Kuoa binti mwenye mtoto

Kuoa binti mwenye mtoto

Una akili sana wewe nimekupendaje? Wanaume kama mumeo wako wengi sana. Pale ambapo wanakutana na penzi la kweli hata kama kuna mtoto watauliza maswali ya kina na wakishapata majibu ya kuwaridhisha basi mtoto anakuwa si kipingamizi katika maamuzi yao ya kufunga pingu za maisha na asilimia kubwa humlea mtoto kwa mapenzi tele kama ni mtoto wao wa kuzaa. Ahsante sana kwa kuweka mfano wako.

thnx kwa kutetea sie tuliozaa na tukaolewa mi natoa mfano wangu mwenyewe firs born wangu na babake hatuko pamoja kila mtu kivyake na namheshimu sana mme wangu mana kwa ujasiri wake ameweza kunikubali na akanioa na tuna amani tu suala si kurudiana na mwenzi wako unaeza oa asiye na mtoto akakubambikia pia by the way mbona wanaume mnazaa na mnaoa wasio na watoto acheni ubinfsi au hapa jf hv hamna watu waliozaliwa half siblings humu?au ndo mbwembwe tu!
 
Ukioa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine, unakuwa mume mdogo. Kwa sababu huyo mwanamke tayari ana mume mkubwa.

So mnakuwa wanaume wawili mmeoa mwanamke mmoja.

Ni mtazamo tu.

Umeleta point muhimu kwa
angle nyingine. Assume mleta mada ndio angekuwa baba wa mtoto sehemu
nyingine, na anataka kuoa binti asiye na mtoto. Hii ingekaaje?
Nachomshauri mleta mada, kama kampenda binti amuoe tu, bila kujali kama
kazaa. Cha msingi ni upendo, mengine mbwembwe tu.
 
Heading ingekuwa "kuoa mama mwenye mtoto" mwanamke akizaa huitwa mama sio binti ati! watendee haki akina mama.
 
Mh iyo kaka inaitaji moyo, mbaya zaidi kama toto lenyewe full kufanana na babaake yaani taswira za alivyokuwa akivurugwa aziishi kila ukimuona mtoto. mambo aya usikie kwa wengine tu. ila tunatofautiana ati
 
hapa wadada watashabikia sana ila ukweli ni kwamba hata wao hawapendi kaka zao waoe wenye watoto
 
Asprin atakuambia mahawala hawaachani, swala la kurudiana au kukumbushia mtoto sio sababu. Tena kama alimkataa akiwa mjamzito, inajenga chuki zaidi ya upendo. Hofu yako ndio hasara yako, toa mawazo negative na mtaishi happily after.

Halafu naona huyu hajampenda vya kutosha ndio maana anauliza mawazo ya watu. Live your life, ili usitafute wa kumlaumu pala yanapokushinda.
Narudia na ntaendelea kurudia tena....... MAHAWARA HAWAACHANI!!. Usithubutu kutaka kumjua hawara wa mke/mme wako. UTAKUFA KWA PRESHA!!!
 
Usiniwekee maneno ambayo sikuyaandika. Hakuna popote niliposema kwamba msimamo wangu ndio msimamo wa jamii. Hao wanaofikia maamuzi ya kuoa wanawake wenye watoto hukaa na wazazi wao, ndugu zao na jamaa na marafiki na kuangalia uwezekano wa kufunga pingu za maisha. Na wao wakiafiki kwamba mtoto wao, ndugu yao, jamaa na rafiki yao aendelee na maandalizi ya harusi basi hutoa baraka zao. Acha mawazo finyu kwamba mwanamke akiwa na mtoto basi huyo hastahili tena kuwa mke. Muhusika kaja hapa kuomba ushauri badala ya wewe kutoa ushauri wako na kumuachia mwenyewe afanye maamuzi yake, unaanza kuhoji ushauri wangu. Acha hizooo.
aisee....
 
Ukioa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine, unakuwa mume mdogo. Kwa sababu huyo mwanamke tayari ana mume mkubwa.

So mnakuwa wanaume wawili mmeoa mwanamke mmoja.

Ni mtazamo tu.

hata mi niko pa1 nawe we owa 2.tena kwakuwa amesha tendwa atakupenda sana tena sana.wangapi wanaowa wanawake wanaojiuza tena wamo jf we ni strong man .ucogope hakuna cha baba wapil au la kumbuka upendo wako ndo utamfanya baby akutambue,akupende na akuthamini.ni wachache wasemao ukweli.by wida
 
Kwan wewe unamuoa mtoto au mama ake sion chakuumiza kichwa piga mimba tangaza nia fasta bora ulijualo halikusumbui.unaeza kuoa asiye na mtoto akawa hazai pia ama akakubambikiza watoto
 
Nawashangaa sana.Mwanamke mwenye akili timamu awezi kutembea na mtu alomzalisha na kumuacha maana hicho kitendo ni cha kinyanyasaji hasa kwa mwanaume mwenye uwezo wa kulea mtoto.

Pia jiulize kama issue ni mimba wangapi wanaolewa na walishatoa za kutosha?

Mwisho kabisa jiulize kwa maisha ya sasa mabinti wana hamia kwa wanaume ata miaka miwili bila ndoa na baadae wanazinguana anakuja kuolewa na kijana mwingine na habari zinakua chin ya kapet japokua binti anakua hana mtoto na x.sasa we ukimpata huyo je utasemaje?

Hili la mwisho linafanyika sana......na wanaume wengi hawalioni......wanaliona la kuzalishwa tu.....
 
Kwan wewe unamuoa mtoto au mama ake sion chakuumiza kichwa piga mimba tangaza nia fasta bora ulijualo halikusumbui.unaeza kuoa asiye na mtoto akawa hazai pia ama akakubambikiza watoto

simple minded kwahiyo mwanamke mwenye mtoto ndio anazaa siyo? mbona mimi kuna ndoa nimeiona huu ni mwaka wa 10 sasa mwanamke alikiwa na mtoto na mwanaume alikuwa na mtoto kabla ya kuoana lakini mpaka sasa mtoto wao kama wanandoa hawajafanikiwa kumpata?
 
kama utachunguza kwa umakini sana hapo tatizo lipo tena kubwa:
1.kwa nn aseme hv "nilivo muuliza kwa nn alinificha akadai angenikimbiza mapema kama angeniambia"
2.kwa nn ang'ang'anie hili "KWA SASA BINTI ANATAKA NIMUOE KWANI NIMESHAPATA KAZI"

mkuu bora ukosee kujenga nyumba ila sio kuoa!!!!!!!!!!:behindsofa:

Kumbe una majibu? Nakushauri hili iyo namba mbili si sababu mana uwezi kuoa huna kazi utaangaika sana na unaweza kufanya ukawa unasaidiwa nje matumuzi na unyumba pia kwa sasa uwezi kumpata binti anayejielewa akubali umuoe huna ajira never
 
Ukioa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine, unakuwa mume mdogo. Kwa sababu huyo mwanamke tayari ana mume mkubwa.

So mnakuwa wanaume wawili mmeoa mwanamke mmoja.

Ni mtazamo tu.
Kwa kuwa ni mtazamo, acha uwe mtazamo. Siku hizi hata kama hamna mtoto na huyo mke, mnaweza kuwa wanaume hata watatu mmeoa mke mmoja bila kujuana, ila ni mmoja tu anaekuwa anajulikana rasmi. Hali ni mbaya kuliko tunavyofikiri.
 
itategemea alivyomlie mie nimelelewa na baba mlezi (sipendi kumwita wa kambo maana namuheshimu sana) nampenda na mjali sana
Mtoto akiwa wa kike raha ila wa kiume lazima amtandike maana inafikia, bilogically, kuna wivu fulani kwa mama yake. Hapo ndipo kutandikwa hakuepukiki. Hata wewe kama baba ana mke mwingine ni hatari kwake ingawa sisi wanaume utasacrifice mtoto ili k yako iwe salama. Mama hawezi hata siku moja akasacrifice mtoto ati anatetea dushe.
 
Back
Top Bottom