Kupajua nyumbani tu, anataka nimuoe

Kupajua nyumbani tu, anataka nimuoe

Hapo umepotea na utakuwa haujafanya jambo jema kwa msichana wako ambaye tayari alishakuamini lakini ukashindwa kutunza uaminifu. Je huyo dada umeshamueleza?

Anafaham, nlikwisha mjuza tha whole thing and i'm done wit her.... It was a mistake mi kuwa na mahusiano nae plus why shud i continue a relationship wit her if i no longer have true feelings for her ???
Kilichokua kinaniumiza kichwa ni jinsi ya ku split nae without leaving her mentaly and emotionally damaged (scarred) ....
 
Mlimani City pangekuwa panakaangwa mihogo....nami ningehudhulia pengine ningebahatisha kilichokuwa watoto clasic.....lakini mambo ya chai kikombe buku na sahani ya wali buku 7....ndio yananifanya nipaone kama Somalia.........
 
Unaoa mke huoi godly family we bado dogo aiseee chalii! narudia huwa tunaoa mke hatuoi familia yake
 
Hongera,
kuna kitu nimejifunza.. ule usemi wa "ukiona mwenzio kapendwa ujue kuna mjinga katendwa"
kumbe ni kweli, asingekua huyo binti usingemwacha mpenzi wako. Ila ndo habari ya wanaume wengi sikuizi..

Jitahidi pia kuisikiliza sauti ya mungu juu ya hilo.
 
Unaoa mke huoi godly family we bado dogo aiseee chalii! narudia huwa tunaoa mke hatuoi familia yake

Usikurupuke kuropoka/kupost kama mwanamke wa manzese umesoma vizuri thread ukaielewa ?? Kuna sifa zake binafsi yeye kama yeye na sifa za familia anayotoka....nimeziandika hapo juu.
 
Hongera,
kuna kitu nimejifunza.. ule usemi wa "ukiona mwenzio kapendwa ujue kuna mjinga katendwa"
kumbe ni kweli, asingekua huyo binti usingemwacha mpenzi wako. Ila ndo habari ya wanaume wengi sikuizi..

Jitahidi pia kuisikiliza sauti ya mungu juu ya hilo.

Amen. I will brother. Thanx a lot.

Ni mambo mengi amekwisha nifanyia in my life...Things that have changed my ways of life and well being...my businesses and life run well wit her in my life. I have never been much happier. There is no doubt she z my other half...
 
Usikurupuke kuropoka/kupost kama mwanamke wa manzese umesoma vizuri thread ukaielewa ?? Kuna sifa zake binafsi yeye kama yeye na sifa za familia anayotoka....nimeziandika hapo juu.

Mi ni wa manzese huko nako kuna mlimani city yetu ya walalahoi
 
While unlike others I will not focus in the validity of the story,
I'll just say I feel your situation man, n yes you are in deep shit!
 
Mkuu naona tupo basi moja, ndoa za siku hizi zinafungwa kibabe kweri kweri, maana bila kutarajia unakuta mtu keshahamia kitaaambo.
Pole yetu wahanga wote
 
Katika maelezo yako umesema huyo bint ni bomba na anafaa kuwa mke..!sasa unasua sua nini
 
Kuna siku utarudi na kilio kingine humu ndan we kwao unakujua kukwambia kasoma ww umejua ni mtto wa kibopa jua kua siku hizi wasomi wapo na wengi tu na ulipo mkuta huyo ndio sehemu yao ya mawindo
 
Define/Elaborate ( fafanua zaidi ) hapo kwenye Red uki relate na hyo case hapo juu.

Huelewi maana ya kuhamia kwako 'kienyeji? Maanake hajahamia kwa utaratibu ambao mwanamke kutoka 'reputable,Godly,well off family,classy' anavyofanya.

Mwanamke mwenye hofu ya Mungu hawezi kuhamia kwako bila ndoa,huyo wako ni UK educated,from reputable family,well off but still amevamia kwako as if Ana seek refuge.
 
Amen. I will brother. Thanx a lot.

Ni mambo mengi amekwisha nifanyia in my life...Things that have changed my ways of life and well being...my businesses and life run well wit her in my life. I have never been much happier. There is no doubt she z my other half...

​Kila la heri, japo hapo kwenye red mimi ni KE
 
RRONDO

I get ur point kwanza ujue mtoto wa kike aliyekua matured enough hafugiki hata umbane namna gani..plus i meant like her coming to spend the night at my place once in a while is no issue to her its not often though huwez jua kwao anaaga vipi, mfano alishawahi sema kwao kasafiri kikazi for 4 or 5 days kumbe kaja to my place ni vitu vya kawaida mwanamke kufanya akishakua na bwana.

At tyms hua anaweza stay till late evenings in my place then anaondoka kwao na ujio wake hautabiriki ana copy ya keys to my place ( i trust her
Ana vitu vyake kibao in my place in such a way akija mtu home ni lazma atajua kuna mwanamke nipo nae pia ni ngumu sana nkisema ni cheat at my place atajua tu kila kitu i hope its now clear to u.
 
Last edited by a moderator:
Kuna siku utarudi na kilio kingine humu ndan we kwao unakujua kukwambia kasoma ww umejua ni mtto wa kibopa jua kua siku hizi wasomi wapo na wengi tu na ulipo mkuta huyo ndio sehemu yao ya mawindo

I am not a kid. I am not stupid or dumb. Istoshe mi sio limbukeni. Ivi ni kitu gan mtoto wa mjini hapa bongo atani danganya ambacho mi sikijui ?? But ahsante kwa angalizo though.
 
She z a woman, I don't waste my energy arguing wit women. I also don't blame them wit their ways of thinking. You a grown a.s.s man shud think outside the box and post something wise and deep instead u did the opposite. Ulitaka niseme nn ??
The lady has a point just as i am, -Open your eyes-man.
And hey don't act like a toddler,
The lady is smart and she has the right to speak her mind.
Fuc..k off with your macho-egocentricity.
 
Back
Top Bottom