Kuota unapaa!!

Kuota unapaa!!

Salaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
Unafunga mkanda au unapaa hivyo hivyo.
Pole sana...
Huwa wataalam wanadai kuna mchawi anakufuatilia sasa hakuwezi
 
Hii ndoto tunaota wengi aisee hata mimi since I was 10 till today... asante mtoa mada majibu yatakayopatikana hapa litawasaidia wengi.
 
Mimi ya kupaa nimeota sana, kuna nyingine huwa naota ndege zinapata ajali karibu yangu.
 
Kiukweli ndoto hii imekua ikinitokea kilamara, tena unapaa huku watu wengine wanakutamani unavyoelea angani bila mabawa! Yaani nikitendo chakujikaza tu mwili (kukakamaa) tiyari unajiona kuanza kuiacha ardhi
Hii kitu na mie huwa inanipata mara kadhaa katika usingizi
 
Mimi nimekuwa nikiota naokota au nimeshikilia pesa nyingi sana (aina ya noti) ila zikiwa zimeloa maji.

Kila ninapoota nikiwa na fedha,always zinakuwa zimeloa maji maji. Nimekuwa nikiota ndoto hii hii kwa miaka zaidi ya 10. Hii ina maana gani?
 
Moja kat ya ndoto mbaya n ndoto ya kupaa hiyo siyo zile ndoto za fix hiyo ndoto ni ishara ya kwel kabisa kuwa una majini tafuta tba mapema na uwe unaomba kabla ya kulala
 
Majini mtoto wakiume mie? Mwamba/digala/mjogwe? Hapana majini kwangu.
 
Hii ndoto tunaota wengi aisee hata mimi since I was 10 till today... asante mtoa mada majibu yatakayopatikana hapa litawasaidia wengi.
Bilashaka mkuu! Mimi nilidhani huenda inanitokeaga mimi tu, kumbe tupo wengi? Isitoshe imekua nindoto inayoishi tangu nikiwa mdogo mpaka leo nafamilia yangu bado inanijia! Yaani haipiti miez 3 naota! Hata usiku wajana nmeota! Kila nikiwauliza watu wanaonizidi umri maana ya hii ndoto sipati majibu yakuridhisha! Hivyo nikaamua nijaribu hapa jf.
 
Salaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.

Homa za usiku ,kapime malaria.
 
Tafsiri ya ndoto yako ni kwamba unakaribia kurithishwa uchawi na Bibi yako
 
Nilikua naota hizo ndoto kwa miaka kadhaa mara ya mwisho ilikua 2017. Baada ya hapo zikakata baada ya kufanyiwa dua... ila nilikua ninapaa kwenye ndoto Ethiopia Airlines nyuma

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom