My dia hapo umepoteaaa...umekutana nae m city then anajuganda...halafu kwann alazimishe kuolewa...asije akawa ni changu classic from UK
1. Define mwanamke changu.
2. Ni wanawake wote wote duniani wanaolewa na virginity ??
3. Ni haki kum judge kila Mwanamke asiye na virginity ya kua ni kahaba ???
4. What makes people so sure that yule mwanamke nliyemuacha alikua mtakatatifu na mwenye vigezo kamili vya kua mke ??
5. Kama ww ni mwanamme uliyeoa, huyo mkeo ulivyomuoa ulimkuta bikra/au ulikuta ameshakwisha ipoteza ?? Ni haki tuki mjudge huyo mkeo kuwa ni kahaba kwa kua ulivyomuoa hakua bikra ??
6. Ina maana gan mimi kuishi na mwanamke ambaye i no longer have feelings for, being in a relationship i think was a mistake at the first place ?? Huoni ntakua simfanyii haki huyo mwanamke ??
7. Ndio, alindanganya kuwa ni virgin ( i never believed it at the first place )....Is that enough kum judge mwanamke kuwa ni kahaba ?? What if she wasn't ready or comfortable at that moment to tell me about that particular experience she z been through ??
Hebu tuanzeni hapo kwanza....
Tujaribu kutoa hoja zenye uzito pande zote mbili.
Wengine mna diss humu sijui wakishua, sijui changu hawez kuwa mwaminifu and that amehamia kwangu kienyeji and that sina sauti and stuff like that, well mpaka mimi nimekaa kimya, nimeshindwa la kumfanya its because i do love her sooo much i don't wanna loose her na sikuona tatzo ye kuja ishi na mimi. Nimesha experience different women. This is tha woman whose gana give me a happy home & family. Take it or ditch it. I made my mind already ....
Wanawake wengine humu ving'ang'anizi wa ndoa/mapenzi balaa yet wamekuja ni diss in my thread...au niwa expose on what we used to talk kwenye inbox ???? Hahahaha