Kunyoa sehemu za siri.

Wanaopenda wanadai kama zinapunguzwa kila mara na kuachwa za wastani na soap soap kwa sana basi wanazifurahia sana. Binadamu wanatofautiana wengine husema "that is a grown p.....y/p....s!! I like it that way" na wengine wanadai ni uchafu tu.

Mie nilinyoa, nilipitisha siku mbili bila kupata shughuli!, kisa mama analalamika atachezea nini, hiyo ibaki maamuzi ya wapenzi kuamua kuacha au kuondoa. Wengine wanapenda na wengine hawapendi!
 
Best unaongelea kupunguza, which could be fine. Huyu jamaa anataka kuacha amazon forest bila palizi. Sasa usafi utakuwaje. Na handling yake nayo!
Hasa kwetu wamama zile siku za mvua, usafi wa ngozi unahusika.
Swali la nyongeza: hivi kuna haja ya kutumia shampoo kuogesha sehemu za nywele?
Wanaopenda wanadai kama zinapunguzwa kila mara na kuachwa za wastani na soap soap kwa sana basi wanazifurahia sana. Binadamu wanatofautiana wengine husema "that is a grown p.....y/p....s!! I like it that way" na wengine wanadai ni uchafu tu.
 
Best mie si mtaalamu katika maswala haya labda Dr MziziMkavu aje kutusaidia kwenye hili kama kuna sabuni mbadala ya miti shamba 🙂🙂 ambayo inaweza kusaidia kwenye usafi wa maeneo hayo nyeti.

Hahahaha! Kwa kweli! Kuna haja ya kuchanganya unga wa mdalasini, asali na madhiwa!
Nna mpango wa kufungua saluni ya haya maeneo! Nitafanya promo humu humu, lol. Dreadz nazo zitakuwemo. Haya best, kuwa na wakati murua.
Best mie si mtaalamu katika maswala haya labda Dr MziziMkavu aje kutusaidia kwenye hili kama kuna sabuni mbadala ya miti shamba 🙂🙂 ambayo inaweza kusaidia kwenye usafi wa maeneo hayo nyeti.
 
Ila wengine inakuwa hadi kero maana unakuta ni ndefu hadi nanihii haionekani.........ni uchafu.
 
Hahahaha! Kwa kweli! Kuna haja ya kuchanganya unga wa mdalasini, asali na madhiwa!
Nna mpango wa kufungua saluni ya haya maeneo! Nitafanya promo humu humu, lol. Dreadz nazo zitakuwemo. Haya best, kuwa na wakati murua.
Weweeeeeeeeeh umeona! Wengi hawapendi kufuga sababu ETI ya usafi. Changamkia biashara hiyo mwanangu ila utaitangazaje? TRA nao.
 
Ila wengine inakuwa hadi kero maana unakuta ni ndefu hadi nanihii haionekani.........ni uchafu.
Unamaana unakutananao? Shauri yako labda nikuulize MKO WANGAPI?
 
Mavuzi ni pambo la uchi kama bustani katika nyumba au mataa katikati ya jiji: Wajinga, wazembe wasioelewa huyanyoa. Fuga vuzi kaka yangu uchi wako upendeze.
 
Hili somo kweli ngoja nami niwaambie nikijuacho kuhusiana na hilo,kwa mwanamke yasizidi siku 22 na mwanaume mara mbili yake yanakua ni najisi hivyo atakae kaa nayo kwa muda unaozidi hizo siku nilizozitaja basi ajue tu anatembea na Najis,Hakuna matusi kwenye kuelimishana.Nawakilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…