Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Acheni hizoo mfyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]Aaaa mkuu acha mbwembwe!Mahari yenyewe hatutaki kutoa sembuse kukulipa weye utuwekee video?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni hizoo mfyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]Aaaa mkuu acha mbwembwe!Mahari yenyewe hatutaki kutoa sembuse kukulipa weye utuwekee video?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Harusi sio lazima kivilee...ila ni vizuri ukafanya hii sherehe kulingana na kipato chako.Siku hizi mtu akitaka kuoa kuna kuwa na event nyingi mara utasikia kutangaza uchumba, pete ya uchumba, kitchen part [wakati muolewaji ameishawah ishi na mwanaume mwingine kwenye sogea tuish miaka saba] mara ndo send off then harusi!!!! baada ya harusi jamaa anabaki hana kitu hadi vyombo vya ndani vya kuunga unga! mi naona Bora kuoana bila harusi ili fedha ya sherehe nifanyie mambo mengine!!!
huyu hana jipya ameona kila anachotaka changia kimezungumziwa! inshort ni haijui fasihi!Haiwezekani kwenye mazungumzo kusitokee mabadiliko.Ilianza gharama za ndoa na sherehe yake sasa tunaipanua hoja kwa nakshi za hoja zingine.Hii ni tabia ya fasihi hasa ya uandishi na kuongea.
ningekuoa ungenipangia mahari kubwa kama video unataka tulipie!Acheni hizoo mfyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni hizoo mfyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][/QUOTE
]
Nimeacha mkuu👏😂
Ohh yeah,..mm mwenyewe si mtam sasa kwann usilipie[emoji16][emoji16]ningekuoa ungenipangia mahari kubwa kama video unataka tulipie!
ahsante mkuu! je kuna mapungufu yapi kwa kichwa hiki?Sina shaka na hilo kaka,
Kichwa cha mada kinaonekana anatafuta majibu kutoka kwa wanajamvi, lakini pia wakati huo huo yeye katoa jibu la swali hilo hilo.
Ndio maana nasema kuna haja kichwa kubadilika ili kuchukua maana kamili ya mada..mfano: Harusi ipi ni bora kwako!?
Kwa kichwa hiki yeye anaweza toa jibu la swali lakini pia nafasi kwa wengine ikiendelea kuwepo kutoa majibu yao.
Tuko pamoja mkuu.
Tena leo ana bahati.Angekutana na "couples" zinapeana salamu na kuongea mother tongue kwa kwenda mbele!huyu hana jipya ameona kila
anachotaka changia kimezungumziwa! inshort ni haijui fasihi!
Ooh...ndiyo maana mnaitwa "honey"?👏👏👏😂😂😂😂Ohh yeah,..mm mwenyewe si mtam sasa kwann usilipie[emoji16][emoji16]
naona amerudi anakusikia!Tena leo ana bahati.Angekutana na "couples" zinapeana salamu na kuongea mother tongue kwa kwenda mbele!
Yes yes sweet sugar coconut[emoji23]Ooh...ndiyo maana mnaitwa "honey"?[emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna haja gani ya kuchangisha michango ya harusi ilihali una uwezo? Mnaumiza sana wasiokuwa na uwezo. - JamiiForumsMe naona kila mtu afanye kulingana na uwezo wake tuu,.
Sawa sawa chief chief[emoji6]Kuna haja gani ya kuchangisha michango ya harusi ilihali una uwezo? Mnaumiza sana wasiokuwa na uwezo. - JamiiForums
Naunga mkono hoja katika ujenzi wa Taifa
Nimegusia kidogo juu ya kichwa kiweje, lkn anaweza akakitengeneza vizuri zaidi bila kuathiri mukhtadha mzima, Nina imani hawezi shindwa kukiunda vyema.ahsante mkuu! je kuna mapungufu yapi kwa kichwa hiki?
sherehe yoyote ile ikiwezekana hata mahali nisitoe!
Ohh yeah,..mm mwenyewe si mtam sasa kwann usilipie[emoji16][emoji16]
Na mlivyo wasanii mnapenda kuitwa majina lainilaini na matamumatamu.Mimi mama Wegesa simuiti jina lainilaini.Namuita "my gunia la.mkaa" au siku nikifurahi zaidi namuita "my kabati"!👏👏👏😂😂😂😂😂 Veeery sweet names!Yes yes sweet sugar coconut[emoji23]
Mfyuuuu uniite your kabati mm,.woiiii narudi kwetu[emoji23]Na mlivyo wasanii mnapenda kuitwa majina lainilaini na matamumatamu.Mimi mama Wegesa simuiti jina lainilaini.Namuita "my gunia la.mkaa" au siku nikifurahi zaidi namuita "my kabati"![emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Veeery sweet names!