cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
Mkuu hujui maana ya uhuniUhuni upi labda...
Mkuu hujui maana ya uhuniUhuni upi labda...
Ukienda bukoba Asilimia kubwa ya wanawake 95% ni single parent wanapenda kukaa peke yao ili wawe free wengi wao wameachika!!
Ndo maana nimekuulizaMkuu hujui maana ya uhuni
Kumbe inawezekana nawewe umeanza kunukia Kama UA uwaridi! Maana ukikaa nalo krb hopefully utanukia nawe!Nawajua mashosti zangu asilimia kubwa ni shomile. So hyo kitu iko damuni
Maana yake wanaakili wanajua kuwa Ardhi ni Mali kuliko makabila mengine.Sifa nyingine ya hili kabila ni hii hapa:
- Wanapenda kung'ang'ania kitu hasa ardhi hata kama anajua kabisa siyo pake.
Et hapo unamlazimisha Mungu kupenda lakin yeye hajapenda.Mbona mnanitisha mimi natagemea kuoa huko Mungu akipenda!
Maana yake wanaakili wanajua kuwa Ardhi ni Mali kuliko makabila mengine.
wewe una utani na kaka zao wakikutafuta ss hatupoAngalizo:kaka zao ndo balaa zaidi,ntakuja na sifa zao baadae..
Waache waoane wenyenye kwa wenyeweutakuwa unaanika godoro kila siku, kwasababu katerero kwanza ndo inakuja kawaida....kazi kwelikweli, utakonda mzee...
KweliNimekaa nao Sana 100% ni true!! kama mwanaume ukimpachika mimba tu imekula kwako utasumbuliwa sana. Asilimia 99% kule utakuta mabinti na akina mama wanapenda kuishi peke yao kigeto geto na watoto wao ni rahisi kwenda kuipigia hapo hapo kwao...Ni rahisi sana kutoa papuchi hata akiwa kwenye ndoa. Haishangai kuona mke wa mtu anaitembeza papuchi kwa masela..!! Hawana staha katika ndoa wanatoa mzigo kama kawa.
Nimekaa nao na wengi na ishi nao eneo nililopo. wapo kimaslahi zaidi ukishiwa mpunga utaisoma namba si wavumilivu wa shida hata kidogo...!! Watchout guys
Tupe tabia za kaka zao mkuu maana wataka kuomba ukweAngalizo:kaka zao ndo balaa zaidi,ntakuja na sifa zao baadae..
We chambua makabila yoote ya TANGA usitake Hadi tukuwekee<br />
<br />
mm mbna nimetoa + pia, nimesema kwenye mambo yetu yale tuyapendayo wanaume wao wanayajua haswaa.
Bt ukwel niujuao ndio huo na kuna jamaa kule T.a alioa mdada wa kabila hiyo, jamaa akatulizwa fasta na akawa anasomesha ndugu wa mkewe huku yeye anawa watoto wake aliozaa nje kabla ya kuoa huyu mke wa sasa kawatelekeza.
Utaona kama nawaonea bt mm always nasema ninachokijua.
Mm upande wa mama ni Tanga kama vp wekeni thread ya wanawake wa kabila lolote la Tanga uone nao nitakavyo wachambua hapa kwa mabaya na mazur yao!sionei mtu hyseeee
Hata wasomi wenye degree zao ?Wanawake wa kihaya wanapenda uhuni sana aisee
Najuta yaliyonikuta. Ni kweli kabisa nimegundua nilikua namlazimisha Mungu.Et hapo unamlazimisha Mungu kupenda lakin yeye hajapenda.
Hao wadudu ndo wanaongeza genyeNarudia tena, nimeoa mhaya na ninaishi kwa raha sawa au pengine zaidi ya ndugu zangu waliooa 'kwetu'. Kilichonishinda kwa wahaya kimoja; kula wadudu...