msakaa jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 6,540
- 6,747
Jamaa mzushi tu,! Uchafu wake anataka laumu chuo kizima!Unaijua UDOM ilivyo? Hao kunguni jamaa kakuza tu tatizo, hawapo vyumba vyote + kunguni hawatoki chumba kimoja kwenda kingine, walikuwa room kwetu walitutesa ila hawakwenda room yeyote ya jirani,
Kijana aache uvivu, afanye usafi, hata kama wapo kwenye kuta, kuta za UDOM ni rahisi kisafishika,
Btw hata uongozi huwa hawapigi dawa jengo zima, wanapiga tu vyumba vyenye kunguni sugu ambavyo vinaweza kuwa viwili jengo nzima
Kwanza chuo kina utaratibu wa kufanya fumigation kwenye vyumba vyote hata mwaka huu wamefanya pia!
Tatizo lililopo UDOM kwa sasa ni wanahitimu kutolipwa overpayments zao tu. Management ijitafakari kwenye hili. Imelipa wanahitimu hawafiki hata 100 kwenye zaidi ya 10000+ halafu wamekaa kimya.
Wiki mbili sasa zimepita bila wanafunzi wengine kuingiziwa pesa zao, wamejikausha! Ukiuliza unaambiwa mbona wengine wamelipwa?