Kuokoka ni lazima guest house

Kuokoka ni lazima guest house

Hapa safi sana, nikija huko nitafikia hapo
 
habari ya hapa nina ombi moja kwako
Hebu badili hiyo avatar ya kulia halafu nitakuambia kitu!!

kilio.jpg
 
habari ya hapa its personal ila me avatar yako duh huwa inaniumiza sijui kwa nini? back to topic itakuwa hawaruhusu watu kulala chumba kimoja kama siyo mke na mume...........
 
Muheza Kijiji cha Kwamatindi karibu sana

na hiyo gust sijui itakuwa ni ya yule mzee anaishi njombe hapo mtaa wa dhambi kuna guest yake inajina kama hilo songea nako ana gust inajina kama hilo sasa sijui na huko tanga ni ya kwake sio gust tu ana magari ya mizigo na abilia yameandikwa jina hilo kwa wale wa njombe na songea nazani wanamfaham huyu mzee pia anamaduka nayo kayaandika jina hilo hilo
 
wakiingia kila mtu na chumba chake afu usiku mmoja akahamia kwa mwenzie mtajuaje
hehhe he he haya mambo bana mungu ndo anajua

Wafanyakazi wamefundishwa ku-reki mid night. unajua nini? wanafunguo ukihama room wanaingia wanabeba kila kitu, asubuhi hakuna malalamiko!!!
SP
 
Back
Top Bottom