The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 7,786
- 25,541
Mkuu na wewe unataka uje kuendekeza tabia ya kuoga kuvaa na kuchomekea shirt ndani ya chupi kama mleta mada?Huko Dar itabidi na mimi nije kuishi.
Aisee....!🥺😳😷
Mkuu na wewe unataka uje kuendekeza tabia ya kuoga kuvaa na kuchomekea shirt ndani ya chupi kama mleta mada?Huko Dar itabidi na mimi nije kuishi.
Aisee....!🥺😳😷
Nishuhidie jinsi watu walivyo maana kama mtoa post alivyonichanganya staili yake ya maisha.. napiga picha hapa Kasangezi, Kasulu h7yo jamaa anaweza survive hata wiki😂Mkuu na wewe unataka uje kuendekeza tabia ya kuoga kuvaa na kuchomekea shirt ndani ya chupi kama mleta mada?
Akili ni nywele kila mtu ana zakeNapenda dada akivaa chupi nyeupe 😋
Ili shati likae vizuri kwenye suruali,vinginevyo ni lazima uwe na mkanda maalumu ambao hufungwa kwenye shati ili lifiti kwenye mwiki lisiwe linachomoka chomoka,na kwa taarifa yako hii staili nimejifunza kwa waziri mkuu wa zamani wa uingereza john majorUnachomekea kwenye chupi ,isaidie kudhibiti ufyuzi ukijamba au inakuaje mkuu
madodoki huwa situmii,pia situmii liquid soap,natumia sabuni ya imperial tu,kwa kuosha miguu hasa kwenye unyayo ndio natumia kipande cha nyavu ya samaki nimekikata,nasafisha unyayo ila kwenye mwili natumia sabuni tuNianze na hapo kwenye kuoga una madodoki mangapi mkuu wetu? Unatumia shawajeli/bodiwoshi au kina wasafi sopu?
Hapana,mie navaa chupi za kiume na yeye anazake za kike,tena mie na wake 2 broUmeamua uvaliane chupi na mke wako kuokoa gharama?
Soma uelewe kilichoandikwa,ukikurupuka kujibu bila kusoma,unajidhihirisha kuwa wewe sio makiniwanawake mna mbwembwe sana sikuhizi....hilo chupi la kuchomekeamo na shati litakuwa kubwa kama "kamtura" la max...😎
unakaa "daslamu" ya wapi ili nikija kutoka usukumani huku niepuke hata kukatiza tu huko!?Soma uelewe kilichoandikwa,ukikurupuka kujibu bila kusoma,unajidhihirisha kuwa wewe sio makini
Kasangezi mjini ataishi, mpeleke shunguliba akakutane na fisiNishuhidie jinsi watu walivyo maana kama mtoa post alivyonichanganya staili yake ya maisha.. napiga picha hapa Kasangezi, Kasulu h7yo jamaa anaweza survive hata wiki😂
Mwanaume unavaaje chupiHapana,mie navaa chupi za kiume na yeye anazake za kike,tena mie na wake 2 bro
Hiyo mnamjibu ni Mzee wa makamo.zamani wanaume wallikua wanavaa chupi,na Kuna chupi za kike pia.hata Sasa ujio wa boksa zile za kubana,wengi hawazielewi bado wanavaa chupi na zipo madukani zinauzwa.na ni nzuri kuliko haya maboksa yenu yanayolegea.Mwanaume unavaaje chupi
Asante kwa kunisaidia kuelezaHiyo mnamjibu ni Mzee wa makamo.zamani wanaume wallikua wanavaa chupi,na Kuna chupi za kike pia.hata Sasa unio wa boksa zile za kubana,wengi hawazielewi bado wanavaa chupi na zipo madukani zinauzwa.na ni nzuri kuliko haya maboksa yenu yanayolegea.
Safii...nimependa hapo kwenye kuchomekea shati ndani ya pichu
Kumbe we KE 😹Kabla sijaoga mie huandaa nguo za kuvaa,kuanzia chupi