Acha kukariri@Eli79 hii inategemea na misimamo ya mtu
Ninaona kuna tatizo la kutunza hapo!
Acha kukariri@Eli79 hii inategemea na misimamo ya mtu
Na hao walioa wanawake wenye watoto unadhani huwa hawahusishi jamii iliyowazunguka ili kupata ushauri wao kabla ya kufunga ndoa zao? Wanaamua kuwabeba mzobemzobe tu?
acha kupotosha umma. experience ya wazi ndo ipi? Kwani wapenzi walioachana bila kuzaa hawawezi kukumbushana na kufarijiana? Hata bikra akioa au kuolewa na asiyempenda anaweza kufarijiana na yule aliyempenda akitaka.
kwanza kabla hujaanza kujaa mate nikuulize tu unajuwa angalau hata maana ya mtoto wa kwanza?.
siku zote nitaendelea kushauri ni vizuri mwanamke aliyezaa akibahatika aolewe na mwanaume aliyezaa pia.
ukitumia kichwa cha chini kufikiri kamwe huwezi kulielewa hili.
Matola hii thread si yangu ila si vibaya nikaelimika kupitia humu. Hii "mtoto wa kwanza" ni nini maana yake na significance yake kwenye ndoa ya mzazi wake na baba tofauti au mama tofauti? Namna mnavyotuchukulia tuliozaa kabla ya ndoa kama mizigo na wasio au walioshuka thamani sina kipingamizi. Ni sawa kwani reality ni namna mtu anavyo-perceive. Nielimishe hili "mtoto wa kwanza" kama mama.
mkuu umeoa mwanamke aliyezalishwa watoto wangapi?
acha kupotosha umma. experience ya wazi ndo ipi? Kwani wapenzi walioachana bila kuzaa hawawezi kukumbushana na kufarijiana? Hata bikra akioa au kuolewa na asiyempenda anaweza kufarijiana na yule aliyempenda akitaka.
na kwa nini uoe/uolewe na usiyempenda?
sijui wametumwa
acha kupotosha umma. experience ya wazi ndo ipi? Kwani wapenzi walioachana bila kuzaa hawawezi kukumbushana na kufarijiana? Hata bikra akioa au kuolewa na asiyempenda anaweza kufarijiana na yule aliyempenda akitaka.
acha kupotosha umma. experience ya wazi ndo ipi? Kwani wapenzi walioachana bila kuzaa hawawezi kukumbushana na kufarijiana? Hata bikra akioa au kuolewa na asiyempenda anaweza kufarijiana na yule aliyempenda akitaka.
Ooohh... samahani dada angu nashukuru kwa ushauri wako lakiniasante ila mimi si bro ni dada na single mom
Matola hii thread si yangu ila si vibaya nikaelimika kupitia humu. Hii "mtoto wa kwanza" ni nini maana yake na significance yake kwenye ndoa ya mzazi wake na baba tofauti au mama tofauti? Namna mnavyotuchukulia tuliozaa kabla ya ndoa kama mizigo na wasio au walioshuka thamani sina kipingamizi. Ni sawa kwani reality ni namna mtu anavyo-perceive. Nielimishe hili "mtoto wa kwanza" kama mama.
of coz wapo wanaobeba we unadhani kila mtu anauliza? Na wengine huwa hawajui. Pia kumbuka sipingani na wewe ninachojaribu kukwambia ni kwamba epuka kufanya msimamo wako ndio msimamo wa jamii. We sema unachoona sio uongee kwa niaba ya jamii.Na hao walioa wanawake wenye watoto unadhani huwa hawahusishi jamii iliyowazunguka ili kupata ushauri wao kabla ya kufunga ndoa zao? Wanaamua kuwabeba mzobemzobe tu?
of coz wapo wanaobeba we unadhani kila mtu anauliza? Na wengine huwa hawajui. Pia kumbuka sipingani na wewe ninachojaribu kukwambia ni kwamba epuka kufanya msimamo wako ndio msimamo wa jamii. We sema unachoona sio uongee kwa niaba ya jamii.
Acha umbulula ww.....!!!??????? Kwan mtoto ana shida gan...... au unataka wale wenye watoto 10 lakn wakazalia chooni.????? Acha bange....
ujumbe wako huu Heaven on Earth lol
nisaidie kunielewesha... sim ya vibatani ikoje