Kunisafirisha kutoka mbali halafu mambo hunipi, dah!

Kuna manzi alikuja tumepanga vizuri kuwa akija afikie kwangu. Yule mbwa kaja siku ya kwanza nikamuonea huruma alale uchovu wa safari. Tumeamka asubuhi, "Good morning" nimetoka naenda kununua mahitaji kwaajiri ya breakfast naona sms inaingia, "Naomba unijie na Pedi" ,dah aiseeee hata hamu ya chai mbona ilikata nikawa mnyonge.

Nikarejea na vitu nikampatia pedi zake. Akatengeneza breakfast tukanywa tukatulia na ilikuwa weekend so nilikuwa around tu.

Akawa anajiskia vibaya na kuhisi namuhisi vibaya. Akanambia "sijafanya kusudi huwa nikijihisi hivi muda wowote Period inaweza kuanza, kama hauniamini tufanye tu ila ninawasi wasi"

Dah na uroho wangu nikamwambia hebu vua tutest mitambo. Pedi ilikuwa haijaweka chochote, so tukaanza kupeana shughuli katikati ya shughuli aaaah simba hao. Nikaona dah hapa mambo yashaharibika. Akanitazama yale macho ya si unaona nilikwambia sio kwamba nakuzingua.

Basi akaenda jisafisha akavaa Pedi yake akarudi tukawa tunatazama tu movie. Sasa ubaya wake ana period ndefu sana ya siku 5. Manina.

Nikaishia kupewa blow job tena ni ile ananibembeleza ili nisijisikie vibaya. Na siku anamalizia alikaa siku mbili tu ya tatu asubuhi akasepa kurudi kwao.

Mxiem [emoji19][emoji19]
acha kusunya 😂are you ga-??😂
 
Inauma hasa ukifanyiwa na umpendae. Nilimsafirisha KE wangu kutoka mkoani(tulipishana siku kadhaa zilipita). Alipofika akanikazia hanipi na kukikucha anaondoka akasalimie kwao, alilala na skin jeans sikuamini nilijiskia vibaya mno bembeleza sana, fosi kiaina lakini hola nikamtoa out usiku huo huo tukaenda hoteli lakini haikusaidia chochote. Asubuhi imefika anaondoka akanipa bonge la kiss na kusema ingekuwa hana haraka ya kuwahi basi tungefanya, hapo ndio nilianza kuelewa kumuelewa mwanamke ni ngumu sana. Yani tumeshinda na kulala wote hakujali anakuja kuonesha kujali ikiwa too late. Alivyoondoka ndio ukawa mwisho wetu licha ya yeye kutaka penzi liendelee.
Mdogo wangu aliogopa akikupa chap chap ungemuona maharage ya mbeya😃😃😃😃😃
 
Ni kawaida wapenzi wanapokuwa mbali, kuwa na hamu kubwa ya kuonana kutokana na umbali, majukumu na uchumi, huwa ni kwazo wao kuonana mara kwa mara.

Ila wapo wapenzi wanakutana na changamoto, kwamba mwanamke anaitwa na mwanaume wake na washagombana sana kwa mmoja, kuona mwenzie kama hana mapenzi naye ndio maana hataki kukubali kusafiri alipo.

Mbaya umesafiri kumfuata mpenzi wako toka mikoa na mikoa halafu unafika kwa mwanaume wako au mwanamke wako, unakaa naye siku moja au zaidi na hataki kukupa chochote na unapomgusa anadai anaumwa.

Nianze na wanaume, hivi unamsafirishaje mwanamke na akifika kwako anashindwa kumtimizia haja yake huku ukusingizia unaumwa, ikiwa umempa ahadi ya kumtenda atakacho kwa unono?

Na wanawake, unamtia mwenzio genye kibao, kudai umemmisi na anafunga safari alafu unamlaza wiki nzima mzungu wa nne mpaka anasepa?.
Hapa shida inakuwa ni nini?

View attachment 2608568
Kwa wanaume Hilo halipo labda wanawake, mwanaume hata akibena zege siku nzima kwenye kuzagamua hutasikia akisema nimechoka tofauti na wenzetu, mwanaume asijetoka safari ukasema nimuache amechoka wanaume hawachokagi eneo hilo ila upande wa pili ndio Kuna tatizo
 
Nakuelewa kabisa!Bora ulivyopiga chini huyo alileta mazoea sana
Nilikuwa nimewekeza malengo kwake kwahiyo alijua fika itakuwa ngumu kumuacha. Ile asubuhi ndio alinikera mpaka mwisho eti muda ungeruhusu tungefanya ni vile tayari natakiwa niwahi basi stendi 😬😬😬.
 
Inauma hasa ukifanyiwa na umpendae. Nilimsafirisha KE wangu kutoka mkoani(tulipishana siku kadhaa zilipita). Alipofika akanikazia hanipi na kukikucha anaondoka akasalimie kwao, alilala na skin jeans sikuamini nilijiskia vibaya mno bembeleza sana, fosi kiaina lakini hola nikamtoa out usiku huo huo tukaenda hoteli lakini haikusaidia chochote. Asubuhi imefika anaondoka akanipa bonge la kiss na kusema ingekuwa hana haraka ya kuwahi basi tungefanya, hapo ndio nilianza kuelewa kumuelewa mwanamke ni ngumu sana. Yani tumeshinda na kulala wote hakujali anakuja kuonesha kujali ikiwa too late. Alivyoondoka ndio ukawa mwisho wetu licha ya yeye kutaka penzi liendelee.
Pole
 
Iliwahi Nikita hiyo, nimesafiri kutoka hapa Tz kumfata manzi kwa general Kagame, nikishindwa kule siku Kama 3 hivi, lakini manzi akaninyima, nikaamua kumuacha mpaka kesho
 
Ni kawaida wapenzi wanapokuwa mbali, kuwa na hamu kubwa ya kuonana kutokana na umbali, majukumu na uchumi, huwa ni kwazo wao kuonana mara kwa mara.

Ila wapo wapenzi wanakutana na changamoto, kwamba mwanamke anaitwa na mwanaume wake na washagombana sana kwa mmoja, kuona mwenzie kama hana mapenzi naye ndio maana hataki kukubali kusafiri alipo.

Mbaya umesafiri kumfuata mpenzi wako toka mikoa na mikoa halafu unafika kwa mwanaume wako au mwanamke wako, unakaa naye siku moja au zaidi na hataki kukupa chochote na unapomgusa anadai anaumwa.

Nianze na wanaume, hivi unamsafirishaje mwanamke na akifika kwako anashindwa kumtimizia haja yake huku ukusingizia unaumwa, ikiwa umempa ahadi ya kumtenda atakacho kwa unono?

Na wanawake, unamtia mwenzio genye kibao, kudai umemmisi na anafunga safari alafu unamlaza wiki nzima mzungu wa nne mpaka anasepa?.
Hapa shida inakuwa ni nini?

View attachment 2608568
Mchawi ni nguvu za kiume na za kike kaka!!
 
Akikunyima unyumba kuna mengi
1: Msabato khaaa😂😂😂😂
2: Walokole😂😂
3: Maamuzi
Ukija ni kukichafua tu Kama Simba na wydad 😂😂😂
 
Back
Top Bottom