Kuoa binti mwenye mtoto

Kuoa binti mwenye mtoto

nikiona changamoto kama hizi naogopa kumtundika binti kibendi nisawa na kuaribu future yake...wacha nisubili mpaka ndoa!

ni vizuri uowe watoto wapatikane ndani ya ndoa, ili swala watu wanalichukulia juu tu.

changamoto si kuolewa tu hata akiolewa kuna changamoto nyingi wewe umeoa mwanamke watoto wako uwezo wako ni kuwapeleka shule za kata, linatokea njemba lililomzalisha mkeo linampeleka mtoto wake ist masaki hivi hao watoto uliozaa wataona wana baba kweli?
 
Nimesema jamii unaelewa lakini maana ya jamii? Wanaume chungu nzima katika jamii yetu wanaoa wanawake wenye watoto na kuwatunza vizuri kama watoto wao na ndoa zinakuwa hazina matatizo yoyote yale. Usimchuuze huyu aliyeomba ushauri hapa akamtema binti wanayependana naye akamtema kisa tu kwa kuwa huyo binti ana mtoto aliyempata kabla ya kukutana naye.
Kwa hiyo hawa waliotofautiana na wewe hapa sio sehemu ya jamii?
 
Namalizia usajili, ila kimjini mjini ofisi zipo hapa oyster plaza.

subiri wapasha kiporo waje kukusaidia ushauri jadidi, Kongosho hebu funguwa ile ofisi haraka maana tutashauri hapa kila siku kitu kimoja tu.
 
Last edited by a moderator:
akishakuwa na mtoto si binti tena, mwanamke huyo.
 
Mmh mtu akishazaa kwa kweli thamani. Inashuka bora wote mngekuwa mmekwisha ingia kwenye ndoa kabla malezi ya mtoto yanataka moyo mara kaumwa bado unamuda wa kutafuta mchumba uamuzi wa kuoa ni mkubwa sana
 
Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kuna changamoto nyingi sana mkuu.

Lakini pia age yako kuoa mwanamke mwenye mtoto,mh! Wanaooa wenye watoto ni kuanzia 35 kwenda mbele,jua liko linaelekea sa 10..btw muamuzi wa mwsho ni wewe ila changamoto ni nyingi mkuu.
 
Na hao walioa wanawake wenye watoto unadhani huwa hawahusishi jamii iliyowazunguka ili kupata ushauri wao kabla ya kufunga ndoa zao? Wanaamua kuwabeba mzobemzobe tu?

Kwa hiyo hawa waliotofautiana na wewe hapa sio sehemu ya jamii?
 
Ndugu suala la muhimu ni upendo uliopo kati yenu, kama mnapendana hakuna haja ya kuangalia mtoto kwani huyo mtoto ana tatizo gani? Tena kama unataka maisha ya furaha muoe huyo dada ipo siku utatuambia kuwa tulikushauri vzr. Zingatio kwako ni moja tu, kabla hamjaoana mjadiliane suala la huyo mtoto kwa maana mzazi mwenzake na ufahamu pia kuwa ni kwanini waliachana ili ujue kila kitu. Hayo yatakusaidia ktk kufanya maamuzi yako.
 
hebu acheni kudanganyana hapa, kijana wa miaka 27 ana sababu zipi za msingi za kujibebesha msalaba huu?

hivi mngezaliwa zamani wanawake wachache mngeweza kupata wachumba kweli?
 
Ahsante sana Mkuu

Acha umbulula ww.....!!!??????? Kwan mtoto ana shida gan...... au unataka wale wenye watoto 10 lakn wakazalia chooni.????? Acha bange....

unauhakika kama yeye hajawahi kutoa mimba? Wengne mimba znagoma tu
 
hebu acheni kudanganyana hapa, kijana wa miaka 27 ana sababu zipi za msingi za kujibebesha msalaba huu?

hivi mngezaliwa zamani wanawake wachache mngeweza kupata wachumba kweli?

Mke wa kuoa ni tofauti n yule wa maonyesho, hapo unafikiria maisha zaidi ya starehe. Kuzaa mtoto haimuondolei sifa ya kuwa mama bora (yawezeana alibebeshwa mimba na mtu aliyekuwa na matumaini naye). Wapo walioolewa wakiwa na watoti tayari lakink ndoa zao zinafuraha ajabu, lakini wapo vilevile waliooa mabinti lakini ndoa hazikudumu hata mwaka, na hata zile zilizofumu, misukosuko kibao!. Tafakari juu ya aina ya mke umtakae kisha fanya maamuzi.
 
kwanza kabla hujaanza kujaa mate nikuulize tu unajuwa angalau hata maana ya mtoto wa kwanza?.

siku zote nitaendelea kushauri ni vizuri mwanamke aliyezaa akibahatika aolewe na mwanaume aliyezaa pia.

ukitumia kichwa cha chini kufikiri kamwe huwezi kulielewa hili.
 
Ni utoto tu unakusumbua, ukikua na kufahamu nini maana ya maisha, ndo utafahamu hiki nilichokieleza
 
mkuu experience ya wazi inaonyesha wazazi hawaachani lazma watakumbukana na kufarijiana siku moja. Kama umeamua kuoa jiandae kisaikolojia kuukubali ukweli huo. Vinginevyo kumuoa sio mbaya.

acha kupotosha umma. experience ya wazi ndo ipi? Kwani wapenzi walioachana bila kuzaa hawawezi kukumbushana na kufarijiana? Hata bikra akioa au kuolewa na asiyempenda anaweza kufarijiana na yule aliyempenda akitaka.
 
ni vizuri uowe watoto wapatikane ndani ya ndoa, ili swala watu wanalichukulia juu tu.

changamoto si kuolewa tu hata akiolewa kuna changamoto nyingi wewe umeoa mwanamke watoto wako uwezo wako ni kuwapeleka shule za kata, linatokea njemba lililomzalisha mkeo linampeleka mtoto wake ist masaki hivi hao watoto uliozaa wataona wana baba kweli?

je ikiwa kinyume chake?
 
acha kupotosha umma. experience ya wazi ndo ipi? Kwani wapenzi walioachana bila kuzaa hawawezi kukumbushana na kufarijiana? Hata bikra akioa au kuolewa na asiyempenda anaweza kufarijiana na yule aliyempenda akitaka.

Much respect.
 
Back
Top Bottom