Kuoa kwa harusi au bila harusi kipi bora?

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Siku hizi mtu akitaka kuoa kuna kuwa na event nyingi mara utasikia kutangaza uchumba, pete ya uchumba, kitchen part [wakati muolewaji ameishawah ishi na mwanaume mwingine kwenye sogea tuish miaka saba] mara ndo send off then harusi!!!! baada ya harusi jamaa anabaki hana kitu hadi vyombo vya ndani vya kuunga unga! mi naona Bora kuoana bila harusi ili fedha ya sherehe nifanyie mambo mengine!!!
 
sherehe yoyote ile ikiwezekana hata mahali nisitoe!
Hata mahari hutaki kutoa?Hakuna cha bure muraa!Cha bure ni hewa tu.Kuoa na kufanya sherehe ya gharama kwa uchumi uliopo Tanzania ni uwendawazimu.Halafu,mmeambiwa muishi kishetani.Huo ungangari wa kufuja mapesa muutoe wapi?😂😂😂😂😂😂
 
Hata mahari hutaki kutoa?Hakuna cha bure muraa!Cha bure ni hewa tu.Kuoa na kufanya sherehe ya gharama kwa uchumi uliopo Tanzania ni uwendawazimu.Halafu,mmeambiwa muishi kishetani.Huo ungangari wa kufuja mapesa muutoe wapi?
mbona wengi wamekubali kuolewa bila mahari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom