Kuoga na kuvaa

Kuoga na kuvaa

Hiyo mnamjibu ni Mzee wa makamo.zamani wanaume wallikua wanavaa chupi,na Kuna chupi za kike pia.hata Sasa ujio wa boksa zile za kubana,wengi hawazielewi bado wanavaa chupi na zipo madukani zinauzwa.na ni nzuri kuliko haya maboksa yenu yanayolegea.
Unajuaje ni nzuri au siyo nzuri wakati we siyo mtumiaji au unazungumzia uzuri wa muonekano?
 
shati halichomekewi ndani ya chupi mshamba wewe kuna siku deki itakula kanda litabaki na mavi
 
Tena anachomekea ,zee shamba sana hili sijui lina muda gani mjini
Sio kosa lako ni ushamba unakusumbua,na hata kujifunza hutaki,utakuwa mtu wa maana sana duniani kama utajenga tabia ya kujifunza,unapoona kitu kipya na wewe hukijui,jifunze sio kuja hapa na kujamba kwa kuwa ulikula ugali wa juzi na maharage ya kuokoteza kwa mama ntilie.Jifunzeni.
 
Niko tayar kujifunza ila sio kuvaa chupi tena nikiwa nimechomekea shati ndani yake.
 
inawezekana sijatembea popote kweli ila kuvaa chupi tena ukiwa umechomekea shati ndani yake ni ushamba
Wewe unaona ushamba,unajua kuwa waziri mkuu wa uingereza john major alikuwa anachomekea shati kwenye chupi? unajua ni kwanini tunachomekea shati kwenye chupi?Ungekuwa ni mtu wa maana ungeniuliza baba hebu nielimishe kwanini unavaa hivyo ningekueleza,sasa wewe unaniita mie mshamba,sikia elimu niliyonayo wewe hutaweza kuipata asilan,fursa aliyonipa Mola ya kuitembelea hii dunia,wewe hutoipata.Jufunze,uliza utajua mengi
 
kwhy kuzunguka kwako duniani elimu ulioipata ni kuvaa chupi ikiwa imechomekewa shati ndani yake, mzee wa hovyo sana wewe
 
Unachomekea shati kwenye chupi na kuvaa suruali, hii si kwamba kuna wakati chupi hiyo itaonekana kiunoni maana mkanda haukazi sana kuepusha kufinya mishipa ya damu... Suruali inakuwa loose kidogo...

Vipi na utaratibu wa kujipaka mafuta haujaweka... Una anza kujipaka mafuta kwanza ndio una vaa nguo au una vaa nguo kwanza ndio unajipaka mafuta?
 
Boxer, bikini nk hizo ni brand tu lakini zote ni chupi ila kuna chipi za kike na za kiume. Hata suruali zipo za kike na za kiume. Hata vitu vingine kama honda, kinglion nk zote ni pikipiki au itel, techno nk zote ni simu
 
Back
Top Bottom