Kunisafirisha kutoka mbali halafu mambo hunipi, dah!

Kunisafirisha kutoka mbali halafu mambo hunipi, dah!

Hawez ni nyima uchi na akalala , binafsi na mtimu muda huo huo , sio mmoja wala wa wili nime watimua kibao kwa vurugu za kutosha
 
Hata kama mvua inanyeesha tutapangusa
Ni jambo la aibu ila wengine wanakasoro na hawawi wakweli na haswa wanaume. Unkuta ukichat nae unamtia genye alafu akija gheto bastola ya kichina
 
Yamenikuta dem nimemtoa anga za mbali nikitegemea nitamla lakin dah nilikula kwa macho, kitanda kimoja shuka moja ye yupo mtupu na mi hvy ila ukimgusa tu ooh niache ukingangana anakwambia mkatili, mbabe siku mbili zikakata kwakwel alirud vile vile na utamu wake kwakuwa mleta uzi kanikumbusha machungu, we demu kama upo humu unikumbuke kabla sijakuloga maana kipind kile niliokoka kabla ya umri nimegundua nilikosa vitam vingi njoo pm kabla sijafanya maamuz magumu

Mimi asubuhi kukikucha tu nampakia kwenye basi asepe…..yaani usafiri km kadhaa then unafika unaleta za kuleta aiseee asubuhi na mapema nakupeleka stand urudi toka….Hivi unawezaje kukaa nae siku mbili mpaka wiki akikunyima na wewe unakenua tu!?mpakie arudi aliko toka!
 
Night hiyo hiyo,ungemtimua tu,mambo ya kisengerema apeleke mbele ya safari
Alafu alivyokua amenikaa moyoni yani siti zote kajaza yeye, nilikua nampenda mno na alilijua hilo ndio maana akafanya vile.

Nakumbuka nilihangaika nae sana kama karma ipo haitomuacha salama.
Alafu anavyoagiza sasa unakuta hapo hotelini na kutaka safar za shoping[emoji24]
 
Na nyie ni wapole sana. Nyanyuka umuache hapo
Nilishapoa japo ule usiku ulikua ni mrefu sana. Nilitoka hapo kuna dada alikuwa ananikubali sana ila sikuwa na mda nae ndio nikapoozea machungu. Hakika unaempenda hakupendi, anaekupenda humpendi yani tafrani tupu.
Sasa usiombee ushapaka mkongo hahahahaaaa
 
Inauma hasa ukifanyiwa na umpendae. Nilimsafirisha KE wangu kutoka mkoani(tulipishana siku kadhaa zilipita). Alipofika akanikazia hanipi na kukikucha anaondoka akasalimie kwao, alilala na skin jeans sikuamini nilijiskia vibaya mno bembeleza sana, fosi kiaina lakini hola nikamtoa out usiku huo huo tukaenda hoteli lakini haikusaidia chochote. Asubuhi imefika anaondoka akanipa bonge la kiss na kusema ingekuwa hana haraka ya kuwahi basi tungefanya, hapo ndio nilianza kuelewa kumuelewa mwanamke ni ngumu sana. Yani tumeshinda na kulala wote hakujali anakuja kuonesha kujali ikiwa too late. Alivyoondoka ndio ukawa mwisho wetu licha ya yeye kutaka penzi liendelee.
Aisee,muda Mwingine muwe mnatubaka ikiingia tunatulia....siyo wote tunajua kusema nipo tayari jaman
 
Kuna manzi alikuja tumepanga vizuri kuwa akija afikie kwangu. Yule mbwa kaja siku ya kwanza nikamuonea huruma alale uchovu wa safari. Tumeamka asubuhi, "Good morning" nimetoka naenda kununua mahitaji kwaajiri ya breakfast naona sms inaingia, "Naomba unijie na Pedi" ,dah aiseeee hata hamu ya chai mbona ilikata nikawa mnyonge.

Nikarejea na vitu nikampatia pedi zake. Akatengeneza breakfast tukanywa tukatulia na ilikuwa weekend so nilikuwa around tu.

Akawa anajiskia vibaya na kuhisi namuhisi vibaya. Akanambia "sijafanya kusudi huwa nikijihisi hivi muda wowote Period inaweza kuanza, kama hauniamini tufanye tu ila ninawasi wasi"

Dah na uroho wangu nikamwambia hebu vua tutest mitambo. Pedi ilikuwa haijaweka chochote, so tukaanza kupeana shughuli katikati ya shughuli aaaah simba hao. Nikaona dah hapa mambo yashaharibika. Akanitazama yale macho ya si unaona nilikwambia sio kwamba nakuzingua.

Basi akaenda jisafisha akavaa Pedi yake akarudi tukawa tunatazama tu movie. Sasa ubaya wake ana period ndefu sana ya siku 5. Manina.

Nikaishia kupewa blow job tena ni ile ananibembeleza ili nisijisikie vibaya. Na siku anamalizia alikaa siku mbili tu ya tatu asubuhi akasepa kurudi kwao.

Mxiem [emoji19][emoji19]
😂😂😂😂😎
 
Ni kuteseka ila nilijifunza kumpenda yule niliekuwa simpendi akanivusha kile kipindi salama. Mbaya zaidi ile siku anakuja huyo KE wangu nilimwamtaarifu yule nisiempenda asijethubutu kunitafuta ataniharibia penz langu ila anaekupenda anakupenda tu, kesho yake nilipomtafuta hata hakusita kwa chochote.
Kumbe nanyi Huwa mnaumiaga,mi nilimpenda man mmoja yani Hadi nlikuwa nalia,nikimuona tu nasisimka,natamani nieleze ila basi[emoji2960]
 
Aisee,muda Mwingine muwe mnatubaka ikiingia tunatulia....siyo wote tunajua kusema nipo tayari jaman
yule alidhamiria nilitumia mbinu zote zikagonga mwamba nikaona isiwe shida acha nivumilie usiku mmoja haunishindi niliweza kukaa miezi bila yeye sembuse a single night?
 
Mwanamke akunyimi kama Hana sababu wengi kama amjaonana siku nyingi anakua katumiwa mda sio mrefu au jana yake kwaio akija kukupa na ww ujapga karbu miez 6 lazma umwone Malaya flan.. ila kama kaktunza asee hata nafasi ya kusinzia huta achiwa atataka mlane mpka aone kimevimba upande 😁
 
Back
Top Bottom