Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Wewe mleta mada msimamo wako ni upi?
Hlo nalo neno ambalo weng tumelsahau
Wewe mleta mada msimamo wako ni upi?
Mmmhhh sidhani kama kuna dhambi kuoa binti ambaye amezaa.Hivi mwanaume nae akiwa ameshawahi zalisha huko nje na anataka kuoa cjui inakuwaje.
Kimsingi kuhusu mama na mtoto wake najaribu kutaka kufaham jambo hili lina reflection gani katika jamii hii inayotuzunguka Je? ni fedheha? hasa kwa kijana anayeanza maisha au ni kawaida?Wewe mleta mada msimamo wako ni upi?
Kimsingi kuhusu mama na mtoto wake najaribu kutaka kufaham jambo hili lina reflection gani katika jamii hii inayotuzunguka Je? ni fedheha? hasa kwa kijana anayeanza maisha au ni kawaida?
Kimsingi kuhusu mama na mtoto wake najaribu kutaka kufaham jambo hili lina reflection gani katika jamii hii inayotuzunguka Je? ni fedheha? hasa kwa kijana anayeanza maisha au ni kawaida?
Kimsingi huyu mtoto amemlea mwenyewe peke yake tangu amemzaa hadi umri huu aliofikia(miaka2) kwani jamaa hakutaka kujihusisha na wala hakuna mawasiliano jamaa ni mzanzibar yuko zenji kwa sasaMaranyingi kama si zote mliopendana watoto wa kabla hawazingui. Tatizo huwa ndugu wa mume na baba wa mtoto. Fumba macho, chukua wifey kisha komaa na hao mpaka waikubali hali. ANGALIZO: Usije kumtesa mtoto wa watu. Ukiona inakupa tabu, na kama haitasumbua, ampeleke mtoto kwa baba yake (hapa kina mama huwa ni wakali balaa).
umeona eeh..wanatuchosha sana hawa watu!
Kimsingi kuhusu mama na mtoto wake najaribu kutaka kufaham jambo hili lina reflection gani katika jamii hii inayotuzunguka Je? ni fedheha? hasa kwa kijana anayeanza maisha au ni kawaida?
Hbr wana jukwaa naomba mnishauri,Nilitokea kumpenda sana binti mmoja wakati niko A level nilikuwa nasoma nae darasa moja ila michepuo tofauti mimi nilikuwa PCB na yeye alikuwa CBG Kibaya zaidi sikuwahi kumtamkia kuwa nampenda nilikuwa naumia moyoni tu.Baada ya matokeo kutoka(2010) alipata failure na mm nilipata div iii yenye Principal pass moja nikaenda kusoma diploma ya mifugo(LITI, 2010-2012).wakati nikiwa chuoni bado moyo wangu ulikuwa unamfikiria sana huyu binti, mnamo mwezi 11/2011 nilitafuta namba yake kutoka kwa mmoja ya classmate yangu.Ndipo nilipojipiga kifua na kumweleza hisia zangu kwake na kudai kuwa mbona muda wote huo sijawahi kumwambia nikamweleza kwa nini.kuanzia hapo ikawa tunawasiliana hadi nilivyorudi chuoni mwezi wa 5/2012. Nikampigia simu tuonane na kweli alikuja (frankly speaking i did with her) Bila kusahau nilishawahi kumuuliza kama ashawahi kuwa na mtu akanambia ndio lakini wameachana mda mrefu hakuniambia zaidi ya hivyo.So moja ktk siku nilimwita aje cafe tupate juice alikuja mtoto mdogo mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kuelekea miwili nilimuuliza ni wanani akadai ni ndg yake yuko znz hatimae niligundua kuwa ni wake(shorten to save time) nilivo muuliza kwa nn alinificha akadai angenikimbiza mapema kama angeniambia (a lot ommited to save time) kimsingi binti ananipenda ajabu na nilishamuahidi kumuoa nikipata kazi na sasa nimeajiriwa na wizara ya mifugo na pia ni mwanafunzi wa veterinary Medicine SUA Y1 KWA SASA BINTI ANATAKA NIMUOE KWANI NIMESHAPATA KAZI LAKINI NAGWAYA KUWA NI SAWA KWA UMRI WANGU KUANZA NA BINTI MWENYE MTOTO??? ZINGATIA BINTI NAMPENDA SANA KWANI ALIVYO HUWEZI AMINI KUWA ANA MTOTO NA YEYE PIA ANANIPENDA.........USHAURI TAFADHALI KWANI LENGO LANGU MWAKA HUU USIISHE NIOE...Kama kuna mtu atataka maelezo zaidi ili anishauri barabara nitampatia.
kwa hiyo maneno yangu ni ya kukaririshwa sio?? Binafsi siwezi, nawaachia wengine waoe.Acha kukariri@Eli79 hii inategemea na misimamo ya mtu
mwezi wa 11 natimiza 27una umri gani kama hutojari ili nikupe jibu la kweli na sahihi. Sema ukweli nikupe ukweli sasa.
Kimsingi huyu mtoto amemlea mwenyewe peke yake tangu amemzaa hadi umri huu aliofikia(miaka2) kwani jamaa hakutaka kujihusisha na wala hakuna mawasiliano jamaa ni mzanzibar yuko zenji kwa sasa
kama utachunguza kwa umakini sana hapo tatizo lipo tena kubwa:
1.kwa nn aseme hv "nilivo muuliza kwa nn alinificha akadai angenikimbiza mapema kama angeniambia"
2.kwa nn ang'ang'anie hili "KWA SASA BINTI ANATAKA NIMUOE KWANI NIMESHAPATA KAZI"
mkuu bora ukosee kujenga nyumba ila sio kuoa!!!!!!!!!!:behindsofa:
Hapana mkuu simtoi kasoro kama umenifuatilia nimemsifia pia kuwa haoneshi kama amezaa na lengo langu hasa ni kufaham perception ya jamii yetu katika mazingira kama hayaHuyo binti hukumpenda....ndio maana wamtoa kasoro sasa
Sema wewe hau-reflect au hujaona wadau wengine wame-reflect tofauti na wewe?Mkuu chibi kuoa mrembo ambaye tayari ana mtoto kwenye jamii yetu haina reflection yoyote ile, kikubwa ni kwamba wote mnapendana na mnataka kuwa pamoja kama mke na mume na hili la yeye kuwa na motto halistahili kabisa kuwa kikwazo katika kutimiza adhma yenu. Kila la heri katika maandalizi ya harusi yenu Mkuu.