Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,357
- 10,378
Hii kiboko, hiyo chupi ina ukubwa gani wa kuweza kuhimili shati? Ninavyojua hizi zetu unaweza kuchana lesi 😹😹😹Uvaaji wangu wa nguo huanza kuvaa chupi,halafu naavaa shati ambalo hulichomekea ndani ya chupi
Hii naweza kupata duka gani mkuuNjia nzuri ya kufanya shati ikae vizuri,ni kuvaa huo mkanda ambao unaitwa shirt tucker belt
😹😹😹 ndiomana fangasi haziishi mnavaa vitu vingi mwilini…!!Njia nzuri ya kufanya shati ikae vizuri,ni kuvaa huo mkanda ambao unaitwa shirt tucker belt
nahisi hujaelewe,chupi za kiume ambazo zinaweza kuwa ni briefs au boxer,sasa ukiishaivaa,unavaa shati,sasa unachomekea hiyo shati ndani ya chupi au kwa kiingereza una tuck in na inabanwa vizuri na lastic ya chupi kiasi ambacho haichomoki,nitakuonesha kwa pichaHii kiboko, hiyo chupi ina ukubwa gani wa kuweza kuhimili shati? Ninavyojua hizi zetu unaweza kuchana lesi 😹😹😹
Sime ikikaa vibaya inaweza kuchana uboo wewe😹😹😹 ndiomana fangasi haziishi mnavaa vitu vingi mwilini…!!
Wenzenu maasai wanaweka sime nyie mnavaa mikanda ya shati ndani ya chupi..!! 😥😹😹
maduka ya nguo dar utapata au agiza kwenye mtandaoHii naweza kupata duka gani mkuu
Mbona wamasai hawachanwi? 😹😹😹Sime ikikaa vibaya inaweza kuchana uboo wewe
Wale ni makomando wanajua jinsi ya kuziweka sime vizuri na sa kwa ambao hawajazoea si utashangaa konga lina damuMbona wamasai hawachanwi? 😹😹😹
Umeeleweka mzee wa kuchomekea shati kwenye chupinahisi hujaelewe,chupi za kiume ambazo zinaweza kuwa ni briefs au boxer,sasa ukiishaivaa,unavaa shati,sasa unachomekea hiyo shati ndani ya chupi au kwa kiingereza una tuck in na inabanwa vizuri na lastic ya chupi kiasi ambacho haichomoki,nitakuonesha kwa picha
sio kumtambia mtu bali ni kuwa nadhifu,uwepo kazini,kuna nguo zake,uwapo matembezini kuna nguo zake,uwapo kwenye mazishi kuna nguo zake,uwapo safari kuna kuna nguo zake,vaa kwa unadhifu wako sio kwa kumtambia mtu,but unapoenda kwa demu ambae ndio mara ya kwanza kukutana nae dress to killHuwa natamani sana kuvaa vizuri, ila sasa namtambishia naaani?
Ila kweli, ubaya mimi kumpenda mtu mpaka nikae nae zaidi ya mwezi, hapo c tayari kashajua uvaaji wangu?sio kumtambia mtu bali ni kuwa nadhifu,uwepo kazini,kuna nguo zake,uwapo matembezini kuna nguo zake,uwapo kwenye mazishi kuna nguo zake,uwapo safari kuna kuna nguo zake,vaa kwa unadhifu wako sio kwa kumtambia mtu,but unapoenda kwa demu ambae ndio mara ya kwanza kukutana nae dress to kill
sawa lakini kuvaa ukiwa kazini je?Ila kweli, ubaya mimi kumpenda mtu mpaka nikae nae zaidi ya mwezi, hapo c tayari kashajua uvaaji wangu?
Sijafkia hiyo level, lakini nitavaa vyema hata nikiwa nyumbani nikifika huko.sawa lakini kuvaa ukiwa kazini je?
Hoja ya nguo ngapi sio muhimu,bali muhimu ni nguo ipi niivae wapi.Sijafkia hiyo level, lakini nitavaa vyema hata nikiwa nyumbani nikifika huko.
Hata sasa sio kwamba sivai vizuri, ila ni vile navaa shat tatu kwa week, kila moja siku mbili, suruali mbili kwa week kila moja siku tatu