Kuokoka ni lazima guest house

Kuokoka ni lazima guest house

jina halina shida pengine sisi ndo tunaingiwa na tafsiri tofauti kwa tabia zetu za kupenda ngono. guest house ni nyumba ya wageni sio danguro! huenda mwenye nayo ameokoka hivyo ni njia ya kueneza au kukumbushia umuhimu wa kuokoka. shida itakuwa ni pale wazinzi pia wanatumia hiyo guest!
 
na hiyo gust sijui itakuwa ni ya yule mzee anaishi njombe hapo mtaa wa dhambi kuna guest yake inajina kama hilo songea nako ana gust inajina kama hilo sasa sijui na huko tanga ni ya kwake sio gust tu ana magari ya mizigo na abilia yameandikwa jina hilo kwa wale wa njombe na songea nazani wanamfaham huyu mzee pia anamaduka nayo kayaandika jina hilo hilo



heee! bac anatisha , atakuwa ni huyo huyo kwani haiwezekani kwa jinc ulivyoeleza hapo
mkuu atakuwa ni mtu mmoja
 
Wafanyakazi wamefundishwa ku-reki mid night. unajua nini? wanafunguo ukihama room wanaingia wanabeba kila kitu, asubuhi hakuna malalamiko!!!
SP


na huwezi kuacha vitu vyako kule wakati unajua mambo ya guest yalivyo mkuu
ukitoka kidogo hata ukienda kupunguza maji machafu nyuma kuna mwenzio anaingia na hii c dhani km ni selfcontener
 
leo kuna mtu kafia humu kwenye hii guest...
kalala usiku wa valentine...
 
Huko ndani kuna maombi kwa kila chumba sijaelewa
 
FB_IMG_1472531323577.jpg
 
Back
Top Bottom