wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,507
- 29,288
Kweli mkuuHata jina liwe zuri kiasi gani hizo nyumba zina laana ya asili
Kweli mkuuHata jina liwe zuri kiasi gani hizo nyumba zina laana ya asili
Safi sanaNjombe hyo mkuu,nililala hapo december wakat nachukua viaz kuleta dar!kifup huingii na mchepuko labda uwe na chet cha ndoa!!!
Si ni kwa wageni kama sisi wa mikoani mkuuHata jina liwe zuri kiasi gani hizo nyumba zina laana ya asili
Wageni wenye malihai [emoji23]Si ni kwa wageni kama sisi wa mikoani mkuu
[emoji23] [emoji23]Wageni wenye malihai [emoji23]
Yeah hii Iko Mkoa Wa Njombe mtaa maarufu kwa Madada poa aka mtaa wa fisiNdo hyo katika picha na sio mheza!!
Iko Mkoa waNjombeHii gesti kama naifahamu vile.