Kuna watu wanadharau watu wa Arusha kwa kumuogopa huyo mtoto Ally Dangote

Hakuna Cha Arusha Wala usela wao, mtoto ananuka maziwa tumembeba wenyewe kapelekesha mji mzima, Azina imepotea dogo angeingia jeshini angekuwa komando kikosi Cha ngerengere.
Unafikiri jeshin ni mahala pa wahuni wahuni kama hao. We unafikir huko m23 au Adf kinachofanya kuwa vikundi vya mauaji ni nini?? Ni sababu ya kukusanya watoto wajinga wajinga wakora walioathitika saikolojia zao kama huyu
 
Walah Arusha muache tu kuvuta hizo bangi, kelele nyingi mnajifanya wahuni ila katoto kadogo kamewafanya mmejifungia ndani kumamae zenu, hahaha
HV mnaijuwa kjna anatikea wapi huyu ally dongote anatokea ungalimited hayo maeneo ni hatarishi kila mtu Ni mafya
 
Sisi binadamu tunatofautiana ule moyo wa kufanya maamuzi mabaya au mazuri, kuna watu wanaona watu wote wa arusha ni viande kwasababu ya kuendeshwa na huyo mtoto wa miaka 19.

Kuna kitu nataka kusema hapa, kwanza mimi sio mkazi wa Arusha ila mtu akiamua kufanya mambo mabaya akabadilika mpka roho yake muogope sana.

Iliwahi kutokea Mwanza miaka iliyopita kulikuwa na makundi mengi sana ya kihuni, kuna ndugu wawili mapacha Kulwa na Doto waliwahi kamata Mwanza hasa maeneo ya Mabatini. Hawa kukuua ilikuwa ni jambo la dk chache tu kama utaingia anga zao.

Niliwahi shuhudia mtu kwa macho mtu akichomwa kisu cha shingo mchana kweupe.

Acheni kudharau na kuwaona hao watu wa Arusha walishindwa kumdhibiti Dangote, mtu akishafikia hatua ya kuweza kumuua mtu na akaendelea kuishi maeneo hayo unafikiri roho yake ni ya kawaida? Anaweza kuwa mtoto lkn roho yake ni tofauti kabisa.

Kwa waliowahi kuishi Mwanza Mjini Mabatini, Sahara, mitaa ya Uswahilini kama uhuru miaka kuanzia 2009 mpaka 2014 watakuwa wanaelewa naongea nini.
Umeandika sana lkn ukweli lazima usemwe,watu wa chuga mmefeli.Haiwezekani kitoto cha miaka 19 kisumbue hivyo,sasa mabhangi mnayovuta ni ya Kazi gani?,Na tunawashangaa kwasababu Arusha mnajiitaga Wajanja.Full kuvaa mishati mirefu na viatu vya ajabu lkn mmechuchumaishwa na dogo Dangote.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kwanza hao watu wa Arusha tu wenyewe wana furahia huo upuuzi wao wa kujifanyaga akili zao bangi bangi.. sasa hayo mdio matunda yake na hapo usikute wapo vijana wengine wana tabia kama za huyo aliyeuliwa ..
 
Arusha is overrated

Nimeshatembea Sana usiku Arusha man alone, hakuna Kenge yeyote alienizngua

Kabisa Hao madogo wawili wameweza kuwalaza na viatu.
 
Alikua ana maliza ugali wa magereza mboni km alikua ana nguvu za kuua na kuvunja na kuua kwanini hakupewa kazi za kukata magogo ya kuni za kupikia ugali na maharage ya jela maana jiko la jela huwahalizimwi, magereza ni shule kwanini walishindwa kumbadirisha wakamrudisha kwa hakimu na hakimu akaona hakuna ushahidi akawaachia wananchi waamue pamoja na polisi kifuatacho ni hicho tu na mara nyingi wanafanya hivyo ili warudishwe gerezani wakaendelee kula ugali wa bure huku mtaani waya mkali kule jela na magereza kula bure kulala bure kutwa wanacheza draft na kuvuta Sigara na Bangi tu (usiniulize vinafikaje)
Hulka tu ya mtu,ashazoea kukaba na kuiba....
Na siku zote mwisho wao huwa ni kifo
Tu,sema dunia uwanja wa fujo watatokea wakina ally dangote wengine na watakuwa wanaendelea na uhalifu ,mwanadam kiumbe kimoja
Jeuri sana

Ova
 
Sisi binadamu tunatofautiana ule moyo wa kufanya maamuzi mabaya au mazuri, kuna watu wanaona watu wote wa arusha ni viande kwasababu ya kuendeshwa na huyo mtoto wa miaka 19.

Kuna kitu nataka kusema hapa, kwanza mimi sio mkazi wa Arusha ila mtu akiamua kufanya mambo mabaya akabadilika mpka roho yake muogope sana.

Iliwahi kutokea Mwanza miaka iliyopita kulikuwa na makundi mengi sana ya kihuni, kuna ndugu wawili mapacha Kulwa na Doto waliwahi kamata Mwanza hasa maeneo ya Mabatini. Hawa kukuua ilikuwa ni jambo la dk chache tu kama utaingia anga zao.

Niliwahi shuhudia mtu kwa macho mtu akichomwa kisu cha shingo mchana kweupe.

Acheni kudharau na kuwaona hao watu wa Arusha walishindwa kumdhibiti Dangote, mtu akishafikia hatua ya kuweza kumuua mtu na akaendelea kuishi maeneo hayo unafikiri roho yake ni ya kawaida? Anaweza kuwa mtoto lkn roho yake ni tofauti kabisa.

Kwa waliowahi kuishi Mwanza Mjini Mabatini, Sahara, mitaa ya Uswahilini kama uhuru miaka kuanzia 2009 mpaka 2014 watakuwa wanaelewa naongea nini.
Tatizo hao watu wa Arusha tambo nyingi na hawana kitu ,ingekuwa huyo dogo kafanya matukio dar ,basi wangekuja watu wa Arusha kujisifu kwamba dogo asingeweza kutamba huko Arusha ila sasa imekuwa kinyume chake wameufyaya kimyaaa.
 
Sisi binadamu tunatofautiana ule moyo wa kufanya maamuzi mabaya au mazuri, kuna watu wanaona watu wote wa arusha ni viande kwasababu ya kuendeshwa na huyo mtoto wa miaka 19...
Waoga wamepata mtetezi
 
Kama Arusha tu wamewasumbua sijui wangekuja daslam wangewafanya nini sijui tu yani
Dar washawahadabisha sana mbona
Na huwa wanafinywa kimya kimya
Kuna miaka fulani kuna wakabaji walikuwa wanasumbua sana maeneo
Ya kinondoni....
Jamaa waliwatafuta wakawakamata
Wakawapeleka uwanja wa biafra pale
Kuwa maliza

Ova
 
Mkuu nani alikuaminisha kuwa watu wa Arusha ni wakakamavu? Nimekaa Arusha, ila nilichojifunza watu wa Arusha ni Wazaramo tu waliochangamka mdomoni lakini kwenye action ni Zuchu tu...
NI mikate mnoo.

Laini laini
 
Back
Top Bottom