Kuoa binti mwenye mtoto

Kuoa binti mwenye mtoto

Binafsi huwa naamini
1. mwanamke aliyepelekwa leba na mwanamme kamwe hamsahau huyo mwanaume no matter wat happens esp mimba ya kwanza
2. Mtoto ni kiunganishi baina ya wazazi. Always watakuwa na mawasiliano no matter wat happens.
3. Huwa naamini kujifungua its a live or die thing. its either mwanamke afe mtoto abaki au mtoto afe mwanamke abaki au wafe wote au wabaki wote. So mwanamke kuamua kumzalia mwanaume mtoto huwa ni upendo wa ajabu kiasi cha kuamua kurisk maisha yake kwa yule mwanaume.

Ni hayo tu. Akili za kuambiwa changanya na zako

labda wanawake walioolewa lakn kwa waliopata mimba wapo shule si ajabu hata hisia za mapenzi zikakata kabisa kwa jamaa. wengi uishia kulea mtoto tu.
nafkiria tu unawezaje kumpenda mwanaume ambae alichangia kwa namna moja au nyingne kuharibu future yako??!!!
 
Hivi mwanaume nae akiwa ameshawahi zalisha huko nje na anataka kuoa cjui inakuwaje.
Umeleta point muhimu kwa angle nyingine. Assume mleta mada ndio angekuwa baba wa mtoto sehemu nyingine, na anataka kuoa binti asiye na mtoto. Hii ingekaaje?
Nachomshauri mleta mada, kama kampenda binti amuoe tu, bila kujali kama kazaa. Cha msingi ni upendo, mengine mbwembwe tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
labda wanawake walioolewa lakn kwa waliopata mimba wapo shule si ajabu hata hisia za mapenzi zikakata kabisa kwa jamaa. wengi uishia kulea mtoto tu.
nafkiria tu unawezaje kumpenda mwanaume ambae alichangia kwa namna moja au nyingne kuharibu future yako??!!!

kwelib mtupu yani unamdetest kabisaa
 
Sioni tatizo kama unampenda mwanamke muoe kwani mtoto ndio anazuia ndoa ?

Endeleeni na paln zenu
 
kwa hiyo maneno yangu ni ya kukaririshwa sio?? Binafsi siwezi, nawaachia wengine waoe.

hilo ndilo neno, haya mambo ni kila mtu anavyoyachukulia hata mm sipo tayar kwa kitu kama hcho
 
Mimi huwa navutiwa sana na wanawake single wenye watoto hawa single mothers.

Sijui kwa nini aisee
 
Hapo ndo nashangaaga wanaume hadi nabaki mdomo wazi
we ukiwa hata na watoto kumi tena kila mtoto na mama ake
unaoa tu na unaona ni haki yako ila ukikuta binti ana mtoto unaanza kugoogle kwenye vichwa vya watu
nini cha kufanya......aaaggrrr
 
Hapo ndo nashangaaga wanaume hadi nabaki mdomo wazi
we ukiwa hata na watoto kumi tena kila mtoto na mama ake
unaoa tu na unaona ni haki yako ila ukikuta binti ana mtoto unaanza kugoogle kwenye vichwa vya watu
nini cha kufanya......aaaggrrr

mkuu upo ww!....... Habar za masiku mingi
 
waambie hao........ wanawake wenye watoto waheshimiwe na watu wote... wamesacrifse mengi sana.....
Hapo kwenye bold ni kweli wamesacrifice mno manake once dada akisema nahisi nimekwama na hasa kipindi cha usichana wengi hukimbiwa na hata kukataliwa sasa hapo mama anakua ana maamuzi 2 either aitoe au alee kwa taabu na dhihaka nyingi toka kwa jamii na familia. Ktk hili nampenda sana mama mkwe wangu kwani alisacrifice mengi ili kumuokoa mwanae maana angeweza kucholopoa. Kuhusiana na michepuko nafikiri hii ni tabia ya mtu kwani hata walioolewa fresh kuna wanaokumbushia mahusiano yao ya zamani.
 
Dada kulea bao la mtu mwingine inahitaji ujasiri sana haswa unakuta mtt kishamjua baba yake

ndo tunamshauri mwenzetu hapa. Kama si jasiri asimuoe huyo dada mwenye mtoto.
 
Mimi naona tatizo sio kuzaa (kuwa na mtoto), tatizo ni mtoto. Sio rahisi kumuoa mama na mwana.

Sasa basi muulize endapo baba wa mtoto anafahamika, anamtambua mtoto na kama anashiriki katika malezi ya mtoto.

Kama anazo sifa hizo hapo juu basi mtoto aende kwa Baba yake.

Kama hana hizo sifa hapo juu, basi mtoto abaki kwa bibi yake au kwa wajomba zake.

Mtanipinga sana ila huo ndio ukweli mtupu kiafrica africa. Mimi binafsi nimeshaletewa watoto wawili kutoka kwa wanawake tofauti ambao kwa sasa wameolewa na ndoa zao zina amani tele kwa muonekano wa nje, nami nalea watoto wangu kwa amani nikisaidiana na bibi yao, I love them, soon nitawaletea mama yao (step mother)
Baba wa huyu mtoto yupo znz ila hana mpango na mtoto tangu azaliwe mpaka sasa sio kwa kuumwa wala sabuni Hivi karibuni mm ndio ninaepigiwa simu na mamake kama mtoto anaumwa na mm ninamtumia pesa anampeleka hospitali
 
hata mie nimeoa mke ambaye nilikuta tayali ameshazaa na maisha yanaenda poa tu so go for her
Je hakuna usumbufu wowote unaoupata kutoka kwa baba mtoto wa mke wako?
 
...nilishamuahidi kumuoa nikipata kazi na sasa nimeajiriwa na wizara ya mifugo...Kwa sasa binti anataka nimuoe kwani nimeshapata kazi lakini nagwaya kuwa ni sawa kwa umri wangu kuanza na binti mwenye mtoto? Zingatia binti nampenda sana kwani alivyo huwezi amini kuwa ana mtoto na yeye pia ananipenda.
Kwasababu ulishamuahidi haimaanishi kuwa lazima umuoe, ni vizuri mtu kutimiza ahadi ila kama ulivyosema unagwaya itasaidia nini wewe umuoe halafu msiwe na raha ndani ya ndoa, unasema unampenda sana kitu cha kujiuliza je kipi kina uzito upendo au mtoto aliye naye kama unahisi huyo mtoto ni ngumu kwako, bora usimpotezee muda maana atapata wanaoweza mudu hilo, kila mtu na uwezo wake, hata tukishauri vipi wewe unajua nini kimekujaza moyoni. Wewe ndio utakayeishi na huyo mdada, ninaweza kukusema nimeona walioa wenye mtoto na wanafurahia ndoa zao, wanachukulia mtoto kama wao na nimeona walioshindwa wakaacha mauhusiano ilipofikia swala la ndoa. Nitatoa mfano wa walioa naye ni bosi wangu (ni kijana chini ya miaka 30) yeye alimwambia mdada aache mtoto kwa bibi yake mpaka wao watapokuwa na mtoto wao, sasa wana mtoto mmoja na wamemleta yule mtoto toka kwa bibi. Nilimwelewa kuwa alikuwa anataka afurahie mwanzo wa ndoa wao wawili tu. Nakutakia mafanikio mema, fanya maamuzi na uwe muwazi kwa mdada.
 
mume mwenzio anazingua kutoa hela ya matunzo...ukishamvisha pete...jua mume mwenzio atakuwa anakuja kumjulia hali mtoto na mama ake
 
Baba wa huyu mtoto yupo znz ila hana mpango na mtoto tangu azaliwe mpaka sasa sio kwa kuumwa wala sabuni Hivi karibuni mm ndio ninaepigiwa simu na mamake kama mtoto anaumwa na mm ninamtumia pesa anampeleka hospitali

una ushahidi gani kama baba wa mtoto hatoi matunzo? usiniambie ndio maana anakuomba wewe, maana anao uwezo wa kuchukuwa pesa kotekote jiongeze ndugu.
 
Ila akumbuke mtoto akikua lazima amdunde baba wa kufikia. Akiwa mdogo hakuna shida, shida zinaanza anapoanza kujitegemea hasa akiwa wa kiume

itategemea alivyomlie mie nimelelewa na baba mlezi (sipendi kumwita wa kambo maana namuheshimu sana) nampenda na mjali sana
 
Hili swala ni gumu sana kuamua inabidi utulize kichwa sana maana kuna habari za baba mtoto kuja kudai mwanae..kufanya analeta matumizi..halafu wanapasha moto kiporo..ila na mimi nipo kwenye situation kama yako siku moja nikamtania bi.mkubwa hivi itakuaje kama nikioa mtu ambae ana mtoto..akaniambia..huku watu wote watakucheka kwani..umeishiwa mwanangu ennhh?? Nikacheka cheka kiboya then nikakausha...!!
 
oa tu ila akija mwenye mtoto usilie maana wewe umedandia gari mbele
 
Back
Top Bottom