Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

Yani uoe wewe halafu tukuchangie sisi harusi yako[emoji23]
 
Mambo ya kijimaharusi si jambo la kijamii
harusi si jambo la kijamii (dhana potofu), ni private/family affair, mambo ya kijamii ni michango ya kusaidia yatima, wazee wasio na ndugu, wagonjwa wasio na uwezo etc
harusi bila michango inawezekana kwa mtu yeyeto anayefunga ndoa, sisi waafrika tuna complicate maisha
 
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Uoe janamke bila sherehe linakuwa na gubu balaa. Kwa tafsiri ya wanawake ukimuoa kwa staili hiyo anajiona kama ameokotwa vile women psychology is very complex
 
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Ukichagiwa ili ukaoe jua huyo ni mke wa wote, kila mmoja ana haki ya kumla kwa wakati wake kama alivyoshiriki kuula ubwabwa.
Kama unekamilika na unataka kuoa kwa harusi jikusanye, jichangishe alika watu, siyo unasumbua na kukusanya watu kwa gharama zao.
 
Hii post iwe laminated
 
Michango ya harusi ni Corruption and embezzlement PCCB waipige marufuku.
 
Nimeoa Januari mwaka huu kwa bajeti ya chini ya mil 3. Nilipanda Sienta na mke wangu, aisee ndoa jambo la baraka sana, hata sijui liliishaje ishaje kwa wepesi vile. Mchango pekee wa pesa niliochukua ni 10,000 from my young bro nilimwambia anipe nitarudisha baadae.
Otherwise gari za ziada zilitoka kwa marafiki na mafuta waliweka wenyewe.
Kuanzia siku hiyo, sichangii harusi ya mtu yeyote.
 
Ya kislamu?
 
Sichangii harusi, Sichangii birthday, Komuniyo wala Kipaimara, siyo matukio ya dharula hayo so muhusika anapaswa kujiandaa. Mambo ya kufatiliana kama deni SITAKI. Utamaduni wa kijinga na kimasikini kabisa.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Sijui Kwanini harusi za mbwembwe nyingi zimekua ngumu kudumu
 
Sa tusipofanya harusi na kukesha na matarumbeta majirani watajuaje kama tumeolewa😊.....

Mi ntaolewa lulu majizzo style.watu wachcahe pande zote mbili,vinywaji na catering ya watu 50 tu
Hata Kwa budget ya mil 3 unafanya mwenyewe Tena nyumbani.usiku mnene Kila mtu arudi kwao.ismeisha

Mipango mingi mume mwenyewe sina
Niko hapa tufanye jambo
 
Ya kislamu?
Ya Kikristo,
Dini sio kigezo, uliza ilifanyikaje.
Nimefanya ndoa mkoa tofauti na kwetu kwanza. Nilialika ndugu wacheche na walikuja na kuondoka na nauli zao. Kwenda kanisani na kurudi home kwetu ambapo palipambwa kidogo tukala na kunywa. Jioni tukaenda honeymoon.
Nyie wenzetu bajeti kubwa mnaweka ya nini?
 
Back
Top Bottom