Kuota upo shule ya msingi

Unahitaji msaada wa maombi mkuu, nitakupa namba uwasiliane na Muinjilisti fulani ni mwanamke. Anaweza akakusaidia.
 
Bora wewe unaota upo shule, wenzako tunaota tunakimbizwa na sungusungu wa kijiji halafu kila ninapijificha wananifuma.! 😎

Wakati mwengine Simba, mbwa Yaani hekaheka mpaka kunakucha
Haha, aisee pole sana hii kuna kipindi zilifululiza sana kwangu saiv sizioti tena
 
Kaka pole sana, ukipata ufumbuzi usinisahau maana naona kama tumepanda boat moja
 
Hizo ndoto kuziota ni jambo la kawaida kabisa , hata kama umefanikiwa mambo yako unaweza ziota tu.


Tafuta tu sababu nyingine ya kupambana, kama asilimia kubwa ya watu duniani wanavyofanya ila kuhusu hizo ndoto hazina maana yoyote.
Nakazia sana hapa, hakuna la zaidi ya hapo
 
Ni kumbukumbu tu ambazo mtu alipitia kwenye maisha yake , na zote zimetunzwa kwenye ubongo, kama memories zako zipo vizuri unaweza ota mambo mengi tu hata ya utoto
Ndoto ni spiritual thing
Ni hali halisi ya kinachoendelea, kilichotokea na kitakachotokea

Soma biblia utaelewa
Mungu hutumia sn ndoto kusema na watu


Km.sio wa imani ya kikristo sorry
 
I wish kungekuwa na option ya voice note...hapa duh...
Taarifa ipo very clear
Ayubu 33:14-17

Hapa kuandika ngoja nione , nitarudi
 
Ndoto ni spiritual thing
Ni hali halisi ya kinachoendelea, kilichotokea na kitakachotokea

Soma biblia utaelewa
Mungu hutumia sn ndoto kusema na watu


Km.sio wa imani ya kikristo sorry
Hizo ni imani tu ,sina imani yoyote ya Mungu wala shetani , hayo ni mambo ya imani wala hayana uthibitisho wowote , naota hizo ndoto za shule kila siku na mipango yangu inaenda kama ninavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…