Inauma hasa ukifanyiwa na umpendae. Nilimsafirisha KE wangu kutoka mkoani(tulipishana siku kadhaa zilipita). Alipofika akanikazia hanipi na kukikucha anaondoka akasalimie kwao, alilala na skin jeans sikuamini nilijiskia vibaya mno bembeleza sana, fosi kiaina lakini hola nikamtoa out usiku huo huo tukaenda hoteli lakini haikusaidia chochote. Asubuhi imefika anaondoka akanipa bonge la kiss na kusema ingekuwa hana haraka ya kuwahi basi tungefanya, hapo ndio nilianza kuelewa kumuelewa mwanamke ni ngumu sana. Yani tumeshinda na kulala wote hakujali anakuja kuonesha kujali ikiwa too late. Alivyoondoka ndio ukawa mwisho wetu licha ya yeye kutaka penzi liendelee.