Kunisafirisha kutoka mbali halafu mambo hunipi, dah!

Kunisafirisha kutoka mbali halafu mambo hunipi, dah!

Yamenikuta dem nimemtoa anga za mbali nikitegemea nitamla lakin dah nilikula kwa macho, kitanda kimoja shuka moja ye yupo mtupu na mi hvy ila ukimgusa tu ooh niache ukingangana anakwambia mkatili, mbabe siku mbili zikakata kwakwel alirud vile vile na utamu wake kwakuwa mleta uzi kanikumbusha machungu, we demu kama upo humu unikumbuke kabla sijakuloga maana kipind kile niliokoka kabla ya umri nimegundua nilikosa vitam vingi njoo pm kabla sijafanya maamuz magumu
Mi nakumbka aliniambia anaumwa kwakuwa najijua nikamuambia kila mtu ajifunike shuka yake mzungu wa4 na ilikuwa mwezi wa 6 kiubardi kitamu tu, bc mara namsikia ananiambia baridi anataka nigeukie upande wke angalau nimkumbtie tu.
Kilichotokea nilimtafuna jpo alinilaani sana kuwa mm ni mkatili cjali kuumwa kwake, baada ya km sku mbili hv nakutana nae akiwa kafungwa p.o.p mkononi hpa ndio niliamini alikuwa hatanii sababu ckuwa nakaa nae ila wakat anakuja anadai alianguka na pikipiki
 
Back
Top Bottom