Kuna watu wanadharau watu wa Arusha kwa kumuogopa huyo mtoto Ally Dangote

Jbst

JF-Expert Member
Nov 29, 2020
1,924
3,951
Sisi binadamu tunatofautiana ule moyo wa kufanya maamuzi mabaya au mazuri, kuna watu wanaona watu wote wa arusha ni viande kwasababu ya kuendeshwa na huyo mtoto wa miaka 19.

Kuna kitu nataka kusema hapa, kwanza mimi sio mkazi wa Arusha ila mtu akiamua kufanya mambo mabaya akabadilika mpka roho yake muogope sana.

Iliwahi kutokea Mwanza miaka iliyopita kulikuwa na makundi mengi sana ya kihuni, kuna ndugu wawili mapacha Kulwa na Doto waliwahi kamata Mwanza hasa maeneo ya Mabatini. Hawa kukuua ilikuwa ni jambo la dk chache tu kama utaingia anga zao.

Niliwahi shuhudia mtu kwa macho mtu akichomwa kisu cha shingo mchana kweupe.

Acheni kudharau na kuwaona hao watu wa Arusha walishindwa kumdhibiti Dangote, mtu akishafikia hatua ya kuweza kumuua mtu na akaendelea kuishi maeneo hayo unafikiri roho yake ni ya kawaida? Anaweza kuwa mtoto lkn roho yake ni tofauti kabisa.

Kwa waliowahi kuishi Mwanza Mjini Mabatini, Sahara, mitaa ya Uswahilini kama uhuru miaka kuanzia 2009 mpaka 2014 watakuwa wanaelewa naongea nini.
 
binamubananga-20231121-0001.jpg
 
Bora dar panya road wanasumbuaga wakiwa wengi, wanakuja kundi.

Ila nyie chuga mnasumbuliwa na ki mtu kimoja tu ambacho bado kinanuka maziwa?

Huku Dar vimtu kama hivyo huwa havimalizi mwaka, wakikukamata raia polisi wanasema kabisa malizeni kazi sisi tunakuja kubeba kwenda kuhifadhi, au wakikukuta bado unahema basi wakiwa wanakupeleka hospitali unafika ukiwa maiti.
 
Shida moja huwa wanaleta sana zile za kujuana. Mtu kama huyo hebu akaharibu sehemu hafahamiki
uone tulizo lake.

Nimekaa magomeni mwembe chai watoto wa kagera na mburahati walikuwa wanaharibu sana
ila kujuana kwingi. Nani humu anamkumbuka marehemu Upuyu?

Sasa huyu walimuua buguruni ugenini huko.
 
Bora dar panya road wanasumbuaga wakiwa wengi, wanakuja kundi...

Ila nyie chuga mnasumbuliwa na ki mtu kimoja tu ambacho bado kinanuka maziwa?

Huku dar vimtu kama hivyo huwa havimalizi mwaka, wakikukamata raia polisi wanasema kabisa malizeni kazi sisi tunakuja kubeba kwenda kuhifadhi, au wakikukuta bado unahema basi wakiwa wanakupeleka hospitali unafika ukiwa maiti..
Hata Moshi police wakija wanataka wachukue mzoga wapite zao hivi.
tatizo kesi za hawa wapuuzi hata zikienda mahakamani wanaachiwa huru
mlalamikaji hua hajitokezi na ushahidi haukamiliki
Askari nao wanachoka
mtu yule yule kila mara anapelekwa pale.
 
Sisi binadamu tunatofautiana ule moyo wa kufanya maamuzi mabaya au mazuri, kuna watu wanaona watu wote wa arusha ni viande kwasababu ya kuendeshwa na huyo mtoto wa miaka 19.

Kuna kitu nataka kusema hapa, kwanza mimi sio mkazi wa Arusha ila mtu akiamua kufanya mambo mabaya akabadilika mpka roho yake muogope sana.

Iliwahi kutokea Mwanza miaka iliyopita kulikuwa na makundi mengi sana ya kihuni, kuna ndugu wawili mapacha Kulwa na Doto waliwahi kamata Mwanza hasa maeneo ya Mabatini. Hawa kukuua ilikuwa ni jambo la dk chache tu kama utaingia anga zao.

Niliwahi shuhudia mtu kwa macho mtu akichomwa kisu cha shingo mchana kweupe.

Acheni kudharau na kuwaona hao watu wa Arusha walishindwa kumdhibiti Dangote, mtu akishafikia hatua ya kuweza kumuua mtu na akaendelea kuishi maeneo hayo unafikiri roho yake ni ya kawaida? Anaweza kuwa mtoto lkn roho yake ni tofauti kabisa.

Kwa waliowahi kuishi Mwanza Mjini Mabatini, Sahara, mitaa ya Uswahilini kama uhuru miaka kuanzia 2009 mpaka 2014 watakuwa wanaelewa naongea nini.
kua na hofu au kuogopa, kunasaidi kujianada na kujiweka tayari kwa lolote.

sio kitu kibaya, uoga sio ujinga
 
Sisi binadamu tunatofautiana ule moyo wa kufanya maamuzi mabaya au mazuri, kuna watu wanaona watu wote wa arusha ni viande kwasababu ya kuendeshwa na huyo mtoto wa miaka 19.

Kuna kitu nataka kusema hapa, kwanza mimi sio mkazi wa Arusha ila mtu akiamua kufanya mambo mabaya akabadilika mpka roho yake muogope sana.

Iliwahi kutokea Mwanza miaka iliyopita kulikuwa na makundi mengi sana ya kihuni, kuna ndugu wawili mapacha Kulwa na Doto waliwahi kamata Mwanza hasa maeneo ya Mabatini. Hawa kukuua ilikuwa ni jambo la dk chache tu kama utaingia anga zao.

Niliwahi shuhudia mtu kwa macho mtu akichomwa kisu cha shingo mchana kweupe.

Acheni kudharau na kuwaona hao watu wa Arusha walishindwa kumdhibiti Dangote, mtu akishafikia hatua ya kuweza kumuua mtu na akaendelea kuishi maeneo hayo unafikiri roho yake ni ya kawaida? Anaweza kuwa mtoto lkn roho yake ni tofauti kabisa.

Kwa waliowahi kuishi Mwanza Mjini Mabatini, Sahara, mitaa ya Uswahilini kama uhuru miaka kuanzia 2009 mpaka 2014 watakuwa wanaelewa naongea nini.
Dogo mmoja anawasumbua tu halafu mnacheka watu wa dar ambao wanawakimbia kundi la vijana wa panya road ambao ni zaidi ya 20.
Arusha hizo bangi mnavuta za nini kama dogo mmoja tu anawaogopesha
 
Back
Top Bottom