Kuota unapaa!!

Kuota unapaa!!

Mm huwa naota niko shule advance mtihan una karibia alaf sijajiandaaa vzr, ndoto inaisha napanga au na jisemea ngoja nianzee kusoma kwa bidii
 
Mm huwa naota niko shule advance mtihan una karibia alaf sijajiandaaa vzr, ndoto inaisha napanga au na jisemea ngoja nianzee kusoma kwa bidii
Hiyo yakuota nipo shuleni aaf nmefikia kwenye mtihani na sijui chochote huwa inanitokea pia! kinachafata hapa hua nawaza kutimua mbio! then walimu huwaambia mkimbizeni huyo mumlete hapa! hapo kasheshe huanza
 
Salaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
Ni mapambano tu ya kiroho ambapo always unakuwa mshindi
 
Moja kat ya ndoto mbaya n ndoto ya kupaa hiyo siyo zile ndoto za fix hiyo ndoto ni ishara ya kwel kabisa kuwa una majini tafuta tba mapema na uwe unaomba kabla ya kulala
Point kabisa.
Ila hawatakuelewa leo. Maana wanawaza mafanikio tu. Hawajui kama ni kikwazo cha cha kufanikiwa
 
Wengi mnalala baadae unakunja miguu ukiwa usingizini unahangaika kuinyoosha na ndoto inaendelea ya kupaa uliza mababu watakuekeza kama wapo hai na sisi wengine tulikua tukienda kuwasalimia kijijini anakwambia usilale umejikunja utaota ndoto za kupaa angani hata mimi nishawahi Ota zamani ila nilipoambiwa hivyo ni kuzingatia kulala muda mwingi bila kujikunja...
 
Acha kudanganya watu wewe jamaa.
Kuota unapaa ni ishara ya mambo yako yajayo kuwa ya juu,
kwa ufupi soon utafanikiwa maisha yako yatakuwa na hali nzuri usivyotarajia.

Akili za kitoto hizo kufananisha kuota kupaa basi maisha yako yatapaa
 
Salaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
Umechaguliwa kiongozi wa malaika
 
Hiyo yakuota nipo shuleni aaf nmefikia kwenye mtihani na sijui chochote huwa inanitokea pia! kinachafata hapa hua nawaza kutimua mbio! then walimu huwaambia mkimbizeni huyo mumlete hapa! hapo kasheshe huanza
 
Acha kudanganya watu wewe jamaa.
Kuota unapaa ni ishara ya mambo yako yajayo kuwa ya juu,
kwa ufupi soon utafanikiwa maisha yako yatakuwa na hali nzuri usivyotarajia.
Kama ameota kwa miaka mingi kama alivyosema, hayo mafanikio ya soon ni lini? Maana miaka imeenda na inaenda haoni athari wala mafanikio.
 
Mimi nimekuwa nikiota naokota au nimeshikilia pesa nyingi sana (aina ya noti) ila zikiwa zimeloa maji.

Kila ninapoota nikiwa na fedha,always zinakuwa zimeloa maji maji. Nimekuwa nikiota ndoto hii hii kwa miaka zaidi ya 10. Hii ina maana gani?
Inaowezekana Uchumi wako umeshikiriwa na watu (mataifa) ,ingia kwenye na maombi MUNGU akutoe kwenye Mikono ya walaji wa ridhik zko
 
Ngoja nami niibie jibu lako, japo huwa sifatilii saana haya mambo, ila nimeota nina uwezo wa kupaa kwamiaka na miaka.

Isijekuwa tushakuwa vigagula bila kujua, Mshana Jr katurithisha bila kujua.
Upo katika age gani Mkuu na mm imenitokea sana lkn baada ya umri flan 40+ imekata
 
Mm bas yatakuwa yameamua kuachana na Mimi faki zem
Moja kat ya ndoto mbaya n ndoto ya kupaa hiyo siyo zile ndoto za fix hiyo ndoto ni ishara ya kwel kabisa kuwa una majini tafuta tba mapema na uwe unaomba kabla ya kulala
 
Back
Top Bottom