Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae

Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae

Status
Not open for further replies.
Wapi Rutashubanyuma jamani njoo utuokoe wahaya wanatumaliza hawa wanyamahanga loh!!!
Pole saana lakini usiogope hiyo ni kawaida ya ndugu zetu, sijui wanaogopa nini kwa Wahaya. Ila nawashauri wasiwe na shaka na Mhaya, sifa kuu mhaya anapenda elimu ili aweze kutoka, hivyo wanabidii katika kujiendeleza na elimu. Lakini si wote wengine wanabidii katika kutafuta maisha kama watu wengine tuu!!!!!!! Lakini ukipata mwanamke wa Kihaya aliye tulia ni waaminifu sana, na wewe fanya uchunguzi wako!!!!!!!

Juzi nilikuwa nimeenda Marekani unajua kule kuna doctor wangu huwa ananifanyia checkup bahati nzuri nikanunua mbwa german shepherd ila nikamuonea huruma ikabidi na yeye nimkatie tiketi ya ndege first class KLM maana nilikuwa sitaki apate usumbufu basi kufika uwanja wa ndege wakanipokea na ile Vogue niliyoagiza kutoka CMC nashukuru bado iko katika hali nzuri naona DT Dobie wanafanya service vizuri, baada ya kufika nyumbani nikakuta Movenpick wameleta bili kuna wageni walikuja ikabidi niwachulie chumba pale nikaona isiwe tabu nikawaandikia dollar cheque nikamtuma dereva aende na ile Mercedez Benz S CLASS akawalipe unajua sipendi madeni kabisa mie
Umechanganya nini na Omela, inaonekana wewe umeteleza kidogo usifike mbali usije ukaanguka, pole saana hizo ni sifa za Omela Oghwambo!!!!!

infwact mwanangu rweyemamu ana ka M.A pale muhimbili!(M.A=Mortuary Attendant)!

Mwanzisha mada na wengine wanaom support you can go and hang youyrself, kwa nini hamtendi haki kwa mke wangu, mama yangu, shangazi zangu na dada zangu?
Sidhani km kuna kabila lifaalo kwenye mahusiano kama dada zangu wa kihaya.
Zawadi yangu kwenu nyie wanyamahanga ni "kyalye empali za baishenywe".

................. Wala haikuwa inahitajika hii mydia. Hapa ni JF where people dare to speak ....mbona makabila miengine pia husemwa.......It doesnt mean it is true.......ungeipotezea tu best!!

Topic closed
any incovinience is coused is highly regreted
Na wewe mbona kigeugeu? mbona makabila mengine yanasemwa hili kwani lina uspesho gani, acha uoga Pdidy

................. Wala haikuwa inahitajika hii mydia. Hapa ni jf where people dare to speak ....mbona makabila miengine pia husemwa.......it doesnt mean it is true.......ungeipotezea tu best!!

,mwanajamii one hao unawapa neno tu""wana amani wote waipendao sheria ya bwana akuna kitakacho wakwaza ""uone kama atarudi

na wewe mbona kigeugeu? Mbona makabila mengine yanasemwa hili kwani lina uspesho gani, acha uoga pdidy

mwaya napenda kuona watu wakifurahi kuna sehemu tumetukanwa kihaya humu ndani watu wanaaribu mada mwaya wala sio uowaga naogopa kuwowaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Mkuu unaweza kuona unaishi vizuri kumbe ushalishwa ile kitu.
Kuna jamaa kamtoa baru mama yake mzaz na kumtupia mizigo nje kisa tu mkewe hatak mama mkwe aje kwake.

Masikini mama wa watu alikuja kutibiwa ila ndo hivyo mwanae kashawekwa kiganjani.

tabia hii haina kabila inatokana na malezi anaweza kuwa nayo mhaya ,msukuma mchaga mnyalu etc.. acheni kwadhalilisha dada zangu AM PROUD OF MY TRIBE MI MHAYA BWANA

Haaahaaa i like dat hata sura inaonekanaila kujipa majinaya kizungu nakuyatosa majina ya kikwelii sio we muangila mhaya wa wapi
bahay mlio???
Mpao

MUTAYOBYA.BYABATO,MUTIGANZI KUJIITA MAJINA MU[h=3]Jina baada ya kuolewa![/h]

Je, nibadilishe jina baada ya kuolewa?​

Utangulizi.​
Hivi karibuni kumekuwa na kujiuliza kwingi kwa akina dada ambao wanatarajiwa kuolewa kama anaweza kubadilisha jina la ukoo na kulichukua lile la mume wake.​
Wengi wamejikuta wakifanya huku hawajafahamu maana au kwa nini wanachukua hatua kama hiyo hata hivyo ni vizuri kufanya jambo ambalo una uhakika na ufahamu wa kutosha kuliko kufuata tu traditions na taratibu ambazo ni kama kufuata mkumbo.​

Pia kuna maswali kwamba je, kubadilisha jina baada ya kuolewa ni suala la kibiblia au ni mapokeo tu na zaidi kwa nini wanaobadili majina ni wanawake na si wanaume.​

Je, kubadili jina nyakati za leo kuna manufaa yoyote kimaadili na kiimani?​
Wanaharakati wa mambo ya wanawake (feminist) wanasema haina haja kubadili jina maana mwanamke anapoteza identity yake na kila kukicha wanawake wanaoolewa kwa hiari yao huamua kubadilisha majina yako na kuendelea kufurahia maisha ya ndoa na waume zao wapya.​

Enzi za Biblia:​
Kihistoria nyakati nyingi za nyuma hata enzi za Biblia watu walitambulika jina moja tu bila jina la ukoo.​
Wengi walijulikana kwa makabila, tamaduni, mji anaotoka, kazi anayofanya au cheo alicho nacho katika jamii.​
Mfano Mfalme Daudi, Yesu wa Nazareth, Mary Magdalena nk​

Majina yalikuwa katika mfano wa business card kwani majina yalieleza wanatoka wapi na wanafanya nini, tofauti na majina yetu leo ambayo ni kukutambulisha wewe tu kuwa tofauti na mwingine na hayaelezi unafanya kazi gani, unatoka wapi nk.​
Pia nyakati za Biblia Mungu alihusika kubadilisha majina kutokana kupewa makusudi na wajibu mpya.​
Kama vile;​
Abram kwenda Abrahamu,​
Sarai kwenda Sara​
Sauli kwenda Paulo​

Kwa nini anayebadilisha jina ni mwanamke na si mwanaume?​
Traditions ambazo ni biblical zinaonesha kwamba kwanza Adamu aliumbwa ndipo Eva (Hawa) na Eva alitoka katika ubavu wa Adamu.​
Adamu na Eva baada ya kuunganishwa wamekuwa mume na mke yaani mwili mmoja (one couple).​
Mungu amewaunganisha mwanaume mmoja na mwanamke mmoja kufanya kitu kimoja na mke ndiye amemfuata mume (kipande cha ubavu kilichotolewa ili kumuumba Eva) kuwa kitu kimoja kupitia agano la ndoa.​
Mbele za Mungu wanandoa wawili mke na mume huwa ni kiumbe kipya kimoja kinachoitwa ndoa moja (couple), hii ina maana kwamba ingawa mwanaume mmoja ambaye hajaoa huonekana ni mtu mzima kiroho bado huwa nusu na huhitaji kuunganishwa na nusu nyingine ya mwanamke kufanya kitu kimoja yaani ndoa.​
Mwananaume huwa hajakamilika hadi anapooa na mwanamke huwa hajakamilika hadi aolewe.​
Mwanamke kumchukua jina la mume ni kuipa heshima ndoa na kudhihirisha kuwa kitu kimoja kipya kimezaliwa.​

Mke anapoolewa hudhihirisha kwa ulimwengu kuwa amepata identity mpya na anatambua uimbaji wa kimungu kupitia ndoa (acknowledge God's new creation).​
Baada ya kuolewa anaingia kwenye agano jipya kati ya mke na mume na Mungu.​

"she becomes part of something greater than herself, the union created and blessed by God".​

Isipokuwa:​
Jamii nyingi za kilatini nchi kama Italy, France, Belgium, Netherlands (ambao wengi ni Christian); mwanamke hutambulika tu in public kwamba amebadilisha jina lakini kwenye documents zote za kisheria (legal contract) jina la ukoo la mama huwa jina la katikati katika majina matatu ya watoto hii ni kuhakikisha historia za familia zao (genealogy) zinadumishwaTI,BABY NI SAWA??

Kuna kazikubwa kuishi na hawa jamaa, nimeshuhudia wakifanya vituko vya ajabu
Lakin mwishowe nafikia mahali nasema kuwa karibia wanawake wote wanafanana katika mabo mengi sana
Japo jamani kuna mengine wahaya wamezidi, suala la kujigamba huku hawana kitu ni sifa yao kubwa
Suala la kupenda maisha ya juu na wakati hawana uwezo wa kufanya hivyo linawaponza wengi

Watu wenye fikra pevu hawawezi kuhukumu mambo kwa misingi ya ukabila. Pdidy unaleta virusi kwenye forum. Hizo sifa mbaya za wahaya unazotaja, na zile nzuri zilizotajwa na mtetezi wao bado zinapatikana kwa makabila mengine ya Tanzania na kwa mataifa mengine. Sioni sababu ya kuziita kwa wahaya

haaah haaah Aisha ww acha utani.

Wahaya ni hatari! Unalishwa kitomvu cha mtoto mchanga aliekufa leo, hapo ndo umekwisha mana ili mume awe na kauli kwa mkewe labda yule mtoto afufuke aongee na hilo ni impocbo.

So mume atakua ***** tu anapiga kaz na hela zote mke anapanga matumiz kama ni kujenga kwao, kusomesha ndugu zake n.k

kwa kweli wahaya ni utata japo kwenye mambo yetu yale wapo full maujanja!

hehee, sasa hayo makubwa;
mi sidhani kwamba wote wako hivyo wanaweza kuwa baadhi so msiwajumuishe

Nimekaa nao Sana 100% ni true!! kama mwanaume ukimpachika mimba tu imekula kwako utasumbuliwa sana. Asilimia 99% kule utakuta mabinti na akina mama wanapenda kuishi peke yao kigeto geto na watoto wao ni rahisi kwenda kuipigia hapo hapo kwao...Ni rahisi sana kutoa papuchi hata akiwa kwenye ndoa. Haishangai kuona mke wa mtu anaitembeza papuchi kwa masela..!! Hawana staha katika ndoa wanatoa mzigo kama kawa.
Nimekaa nao na wengi na ishi nao eneo nililopo. wapo kimaslahi zaidi ukishiwa mpunga utaisoma namba si wavumilivu wa shida hata kidogo...!! Watchout guys

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom