habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Hebu sema kitu juu ya hili jina la hii guest kwa sababu binafsi maneno yameniishia
View attachment 123601View attachment 123601

hamna chumba kama huna cheti cha ndoa, la sivyo kila mmoja chumba chake!!
SP
Sipati picha ka bucha ndo ingeandikwa ivo, je wenzetu wangenunua nyama?
Kwani guest house maana yake ni nini?
Sipati picha ka bucha ndo ingeandikwa ivo, je wenzetu wangenunua nyama?
nyumba ya wageni
Khaa!
Usingeingia na bwana wako humo (gest) afu uhakikishe watu wanaokokaje humo!!
Pia ungejua kwanini ni lazima kuokoka!
Hihihihiii!
View attachment 123601View attachment 123601
Hebu sema kitu juu ya hili jina la hii guest kwa sababu binafsi maneno yameniishia
Kuna tatizo?
wapi huko nije nilale kuhakiki kama kweli kuokoka ni lazima