Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
- Thread starter
- #121
Bro mama alikueleza ukweli kuhusu kabila lako? Maana unasmell kamakinananihii! Too arrogant...
My attitude is based on how a person treats/reacts to me.
Bro mama alikueleza ukweli kuhusu kabila lako? Maana unasmell kamakinananihii! Too arrogant...
beestito bora umemwagia ya ukweli huyu ndugu yetu kakayetu kwani kama kichwa chake nazi shaurire atajuta kuzaliwa
hata mm nimeona yule wa kwanza ndo wife material lakini huyu wa pili majanga matupu kama anajifanya anaomuoa ili mtoto huyu asijisuicide basi ajue anajitafutia mabalaa bora aoe chaguo lake la moyoni lakwanza kuliko mtu anayejipeleka mzimamzima na kuamia kwake utadhani ndo ametafutiwa chuumba na dalali mweeee
Hypocrite....ivi a few days ago ulikua unaniambia maneno gan ?? Daah...
Hahaha Hebu Give me a break woman...
hypocrite mwenyeweeee uliyekuwa kipofu usiyeona majani ya juu
ni afadhali ya twiga ataona majani ya juu kulikio ya tembo mwenye mwili mkubwa na wala asing'amue kitu
My attitude is based on how a person treats/reacts to me.
You've nit finished your story. Did you marry her?
Most of the marriage s today get problematic, why? Because of family problem.Yet I refer genesis 29.28 (story of Jacob, Leah and Rachel).For every men with happy and success ful marriage must have been think about it to get in.always salute to all women who know that thry are type of cows and not sheep's .....
Andika kiswahili tu utaeleweka kuliko kuhara mimavi ya bata hii ukidhani unaandika kiingereza
Excuse me little boy,am not even thinking to limit myself for what you want.you can pass my comment silently.
wa kichaggaaa....totoz.....big up
kanikazia macho anasema mi ndio nimeitoa nd that ni lazima nimuoe lasivyo anajiua amekomaa :yo:
mwenyewe kito...mbiii watafuta virgin...bora hata alikukazia mimachooooo
mkuu weka mtoto ndani
Mkuu kwanza apo umeonesha uzaifu kama mwanaume, mwanamke awezi kukushinda ujanja, aiwezekani eti mwanamke amekukonvisi uwe nae ninaweza kusema iyo ndoa kama itafungwa sisi maamuzi yako bali ni circumstance fulan fulani zimepelekia mpk ifungwe iyo ndoa. Mbali na ayo umemwacha binti wa watu maskini cjui ulimwaidi utamuoa mbaya zaidi umemwacha bila kosa la msingi si mbya mkuu ila nina mashaka na iyo ndoa yako na kama uyo mdada ni mmachame imekula kwako.
hajui kuwa kama alitapeliwa kiaina
siku hizi wanaweka bandia yeye akaona
amepata kumbe amepatikana hahahahhahahahahaa