Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,125
- 190,539
Hizi ni dalili w
Za wewe kwenda Peponi moja kwa moja, endelea kumuamini Mungu tu! Siku ukifa we ni peponi tuSalaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.