Kuoga na kuvaa

Kuoga na kuvaa

Unachomekea shati kwenye chupi na kuvaa suruali, hii si kwamba kuna wakati chupi hiyo itaonekana kiunoni maana mkanda haukazi sana kuepusha kufinya mishipa ya damu... Suruali inakuwa loose kidogo...

Vipi na utaratibu wa kujipaka mafuta haujaweka... Una anza kujipaka mafuta kwanza ndio una vaa nguo au una vaa nguo kwanza ndio unajipaka mafuta?
Safi sana umeniuliza swali zuri mno.Kwanza nakupa sababu ya kwanini huwa nachomekea shati kwenye chupi,ni kwasababu nataka shati lisiwe linachomoka chomoka ninapokuwa kazini ama matembezini,sasa ni lazima uwe na chupi ambayo elasticity yake iwe ni nzuri,na ni kweli kama usipovaa chupi vizuri itatokeza kwenye suruali,sasa kutokana na hali hiyo ndipo sasa umetengenezwa mkanda ambao unaitwa shirt tucker belt ambao ukishaavaa shati unaifunga hiyo shati na huo mkanda.Kuhusu mafuta natua nivea lotion tu,lakini iwe origional maana haina harusi,haina athari yoyote kwenye ngozi
 
Unachomekea shati kwenye chupi na kuvaa suruali, hii si kwamba kuna wakati chupi hiyo itaonekana kiunoni maana mkanda haukazi sana kuepusha kufinya mishipa ya damu... Suruali inakuwa loose kidogo...

Vipi na utaratibu wa kujipaka mafuta haujaweka... Una anza kujipaka mafuta kwanza ndio una vaa nguo au una vaa nguo kwanza ndio unajipaka mafuta?
Angalia jinsi ambavyo shati huchomekewa kwenye chupi
 

Attachments

  • 5944fc1b7fc614e1256efaaf3bbe79a0 (3).jpg
    5944fc1b7fc614e1256efaaf3bbe79a0 (3).jpg
    71.6 KB · Views: 11
Boxer, bikini nk hizo ni brand tu lakini zote ni chupi ila kuna chipi za kike na za kiume. Hata suruali zipo za kike na za kiume. Hata vitu vingine kama honda, kinglion nk zote ni pikipiki au itel, techno nk zote ni simu
Bora umetoa somo zuri kwa anayetaka kuelewa ataelewa
 

Attachments

  • s-l400 (3).jpg
    s-l400 (3).jpg
    22 KB · Views: 12
Mkuu fimboyaukwaju upo vizuri, binafsi nimejifunza ila hao machalii wa humu wapotezee wengi wanamsongo wa mawazo na sonona (depression) , wengine wanakuzingua tu na utani mwingi achana nao.
 
Mleta mada inaonekana ni mtu mzima mwenye subra, hekima na busara. Pamoja na majibu na comments za kejeli, dharau na matusi kutoka kwa karibu asilimia 95 ya walio comment lakini umejibu kila mtu kwa busara na upole sana.

Ingekuwa ni mimi ningeshatukana sana hapa na kula ban nyingi.
 
Mleta mada inaonekana ni mtu mzima mwenye subra, hekima na busara. Pamoja na majibu na comments za kejeli, dharau na matusi kutoka kwa karibu asilimia 95 ya walio comment lakini umejibu kila mtu kwa busara na upole sana.

Ingekuwa ni mimi ningeshatukana sana hapa na kula ban nyingi.
Asante sana kwa maelezo yako mazuri.Kwa sasa naufunga mjadala huu ambao mimi ndio niliouanzisha.Kwa wale ambao wameelewa basi wameelewa na wale ambao hawaelewi hawataelewa.Mavazi ni somo pana sana na litazidi kuwa pana siku zote,kuna mambo mengi kwenye mavazi,kuna kila aina ya nguo,viatu,mikanda n.k.Jambo kubwa ambalo nataka kusema ni kwamba tujitahidi kujifunza.Mwisho namshukuru baba yangu kutoka huko kwao na kuja kunizaa mimi na mama wa kitanzania.Asante baba.Wakatabahu
 
Angalia jinsi ambavyo shati huchomekewa kwenye chupi

Ah hayo mambo yenu..

Mara ya mwisho nimechomekea sekondari tena ordinary level.. Huko advance nilichomekea siku nimebahatika kuingia parade.
 
Chupi unavaa mtoto wa kiume!? hii imekaaje wakuu
 
1.KUOGA
Usafi ni passion yangu toka nikiwa mdogo,japo mama yangu pia alichangia kuniongezea mbinu za usafi.
Kabla sijaoga mie huandaa nguo za kuvaa,kuanzia chupi,suruali,shati,soksi,viatu na leso.
Na kwa sasa situmii bomba la mvua,kwakuwa napenda kuchanganya maji ya kuoga na dettol japo siweki nyingi.

Na pia huoga kwa awamu 2,awamu ya kwanza naanza kichwa,uso,mikono hadi usawa wa kiuno.Najisafisha vizuri na ndipo nakuja awamu ya 2 ambapo naanzia kiuno kuja hadi miguuni,nasugua nyayo vizuri na nikimaliza natoka bafuni na kuja chumbani ambapo naufuta mwili kwa taulo la pili,lile la bafuni hubaki huko na chumbani lipo taulo jingine.

2.KUVAA NGUO
Uvaaji wangu wa nguo huanza kuvaa chupi,halafu naavaa shati ambalo hulichomekea ndani ya chupi na ndipo huvaa suruali,nafunga mkanda wa suriali na kujitazama kwenye kioo,ndipo navaa soksi na kutoka chumbani,nikiwa na slippers hadi kwenye meza ya chai,nikimaliza chai navaa viatu na kuondoka.

Viatu huwa naandaa mwenyewe toka usiku,kama ni rangi ntapiga,kama nikufuta tu ntafuta mwenyewe.
Vipi wewe mwenzagu usomae uzi huu,huwa unafanyaje?
Wewe ni "KE" au "ME"? Kama ni 'ME' jiangalie vizuri inaonekana una homoni nyingi za kike ambazo hupelekea kuvutiwa kuwa shoga.
 
Back
Top Bottom