Kupajua nyumbani tu, anataka nimuoe

Kupajua nyumbani tu, anataka nimuoe

Je hujui kwamba binti akitaka kuolewa atakuahidi kufata vyote na atakua such an angel...

Naungana na lara1 ameongea ukweli...

Ujue huyu anataka ndoa she is ready to do anything sasa hivi ili umuoe.
A relationship based on a lie is not a good relationship.. kama alikudanganya she is virgin to get u what makes you think that she is pottering the real her?!

My perception is that all she wants is marriage so don't be fooled by what she is doing sasa hivi. Mpaka atangaze ndoa mwenyewe hushtuki tuu na hujamwambia?!

What makes you think you can control her or rule her.. tena na mifumo dume yetu kichaga naona kama utakoma.. pasua kichwa huyu usidanganywe na macho ya huba na ujuz wa mambo utalia umkumbuke uliemtema.. kumbuka sio kila anaetaka kuolewa is ready for ndoa wengine wanataka haurusi tuu na tittle tuu..

Coming from a Godly family doesn't make one holy?! Being classy and educated doesnt guarantee you that she will be a good wife there is alot more to being a wife..
Be careful.

Kwa maoni yangu bora kumuoa mwamke anayeonyesha anataka kuolewa kuliko kumbembeleza mtu anayejihisi anaweza kuishi bila mwanaume.mtu kuficha tabia yake kabisa ni ngumu sana lakin vile vile hakuna mwanamke aliye malaika na ukitaka kumuoa mtu wakati mwingine unaangalia familia yake ni watu waaina ghani hivyo vyote jamaa kaviona vingine mnavyosema ni story tu.
 
Hamna asietaka kuolewa ndugu ila kuna kuzidiana katika style za kufikisha ujumbe . Mimi ninavyo ona njia huyu binti ndio imenishtua.

It seemed to me that she is desperate to be married. And that is not good. Kuanzia maisha mtu na mtu yupo desperate. Trust me naongea kama mwanamke najua what she is doing. .

Ndio family matters ila Wangapi wametoka famili za spiritual leaders lakini hawapo huko sana?! Ninachosema anapaswa pia kujua tabia za dada kwa nafsi yake yeye kama yeye maana na kuangalia kama hizo tabia zake zinaendana na the family in question.
 
Hahaahaaaaaaaaaaaaa! Virgin
at 25???????? F.U! Ningekununuia kreti ya bia.

Unafanya the mistake of your life. Yule wa kwanza ndo BINGO. Manake
kwanza hana makuu, amefundwa kutomngangania mwanaume, afu anakuamini.
AINT NOTHING IMPORTANT IN YOUR MARRIAGE LIKE YOUR FREEDOM.

Yani huyu atakukalia kichwaniii, atakunyima raha mpaka utajutaaaaaaaaa.
We mwanamke gani anajifanya virgin at 25????????? Yani huyo ni muongo
alie kubuhu. Alafu hio kujiamishia inaonesha huna say. Kuna watu getto
kwake unaliwa na huachi hata hanker chief.Ndoa sio fling mkuu.
Utajutraaaaaaaaaaaaaaa!

lara mm am virgin at 25 ahaaaaaaaaaa even God wil not accept this. aliwekewa "gusa unateeee" ila haikukolea
 
Wengine tunatoka wenginemnaingia.leo tumeachana baada ya kuishi kwa miaka 6
 
Go for your intuition kaka , Nothing beats the voice in your heart; Tatizo is ar u making that decision with a sober mind?
I dont judge you anyways but u seem to have dated your proposed wife for a short time --Again we can urgue how long is long to know a person , it all depends with what things you expected to see within a timespan.

Ndoa na relationships hazina formula , people can argue ooh she is desparate , she is this and that --it all comes down kwako , do you see a future together? its only u can tell this and better be true to yourself ila isiwe unataka kumkomoa huyo wa old time . And one advise: pamoja na kuwa mmeachana na huyo ex usimtukane wala kumdharau , part ways peacefully dont throw shit here as ur doing we'r still in a small rotating world --u may bump into her hata ukaaanguka on the road akawa wa kusave ur life.

All the best in your new move
 
dalalitz

First of all, im not a kid and not a coward, you have no idea of tha type of life i live or going through and i have already made my decision over a year ago, im just sharing my experience here.issue is sipendi kua a source of someone's pain and suffering.Put urself in tha shoes ya yule mwanamke nliyemuacha...try to imagine yuko katika hali gan.?

Tumeumbwa tofauti, sometimes huwa nakua mkatili sana in my daily grind issues but kwa yule mwanamke ni wazi nimemkosea na nilazima niwe na huruma...kuchezea feelings za mtu is no good thing at all.

Akifanya kitu cha kudhuru maisha yake.unafikiri ntakua katika hali gani mm nliyemsababashia hayo matatzo ?? Think of her well being and future....its easy to talk and brag out loud in here.Think before u post.

Well said,
Mambo haya hukuwa magumu pia kuamua,Mungu mwenyezi atujaalie wepesi sie waja wake.
Ulishare story yako as if uko ktk kiatu changu nateseka na story ya kupigwa kibuti yenye source km hii as my boy kampata dada wa kishua wanakula ujana.
 
Last edited by a moderator:
Naona kijana wa kiume unakaribia kuolewa...

hahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nimejikuta nacheka mpaka mkojo umenibanaaaa! Ulivoanza kama unatoa bongeeeeeee ya point.
 
Hahaha wadau hamtaki kuamini....nlishawahi eleza kuhusu huyu mtoto hapo awali...alivyokua pasua kichwa....
Tatzo wengine nyota zenu za jalala humu. Lol...

Mkuu wazaramo washazoea kukutana kwenye vidaladala vya gongolamboto na kwenye vigodoro.. Hii lazima wataona kama sinema hahaha
 
Mkuu wazaramo washazoea kukutana kwenye vidaladala vya gongolamboto na kwenye vigodoro.. Hii lazima wataona kama sinema hahaha

Hahaha kweli...watu wamenikazia balaa...ila what im going through is real...i wish watu wangejionea live....
 
Well said,
Mambo haya hukuwa magumu pia kuamua,Mungu mwenyezi atujaalie wepesi sie waja wake.
Ulishare story yako as if uko ktk kiatu changu nateseka na story ya kupigwa kibuti yenye source km hii as my boy kampata dada wa kishua wanakula ujana.

Pole sana mkuu, istoshe i totally feel my relationship na yule dada before this issue was a mistake i really regret doing....
Sasa heb imagine nikiishi na mtu ambaye moyo wangu haujaridhia 100/100 ntakua namdanganya tu...plus kutakua hamna amani na furaha ndani ya nyumba mwishowe ntazidi kumuumiza. Tha best way to love and care someone very dear to you is to let her go.
Hata Mungu ni shahidi....nimefanya hvyo kwa nia njema. Whats tha point niishi nae then niwe nachepuka later on ??? Sio fresh...
 
Go for your intuition kaka , Nothing beats the voice in your heart; Tatizo is ar u making that decision with a sober mind?
I dont judge you anyways but u seem to have dated your proposed wife for a short time --Again we can urgue how long is long to know a person , it all depends with what things you expected to see within a timespan.

Ndoa na relationships hazina formula , people can argue ooh she is desparate , she is this and that --it all comes down kwako , do you see a future together? its only u can tell this and better be true to yourself ila isiwe unataka kumkomoa huyo wa old time . And one advise: pamoja na kuwa mmeachana na huyo ex usimtukane wala kumdharau , part ways peacefully dont throw shit here as ur doing we'r still in a small rotating world --u may bump into her hata ukaaanguka on the road akawa wa kusave ur life.

All the best in your new move

Ni kweli unachosema mkuu,
I am making this decision wit my right mind and im not under pressure by anyhow....
I have watched and examined closely this new woman i'm with....trust me she z tha one for me....we do have a future together...ni mambo mengi nimeshamfatilia....i will never regret being wit her....hata shetani akijaribu kuingilia kati hatofanikiwa.
All in all. Thanx for ur advice chief.
 
beestito bora umemwagia ya ukweli huyu ndugu yetu kakayetu kwani kama kichwa chake nazi shaurire atajuta kuzaliwa

hata mm nimeona yule wa kwanza ndo wife material lakini huyu wa pili majanga matupu kama anajifanya anaomuoa ili mtoto huyu asijisuicide basi ajue anajitafutia mabalaa bora aoe chaguo lake la moyoni lakwanza kuliko mtu anayejipeleka mzimamzima na kuamia kwake utadhani ndo ametafutiwa chuumba na dalali mweeee
Hahaahaaaaaaaaaaaaa! Virgin at 25???????? F.U! Ningekununuia kreti ya bia.

Unafanya the mistake of your life. Yule wa kwanza ndo BINGO. Manake kwanza hana makuu, amefundwa kutomngangania mwanaume, afu anakuamini. AINT NOTHING IMPORTANT IN YOUR MARRIAGE LIKE YOUR FREEDOM.

Yani huyu atakukalia kichwaniii, atakunyima raha mpaka utajutaaaaaaaaa. We mwanamke gani anajifanya virgin at 25????????? Yani huyo ni muongo alie kubuhu. Alafu hio kujiamishia inaonesha huna say. Kuna watu getto kwake unaliwa na huachi hata hanker chief.Ndoa sio fling mkuu. Utajutraaaaaaaaaaaaaaa!
 
akili kichwani mwako jiangalie mdogo wangu usijelewa na huyo mjanja ukadhani ndo togwa kumbe ni bilauri shauriro
Pole sana mkuu, istoshe i totally feel my relationship na yule dada before this issue was a mistake i really regret doing....
Sasa heb imagine nikiishi na mtu ambaye moyo wangu haujaridhia 100/100 ntakua namdanganya tu...plus kutakua hamna amani na furaha ndani ya nyumba mwishowe ntazidi kumuumiza. Tha best way to love and care someone very dear to you is to let her go.
Hata Mungu ni shahidi....nimefanya hvyo kwa nia njema. Whats tha point niishi nae then niwe nachepuka later on ??? Sio fresh...
 
Bro mama alikueleza ukweli kuhusu kabila lako? Maana unasmell kamakinananihii! Too arrogant...
 
Back
Top Bottom