Kuna watu wanadharau watu wa Arusha kwa kumuogopa huyo mtoto Ally Dangote

Sisi binadamu tunatofautiana ule moyo wa kufanya maamuzi mabaya au mazuri, kuna watu wanaona watu wote wa arusha ni viande kwasababu ya kuendeshwa na huyo mtoto wa miaka 19.

Kuna kitu nataka kusema hapa, kwanza mimi sio mkazi wa Arusha ila mtu akiamua kufanya mambo mabaya akabadilika mpka roho yake muogope sana.

Iliwahi kutokea Mwanza miaka iliyopita kulikuwa na makundi mengi sana ya kihuni, kuna ndugu wawili mapacha Kulwa na Doto waliwahi kamata Mwanza hasa maeneo ya Mabatini. Hawa kukuua ilikuwa ni jambo la dk chache tu kama utaingia anga zao.

Niliwahi shuhudia mtu kwa macho mtu akichomwa kisu cha shingo mchana kweupe.

Acheni kudharau na kuwaona hao watu wa Arusha walishindwa kumdhibiti Dangote, mtu akishafikia hatua ya kuweza kumuua mtu na akaendelea kuishi maeneo hayo unafikiri roho yake ni ya kawaida? Anaweza kuwa mtoto lkn roho yake ni tofauti kabisa.

Kwa waliowahi kuishi Mwanza Mjini Mabatini, Sahara, mitaa ya Uswahilini kama uhuru miaka kuanzia 2009 mpaka 2014 watakuwa wanaelewa naongea nini.
ARusha ni sawa na dsm tu, DAr es salaam wababa wakubwa kabisa wanaogopa panyaroad miaka 17. bure kabisa.
 
Arusha is overrated

Nimeshatembea Sana usiku Arusha man alone, hakuna Kenge yeyote alienizngua

Kabisa Hao madogo wawili wameweza kuwalaza na viatu.
Sasa kama ulitembea na hukukutana na hao vibaka.

Alafu elewa kwamba huyo dogo sio kwamba ni alishndkana arusha nzima ila ni mitaa yake tu ndo aliishika sio arusha yote.
 
For sure! Muogope sana binadamu aliekata tamaa ya maisha.
Wengi wanaojiongelesha humu ndo waoga wenyewe ila wana bwana tu humu JF.

Mtu akifikia hatua ya kuweza kumuua mtu na akaendelea na tabia hizo maeneo hayo sio mwenzako huyo ukiingia anga zake anakupoteza.

Alafu watu wengi wanasema kadogo, yeye anachokifanya hapigani na ww lengo lake ni kukupora kwahyo anakushtukiza kama ni panga au kisu sasa hapo umri wake unaingiaje?
 
mi vijana ya arusha ni mioga sijapata kuona inajua kufurumusha pkpk, kula mirungi na kuvuta bange tu! lile Toto la 19yrs. li dangote limewanyambisha mpaka basi.. saa 1tu mnaenda kulala daadeki! bora wanaume wa dar
 
Panya road anakuja mmoja. ?? Haha panya road wanakuja kakikjiji ka watu 30 na zana za kutosha hawana muda wa kukuuliza ni balaa tu
NDIO SHIDA YENU WANAUME WA DARISALAMA. mtakuwa mnakimbia mnaacha hadi wake zenu wajitetee wenyewe.
 
NDIO SHIDA YENU WANAUME WA DARISALAMA. mtakuwa mnakimbia mnaacha hadi wake zenu wajitetee wenyewe.
Mbona huko kwenu katoto kadogo kamewalaza saa 12 jioni..? Hao panya. Road sio kizembe uwazavyo wewe ni shughuli pevu. Imagine mob ya watu 25 au 30 wakubwa sio kama hako kachalii kamoja. Watu wa arusha nyie machoko tu. Mnachojua ni kukaa na kula bangi na kuongea hiyo lugha yenu ya vichaa
 
Wengi wanaojiongelesha humu ndo waoga wenyewe ila wana bwana tu humu JF.

Mtu akifikia hatua ya kuweza kumuua mtu na akaendelea na tabia hizo maeneo hayo sio mwenzako huyo ukiingia anga zake anakupoteza.

Alafu watu wengi wanasema kadogo, yeye anachokifanya hapigani na ww lengo lake ni kukupora kwahyo anakushtukiza kama ni panga au kisu sasa hapo umri wake unaingiaje?
Hawajaingia anga zao, hao madogo hawafai hata kidogo
 
Umeandika sana lkn ukweli lazima usemwe,watu wa chuga mmefeli.Haiwezekani kitoto cha miaka 19 kisumbue hivyo,sasa mabhangi mnayovuta ni ya Kazi gani?,Na tunawashangaa kwasababu Arusha mnajiitaga Wajanja.Full kuvaa mishati mirefu na viatu vya ajabu lkn mmechuchumaishwa na dogo Dangote.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Dogo aliyewasumbua hata hayo mashati makubwa na miviatu havai na Mkoa mzima umefyata hadi wanasherekea kifo cha mhuni, Arusha hamna kitu aisee
 
Arusha is overrated

Nimeshatembea Sana usiku Arusha man alone, hakuna Kenge yeyote alienizngua

Kabisa Hao madogo wawili wameweza kuwalaza na viatu.
Shukuru mungu ulifanikisha salama, ulitembea maeneo gani labda?
 
sasa hizo bhangi huwa mnavuta za kazi gani??? kijana wa miaka 18 anawasumbua akiliii...
Sasa bro wewe na ako kamwili kako ukikutana na mtu kama uyo ambae ameshaua na kujerui hana chakupoteza wala chakuhofia si ndio itakua mwisho wako

Huyo muuaji alikuwa ni mviziaji sio kwamba anazunguka mtaani na kisu na hata watu aliokuwa anawajeruhi ni wanawake na watoto,
alafu raia walishaanza kumtafuta lakini akawa anawaponyoyoka na hata kabla hajauliwa alikuwa amekamatwa na watu wakamshambulia akafanikiwa kutoroka

kesho yake ndio wakafanikiwa kumkamata akiwa anatibiwa ndio akamalizwa
 
Back
Top Bottom