Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,139
- 9,553
Ofcoz naweza kuingia nayo hata ofisi, ila shida yang kubwa inakuwaga ni kiatu, naweza kuwa nacho ila nisivaeHoja ya nguo ngapi sio muhimu,bali muhimu ni nguo ipi niivae wapi.

Shoga huyoChupi unavaa mtoto wa kiume!? hii imekaaje wakuu
okOfcoz naweza kuingia nayo hata ofisi, ila shida yang kubwa inakuwaga ni kiatu, naweza kuwa nacho ila nisivae
Yupo mwanzaHuko Dar itabidi na mimi nije kuishi.
Aisee....!🥺😳😷
angalia jinsi ambavyo shati linavyochomekewa kwenye chupi

Bado unavaa Chupi mzee1.KUOGA
Usafi ni passion yangu toka nikiwa mdogo,japo mama yangu pia alichangia kuniongezea mbinu za usafi.
Kabla sijaoga mie huandaa nguo za kuvaa,kuanzia chupi,suruali,shati,soksi,viatu na leso.
Na kwa sasa situmii bomba la mvua,kwakuwa napenda kuchanganya maji ya kuoga na dettol japo siweki nyingi.
Na pia huoga kwa awamu 2,awamu ya kwanza naanza kichwa,uso,mikono hadi usawa wa kiuno.Najisafisha vizuri na ndipo nakuja awamu ya 2 ambapo naanzia kiuno kuja hadi miguuni,nasugua nyayo vizuri na nikimaliza natoka bafuni na kuja chumbani ambapo naufuta mwili kwa taulo la pili,lile la bafuni hubaki huko na chumbani lipo taulo jingine.
2.KUVAA NGUO
Uvaaji wangu wa nguo huanza kuvaa chupi,halafu naavaa shati ambalo hulichomekea ndani ya chupi na ndipo huvaa suruali,nafunga mkanda wa suriali na kujitazama kwenye kioo,ndipo navaa soksi na kutoka chumbani,nikiwa na slippers hadi kwenye meza ya chai,nikimaliza chai navaa viatu na kuondoka.
Viatu huwa naandaa mwenyewe toka usiku,kama ni rangi ntapiga,kama nikufuta tu ntafuta mwenyewe.
Vipi wewe mwenzagu usomae uzi huu,huwa unafanyaje?
Chief umeamua kunivunja mbavu,😁😁😁Napenda dada akivaa chupi nyeupe 😋
Zitakuwa zile chupi bombo 😂😂😂Hii kiboko, hiyo chupi ina ukubwa gani wa kuweza kuhimili shati? Ninavyojua hizi zetu unaweza kuchana lesi 😹😹😹
Ndo zikoje hizo 😹😹Zitakuwa zile chupi bombo 😂😂😂
Masulupwete 😂😂🙌Ndo zikoje hizo 😹😹
why not?Bado unavaa Chupi mzee
jisikitikie wewe ambae huna unalojua kuhusu mavaziWewe ni mwanaume ? Dah, hadi nimesikitika
kwahiyo wewe hiyo uliyovaa kwenye mwili wako inaitwaje?Mwanaume unavaaje chupi
Ulishaleft group,,, hii ni laana kwa wazazi wako na ukoo wako wotejisikitikie wewe ambae huna unalojua kuhusu mavazi
No singilindi Haha haha 😂😂1.KUOGA
Usafi ni passion yangu toka nikiwa mdogo,japo mama yangu pia alichangia kuniongezea mbinu za usafi.
Kabla sijaoga mie huandaa nguo za kuvaa,kuanzia chupi,suruali,shati,soksi,viatu na leso.
Na kwa sasa situmii bomba la mvua,kwakuwa napenda kuchanganya maji ya kuoga na dettol japo siweki nyingi.
Na pia huoga kwa awamu 2,awamu ya kwanza naanza kichwa,uso,mikono hadi usawa wa kiuno.Najisafisha vizuri na ndipo nakuja awamu ya 2 ambapo naanzia kiuno kuja hadi miguuni,nasugua nyayo vizuri na nikimaliza natoka bafuni na kuja chumbani ambapo naufuta mwili kwa taulo la pili,lile la bafuni hubaki huko na chumbani lipo taulo jingine.
2.KUVAA NGUO
Uvaaji wangu wa nguo huanza kuvaa chupi,halafu naavaa shati ambalo hulichomekea ndani ya chupi na ndipo huvaa suruali,nafunga mkanda wa suriali na kujitazama kwenye kioo,ndipo navaa soksi na kutoka chumbani,nikiwa na slippers hadi kwenye meza ya chai,nikimaliza chai navaa viatu na kuondoka.
Viatu huwa naandaa mwenyewe toka usiku,kama ni rangi ntapiga,kama nikufuta tu ntafuta mwenyewe.
Vipi wewe mwenzagu usomae uzi huu,huwa unafanyaje?
nishajibu vizuri sana we soma utaona japo vingi ulivyotaja hapo situmiiKwa maelezo yako umekosea kutoorodhesha vifaa vya kazi,hapo najuwa hukosi dodoki,jiwe la kusugulia miguu,na shampoo hata kama una kipara.Sema mali sana kmsafi,hongera mkuu.