Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae
Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae
Status
Not open for further replies.
infwact obama is my personal lawyer! Nomumanya obama iwe! Nyowe ti wa mzano, baza profesa tibaijuka wa UN!infwact ni waziri in this country!
Juzi nilikuwa nimeenda Marekani unajua kule kuna doctor wangu huwa ananifanyia checkup bahati nzuri nikanunua mbwa german shepherd ila nikamuonea huruma ikabidi na yeye nimkatie tiketi ya ndege first class KLM maana nilikuwa sitaki apate usumbufu basi kufika uwanja wa ndege wakanipokea na ile Vogue niliyoagiza kutoka CMC nashukuru bado iko katika hali nzuri naona DT Dobie wanafanya service vizuri, baada ya kufika nyumbani nikakuta Movenpick wameleta bili kuna wageni walikuja ikabidi niwachulie chumba pale nikaona isiwe tabu nikawaandikia dollar cheque nikamtuma dereva aende na ile Mercedez Benz S CLASS akawalipe unajua sipendi madeni kabisa mie
Msiangalie mapungufu tu mnawanyima haki ya kupendwa wale ambao bado wapo. ..........(Wahaya hebu jiteteeni basi au mliowaoa hebuni wasafisheni bana wake na mashemeji zenu)
mm mbna nimetoa + pia, nimesema kwenye mambo yetu yale tuyapendayo wanaume wao wanayajua haswaa.
Bt ukwel niujuao ndio huo na kuna jamaa kule T.a alioa mdada wa kabila hiyo, jamaa akatulizwa fasta na akawa anasomesha ndugu wa mkewe huku yeye anawa watoto wake aliozaa nje kabla ya kuoa huyu mke wa sasa kawatelekeza.
Utaona kama nawaonea bt mm always nasema ninachokijua.
Mm upande wa mama ni Tanga kama vp wekeni thread ya wanawake wa kabila lolote la Tanga uone nao nitakavyo wachambua hapa kwa mabaya na mazur yao!sionei mtu hyseeee
Mkuu ni kitomvu cha mtoto mchanga aliekufa then wanaweka huko chini kwa cku 3, kikitoka kinakaushwa juan then kinasagwa na unaungiwa kwenye mboga. Ukila tu mwana umekwisha yani ili uwe na kauli kwa mkeo ni sharti yule mtoto afufuke aongee na hilo ndio impocbo!
So utabaki kuwa mateka tu.
Gross and disgusting!!
Waambie shemeji raha unazopata ili wenye wivu wajinyoge vizuri! Najua tunatesa sana so we don't need JF voting to confirm that we are superb!
Sijali nimelishwa nini, sijali watu wengine wanafikiria nini... Najali kuwa mimi naenjoy ndoa yangu, na naishi kwa amani na furaha na familia yangu...
Kaka ukiona dada yako anakuletea mnyamahanga jua kuwa lazima vigezo na masharti vimezingatiwa. Si kazi ndogo kuoa toto la kihaya lazima uwe umekidhi viwango!
Kama noma na iwe noma. Binti au kijana wangu akiniletea mchumba wa kinyamahanga (asiye Mhaya) namfukuzia mbali. Kwani amepungukiwa nini mpaka atafute porini? Huo ndiyo msimamo. Sasa nauliza, kama wewe ni Mnyaturu, Mmakonde, Mgogo, Mhehe, etc. ni sifa gani uliyo nayo inayoweza kunifanya nimpite binti wa Kihaya nije kwako? Tajeni sifa zenu tulinganishe na kasoro za Wahaya.
Kaaaazi kwelikweli!!!! Zama hizi bado mnaweka demarcation za kikabila!!! Hivi mhaya aliyezaliiwa na kukulia Bukoba na yule ambaye kazaliwa na kukulia mjini watafanana kiutamaduni?? Na bado haujawazungumzia HYBRID HAYAs. Badilikeni jamani coz muda umetutupa mkono tayari!!!!
maji hayasahau ubaridi! Hata kama kakulia london labda kidogo waliochanganya wazazi ila...
ukioa muhaya jiandae kujifunza maadili ya siku ya gulio katelerooooo
kaka ukiona dada yako anakuletea mnyamahanga jua kuwa lazima vigezo na masharti vimezingatiwa. Si kazi ndogo kuoa toto la kihaya lazima uwe umekidhi viwango!
bahaya mlio??
Miriam halfan mushumbuzi
slp 5016
hii gari aliingia nayo binti mmoja lodge pale wanyama akiwa na pete ya ndoa nikiwa namchukua ndgu yangu akapanda nae huyo mwanaume mpaka chumba namba xx gorofa ya pili akaita rec kuulziia kama kuna mlango mwingine wa kutokea ukiacha alipoingilia hapo sinza ..akasitiriwa na mlinzi mmoja kwa kumpitisha nyuma
bahaya mlio??
Wewe ulifuatilia gari mpaka chumba alichoingia, pete mpaka anaongea nini na receptionist afu unasema ulienda kumchukua ndugu yako. Unataka tukuamini au wewe ndio ulikuwa mwizi mwenzie??? Mpaka anapiga simu reception kuulizia mlango wa ziada wewe unasikia. P Didy acha kutoka na wake za watu!!! Yaani mpaka ameingi ndani na jamaa wewe unasubili tu? Mpaka wamemaliza wewe upo tu? Mpaka anatoka mlango wa nyuma wewe upo tu? It is either umetunga au na wewe ni muhusika.
Miriam halfan mushumbuzi
slp 5016
hii gari aliingia nayo binti mmoja lodge pale wanyama akiwa na pete ya ndoa nikiwa namchukua ndgu yangu akapanda nae huyo mwanaume mpaka chumba namba xx gorofa ya pili akaita rec kuulziia kama kuna mlango mwingine wa kutokea ukiacha alipoingilia hapo sinza ..akasitiriwa na mlinzi mmoja kwa kumpitisha nyuma
bahaya mlio??
Na godoro uliwekee plastiki kabisa maana! na ukishindwa kum dawasa ujue lazima atafute nshomile mwenzake
hahahahaaaaa hahahaaaaaa BB wewe ukojeee, hahahaaaaaaa nimecheka mpaka nimeji.... mbavu zangu mie hahahaaaaaaaaaaaaaaa
wewe ulifuatilia gari mpaka chumba alichoingia, pete mpaka anaongea nini na receptionist afu unasema ulienda kumchukua ndugu yako. Unataka tukuamini au wewe ndio ulikuwa mwizi mwenzie??? Mpaka anapiga simu reception kuulizia mlango wa ziada wewe unasikia. P didy acha kutoka na wake za watu!!! Yaani mpaka ameingi ndani na jamaa wewe unasubili tu? Mpaka wamemaliza wewe upo tu? Mpaka anatoka mlango wa nyuma wewe upo tu? It is either umetunga au na wewe ni muhusika.
mkuu nilikwenda kumpa tafu semej yangu nanilikuwa recep pale pemben kuna makochi mkuu tulipocheka nimlinzi kupita aancheka nikamuuliza akatujuza mkuu......haaahaaaa mkuu tangu ninaanii kile kidole aliebahatika mama didy pekee mkuu
gud idea lakini kwema weekend??
Eeeeeeeeeeehhhhhhm lakini uweziiiiiii amini wanwake wengi wa kihaya awaiji hii sijui wamezaliwa dar sababu
ina raha yake asikwambie mtu unasikia kama umefungulia bomba ladawasco tatizo uwe na godor hilo hilo moja loh..adhabu
Kama aliyebahatika ni mama P didy peke yake hayo yote umeyajuaje???? P Didy nimekushtukia. Si mtakatifu kama unavyo pretend to be. Hii post imefanya tukujue who you real are. Unashauri vijana wasipime kabla ya kuoa wakati wewe uliishi na mdada ukamkimbia na kumwachia chumba ukiwa tayari umesha jitambulisha kwao kisa amekuuliza kuhusu viwanja!
Eeeeeeeeeeehhhhhhm lakini uweziiiiiii amini wanwake wengi wa kihaya awaiji hii sijui wamezaliwa dar sababu
ina raha yake asikwambie mtu unasikia kama umefungulia bomba ladawasco tatizo uwe na godor hilo hilo moja loh..adhabu
Juzi niRikuwa nimeenda Marekani unajua kure kuna doctor wangu huwa ananifanyia checkup bahati nzuriii nikanunua mbwa german shepherd ira nikamuonea huruma ikabidi na yeye nimkatie tiketi ya ndege fishti cras KeyroeMu maana nirikuwa sitaki apate usumbufu basi kufika uwanja wa ndege wakanipokea na ire Vogue niriyoagiza kutoka CMC nashukuru bado iko katika harii nzuri naona DT Dobie wanafanya service vizuri, baada ya kufika nyumbani nikakuta Movenpick wamereta biri kuna wageni warikuja ikabidi niwachurie chumba pare nikaona isiwe tabu nikawaandikia dora cheque nikamtuma dereva aende na ire Merykedenz Benz S CRASS akawaripe unajua sipendi madeni kabisa mie
Inakuwa hivi mkuu
• Thanks
Reactions: Jux
Mwanzisha mada na wengine wanaom support you can go and hang youyrself, kwa nini hamtendi haki kwa mke wangu, mama yangu, shangazi zangu na dada zangu?
Sidhani km kuna kabila lifaalo kwenye mahusiano kama dada zangu wa kihaya.
Zawadi yangu kwenu nyie wanyamahanga ni "kyalye empali za baishenywe".
Status
Not open for further replies.
Similar Discussions
Back
Top Bottom