kweri, maana bila kutarajia unakuta mtu keshahamia kitaaambo.
Pole yetu wahanga wote

Hahaha yeaaah on my side...i too have serious feelings for her. Anavyoniganda na kunipa her true love and affection, yan ndio kabsaaa mtu akimponda simuelewi na twaweza ishia kugombana. Lol
 
Back
Top Bottom