Kuolewa kuna raha zake!

Aliolewa juzi utamjua tu lol

Asanteeeeeeeeeeeeeee!!!!!! Hahahahahaaaa!!!! Loh! The Boss nimekupenda bureeeeeeeeeeeeeeee!!!! Wala usinidai pesa, Maana nimesoma nikashindwa cha kucomment ila umenisaidia kuongea na kumaliza kila kitu.

Mleta Mada wellcome to Merrage Foundation.
 

Ndoa salama zipo, ila most of all haziko salama , nina maana gani, jana nimeona kituko cha ajabu nimemkuta mke wa mtu yuko na katoto ka mtaani nikabaki nashangaa, nikamuuliaza huogopi akanijibu mumewe hayupo kasafiri , leo asubuhi hii nimemkuta mumewe na mwanamke kampakia kwenye gari, wakati alimuaga mkewe amesafiri ameenda morogoro kikazi, sasa hapo Mr rock usalama uko wapi? kama kila mmoja anahangaika kivyake?
 
Lisa nakubaliana na wewe na hayo uliyoyaona ni machache kuthibitisha kuwa usalama haupo kwenye ndoa
Ninachomaanisha kila ndoa ina ups and down zake na mwenye kuifanya ndoa ya fulani iwe salama sio mimi na wewe ila ni wao wenyewe wanandoa wanatakiwa kuiweka ndoa yao salama
Hakuna kitu kibaya kama kuangalia fulani ndoa yake ina mapungufu haya na haya na so nikioa au kuolewa ndoa yangu nayo itakuwa kama hii
Jiamini na wewe muombe Mungu wako akupe baraka zake kuweza kutengeneza ndoa imara na salama
 
Last edited by a moderator:
haaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaaaaa thats Tuko banah,upo weye?
Samawati unajua kama mumeo anapitaga JF, na unafaham ID anayotumiaga?

Maana ulivyojieleza nahisi kama wewe mke wangu!...
 
Last edited by a moderator:
wanaoalalamikia ndoa mara nyingi ni wale ambao ndoa zao zimeshindikana ndo wanakuja kulalama na misemo chungu nzima,otherwise ndoa ni raha tu,mnashauriana,mnaliwazana,ebu cheki mkiwa na waoto inavyokuwa raha mustarehe.
 
Pole.
Ila vumilia utaolewa tu.
Mie hamu ya ndoa ishanitumbukia nyongo.

mie mbona tayari mpenzi, ila tu hajawahi kunifanyia vituko vya kikubwa zaidi tu ya ule wivu wa kawaida wa kuchungwa chungwa kama mtoto (japokuwa imenibidi nimzoee tu maana ni wangu).
 
Ndoa ni kama karata, unapoiingia tarajia asali na shubiri.

Karibu krk chama waonekana una kamba mguuni.
 
Tupooooooooooo!
Mh ila hapo kwenye red hapo mh,nadhani ndo huwa mna paongelea zaidi mnapotamka neno usalama na sio zaidi.
Jifunzeni kuwa financially independent girls sio mpango huo oh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…