Hii ni kwa wale ndugu zanguni mlio karibu kuoa wale ndugu zangu jirani zangu waliokuwa wakwe zangu wa bukoba mkoa wa Kagera sipendi muachane ndani ya ndoa ila lengo langu ni kukuaminisha uliye nae ukikosea kumtumia hakika utageuzwa kampuni ya uda yaani una uza hisa za milion 250 huku wewe una thamani ya mabilioni na mwisho unaenda kuwasumbua wale jamaa wanaovaaga makoti yao meusi na vitambaa vyeupe kule mahakamani...sasa basi hakikisha kabla haujaamua kufunga ndoa soma haya na kama unaweza andika kwenye karatasi ukikaribia jihalalishe mwenyewe kwanza usiangalie wakina shemeji ama nani wakati wa hukumu hutokuwa nao hao
1..Je huko vyema kwenye tendo la ndoa..sipendi kukuachanisha la hasha wamiliki wa kubwa wa hisa za kampuni kutokea kagera lazima moja uwe na nguvu halisia usikimbilie zile za kwenye mabango ya siolipiwa hata kodi wanaongeza nguvu za kiume na kurudisha ndoa la hasha huwa ikifika muda zinaisha na ukikuta wameshakufa wewe ndio lala salamaa sisemi umwache la hasha napenda uwe na amani milele badala ya kuishi ndoa ya mavumiliano
2.Ujitayarishe kujiamini..ndugu yangu huwa katika vipaji wanawake wa Kagera walichopewa ni kujiamini utakuta hana hata hela la hasha anavyokupeleka utahisi ndie mwekezaji mwenye hisa kuliko wote katika hili usidanganyike kuwa kimya ati nitaharibu ndoa loh akikuwahi yeye anakumaliza
3.Hakikisha umejiandaa na maisha kikweliii na si kujaribu ..zamani nikuwa nasema wenzangu wa kichaga pale wa machame ndio wakiolewa hawataaki mchezo lazima ukajenge kwao ukikomaa kakutafutia wezi wanakumalizaa njiani kwake si dili
ONYO
MAWAZO YENU VIGEZO NA MASHARTI YA PAW KUZINGA TIWA